Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

Wakristo hata uwape ushahidi wa namna gani huwa hawakubali. Mfano mzuri ni kipindi cha katibu mkuu wa baraza la mitihani Dr. Ndalichako. Waislamu walikuwa wakilalamikia kuwafelisha lakini watu including JF wakasema "mburura hao watoe ushahidi". Hatimaye ushahidi ukatolewa kwenye somo moja tu la Ilsamik Knowledge maana wangesema masomo yote nchi ingechafuka. Ikadhihirika kuwa somo hilo watu waligawanyiwa wastani kwa tatu badala ya mbil. Waliwapoza kwa kuseoma ni hilo somo moja tu la elimu ya dini ya kiislamu ili kupunguza hasira za waislamu na hasa kule visiwani Zanzibar. Ukweli walifelishwa masomo yote!!! Ukweli ulifichwa na utaendelea kufichwa (ingawa sasa hivi dhuluma hiyo imeisha).
Wakristo hawakutaka kukubali hata pale waiislamu walilalamika wanafelishwa. Siku ushahidi ulipotolewa kwa waziri wa elimu kutangaza kwenye vyombo vya habari wakristo wote kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaa,,,,,
 
Serikali imeufyata kwa wakristo kwa maana mbili. Ya kwanza wao wana mahakama na serikali inaihudumia lakini kwa waislamu ndo nongwa. Pili, walioikataa mahakama ya kadhi ni wakristo na serikali imewasikiliza. Upo? Akili ya serikali iko mfukoni mwa wakristo.......

haijaufyata, just like vyeti vya ndoa, hata ufungie wapi, utasaini cheti cha serikali

Serikali haina akili fupi kama wewe, unaetaka iingie kwenye malumbano ya wapishi, tena wapishi wa chipsi

taratibu za Tanzania ziko wazi, nchi haina dini, ila wanachi wana dini zao, kadhi doesnt need government blessings, it can go on without ushankunanku unaoendelea

kwani leo talaka, adhabu za masjid na shida za misiba mnazifanyaje??

hebu boresha boresha basi upeo kidogo
 
Wakristo hata uwape ushahidi wa namna gani huwa hawakubali. Mfano mzuri ni kipindi cha katibu mkuu wa baraza la mitihani Dr. Ndalichako. Waislamu walikuwa wakilalamikia kuwafelisha lakini watu including JF wakasema "mburura hao watoe ushahidi". Hatimaye ushahidi ukatolewa kwenye somo moja tu la Ilsamik Knowledge maana wangesema masomo yote nchi ingechafuka. Ikadhihirika kuwa somo hilo watu waligawanyiwa wastani kwa tatu badala ya mbil. Waliwapoza kwa kuseoma ni hilo somo moja tu la elimu ya dini ya kiislamu ili kupunguza hasira za waislamu na hasa kule visiwani Zanzibar. Ukweli walifelishwa masomo yote!!! Ukweli ulifichwa na utaendelea kufichwa (ingawa sasa hivi dhuluma hiyo imeisha).
Wakristo hawakutaka kukubali hata pale waiislamu walilalamika wanafelishwa. Siku ushahidi ulipotolewa kwa waziri wa elimu kutangaza kwenye vyombo vya habari wakristo wote kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaa,,,,,

ok hapo kwenye red iko sawa

sasa je, ndalichako alisaihisha mitihani?? au huwa anapanga standardization??
 
Serikali imeufyata kwa wakristo kwa maana mbili. Ya kwanza wao wana mahakama na serikali inaihudumia lakini kwa waislamu ndo nongwa. Pili, walioikataa mahakama ya kadhi ni wakristo na serikali imewasikiliza. Upo? Akili ya serikali iko mfukoni mwa wakristo.......

another crapp... serikali inayoongozwa na inteligence ta TZ, ikulu nk. na rais muislam
 
haijaufyata, just like vyeti vya ndoa, hata ufungie wapi, utasaini cheti cha serikali

Serikali haina akili fupi kama wewe, unaetaka iingie kwenye malumbano ya wapishi, tena wapishi wa chipsi

taratibu za Tanzania ziko wazi, nchi haina dini, ila wanachi wana dini zao, kadhi doesnt need government blessings, it can go on without ushankunanku unaoendelea

kwani leo talaka, adhabu za masjid na shida za misiba mnazifanyaje??

hebu boresha boresha basi upeo kidogo

UNAULIZA Ndalichako kama alikuwa anasahihisha mitihani.....Kweli wewe kilaza....Lakini si umekubali kulikuwa na kampeni ya kufelisha waislamu chini ya uongozi wa Ndalichako? Sasa suala la nani alisahihisha linahusika vipi? Yeye si ndo kiongozi? We umesomea wapi unajifanya huelewi?
 
Aisee, naomba nikuite "mjinga" mkuu. Kutuwekea kichwa cha habari cha gazeti hujaongea kitu bado, achilia mbali kuleta hoja. Wakristo hawana "mahakama"; wana utaratibu wa kusuluhisha matatizo ya kijamii ndani ya kanisa.
 
UNAULIZA Ndalichako kama alikuwa anasahihisha mitihani.....Kweli wewe kilaza....Lakini si umekubali kulikuwa na kampeni ya kufelisha waislamu chini ya uongozi wa Ndalichako? Sasa suala la nani alisahihisha linahusika vipi? Yeye si ndo kiongozi? We umesomea wapi unajifanya huelewi?

Mimi ni Janjaweed - Kilaza yupo humuhumu ni member pia JF kama wewe ulivyo Malyenge

Yaani kweli wewe ni mpuuzi, sasa mtu mmoja tena wala asiyepitia mikaratasi ya wanafunzi atakuaje pekee ndie anayefelisha?? do you really know the process ya kusahihisha mitihani nana anasahihisha, nani anahakiki nani anacompile results, nani anastandardize na ni yupi ana audit results au process nzima ya appeal ikoje??

Ukiwa mpuuzi, basi jiwekee na ka ujinga kidogo ili uwe open minded kuelimishiwa au kujaribu kujifunza kidogo... siku zote faulires ni wa kwanza kulalama kabla ya kuangalia tatizo liko wapi

Huna hoja, sanasana una Malyenge tu!
 
Last edited by a moderator:
Hivi unajua nani aliunda bakwata? Ni serekali chini ya mwenye heri mtarajiwa. akavunja taasisi iliyoundwa na waislam, kisha akaanzisha bakwata.
Je wakiristo walishawahi anzishiwa taasisi?
Kama mnasheria zenu,nani aliwakataza sisitambulike kikatiba? Hamwezi fanya hivyo kwa kuwa sheria zilizopo zinaakisi sheria za mkoloni mwingereza mkiristo ambaye alitunga sheria zenye mfumo wa kikiristo


Mimi sio mwanasheria ila kwa kutumia common knowledge Sheria nyingi tulizorithi kutoka kwa wakoloni zimetokana ka Roma laws ambazo siamini kwamba nizakikiristo maana waroma wenyewe ndio waliomuua yesu. Pia sheria nyingine tulizo nazo zimetungwa na bunge katika kipindi cha miaka 50 ya uhuru. Wenagalia kama sheria ya wizi wa mifugo sisheria ya kiafrika ambayo imetokana na kuzidi kuibiana mifugo huko kwa wamasai wagogo na wakuria?.
 
Hata mahakama ya kadhi ni ya kijamii wewe. Mkristo akizaa na mwislamu yule mtoto atakuwa na haki ya kurithi mali ya mwislamu. Na ndo mahakama kazi yake kutoa hukumu na kugawa "ratio" huyo mtoto wa kikristo apate haki yake. Kwa sasa utasikia mtoto wa aina hiyo anaitwa haramu....kitu ambacho si sahihi kwa mujibu wa uislamu. Kadhi yupo kwa ajili ya watanzania wote acheni umbumbumbu!!!!! Hata ndoa kati ya mwislamu kumwoa mkristo Kadhi ndo anahaki ya kuihalalisha we vipi? Unachuki isiyo na maana kabisa. Hicho chuo cha Moro kinahudumia dini tu? We bange kweli wewe. Ina maana hao mama ntilie wanauza vyakula wanatoka msikitini tu? Na huo mshahara wa wahadhiri unalipwa na waislamu tu? Bange hizo.....! Mmeona mahakama ya kadhi tu? Tumejaribu kuwaonesha ukweli kidogo tu mmehama mada.....!Unaleta masuala ya kuumwa! Kwani ni lazima utibiwe kwenye hospitali za kikristo? Ni lazima? Siyo lazima. Una uhakika gani sheikh huwa anatibiwa hospitali hizo? Kwa hiyo hospitali zenu ndo zinaonekana muhimu na lazima serikali ichangie. Ubaguzi utawaua ninyi wala nguruwe.....!

Malyenge jifunze kutumia ubongo. mama ntilie wanauza chakula pale kwenye chuo cha kiislam wanatoa huduma na sio kupatiwa huduma. Huwezi kulinanisha hilo na mtu anakwenda kutibiwa hospitali. sasa swali rahisi tu kwako, Je kwa uelewa wako wa uislam je ni halali kwa mwanamke kuwa kadhi au hakimu katika mahakama ya kadhi maana kunawaislamu wanaosema vitabu vya dini ya kiislam mwanamke ikiwa katika sikuzake hukumu atakazo toa zitakuwa batili. Tatu je unaona nibusara kwa serekali ijiusishe kujua kama mwanamke yupo kwenye siku zake. Mwisho je suni au shia, sufi nk ndio wataongo mahakama ya kadhi. Jitahidi jubu hoja bila kuto hoja ambazo zinapinga mahakama ya kadhi kama ulivyojichanganya kwahoja zako hapo juu.
 
Yesu alisema ya Mungu mpe Mungu na Kaizari mpe Kaizari, hivyo kama wakristo wana mahakama basi wameiga mambo ya dunia

Hii tafsiri binafsi hii!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
After all hakuna aya yoyote ndani ya Qur'an inayosema kuwa Mahakama za Kadhi LAZIMA zianzishwe na kuendeshwa na Serikali!!

Wala hakuna aya yyt inayosema wazi wazi kuwa mbege za chadema ni haramu. Au Buchanan ni mtu mwenye elimu ndogo sana anaefaa kupuuzwa tu lkn vitu vingine ukitaka kuvijua basi vinataka elimu.

Quraan inasema "Hukumuni Sheria alizokuwekeeni Mungu wenu,
Nakuuliza wewe unaejifanya Unajua!
Hizo mahkama za serikali zitatoa hukumu za mirathi au Ndoa zinazohusu Waislamu Kw KUFUATA SHERIA ZA MUNGU?

Ndio nikasema hapo mwanzo kuwa mtu km wewe Kupuuzwa wala siitaji AYA! Wala Hadith.
Kwa utumbo huu unaoandika kila mara mi Nakupuuza tu Jumla!

Watakao kuona unatoa hoja za maana basi kiwango chenu cha ufahamu lzm kiwe kinalinga!

Pole sana.
 
Last edited by a moderator:
WAISLAM WENGI TU WA MADHEHEBU MENGINE WANAPINGA MAHAKAMA YA KADHI

KHIDMAT DWAAT LISIAMIYAT CENTRE REGISTERED TRUSTEES
P. O. BOX 16106, MOB. 0713-290272, 0784-403020.

1. Uanzishaji wa Mahakama ya Kadhi utaleta madahara makubwa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa vile Wakristo hawagawanyiki katika suala la kuipinga, lakini sisi Waislamu tunagawanyika katika suala hilo. Kwa taarifa yako napenda nikuhakikishie kuwa Waislamu wa Madhehebu ya AnsarSunna HAWAIKUBALI Mahakama hiyo kwa vile wanaelewa kuwa itakuwa chini ya BAKWATA.

2. Pia wanaelewa kuwa miongoni mwa mamlaka ya Kadhi ni kutangaza mwezi wa Ramadhani kufunga na kufungua na wao wanaye Amir wao ambaye hutangaza mwezi kwa kufuata mwezi unaoandama Saudia (Saud Arabia). Kwa maana hiyo katika nchi yenye Kadhi kutokea mtu mwingine nje ya Kadhi kutangaza mwezi ni kosa la jinai.

3. Kitu ambacho kitaleta madhara makubwa kuliko mafanikio ingawa AnsarSunna ni kundi dogo lakini wanaburuza kundi kubwa sana la Waislamu, kuliko Taasisi yoyote ya Kiislamu hapa Tanzania kwa vile ushawishi wao ni mkubwa sana katika jamii ya Kiislamu.

4. ANSAR SUNNA ndio wanaoendesha Shuura ya Maimam, GAZETI LA AN-NUUR, AL-HUDA, NASAHA na RADIO IMANI. Pia wana ushawishi mkubwa TIMES FM. Je, BAKWATA wana uwezo wa kupambana na vyombo hivyo?

5. Je, Serikali inaweza kukabidhi Mahakama ya Kadhi kwa wanaharakati wa Kiislamu? Nina hakika haiwezi kufanya jambo hilo na kama haitofanya hivyo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaweza kupata hasara zifuatazo:
(a) Wakristo wote wanaweza kujitoa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga katika chama cha CHADEMA ambacho hakina Mahakama ya Kadhi katika Ilani yake.
(b) Waislamu wote walioko chini ya Shuura ya Maimamu ambayo ni Mpinzani Mkuu wa BAKWATA wataendelea kuipinga Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa kuikumbatia BAKWATA na huku wakiendelea kuiunga mkono CUF, hivyo CCM itajikuta imebakia na Waislamu wanaoiunga mkono BAKWATA tu. Suala la wanaharakati kuipinga Mahakama ya Kadhi ni jambo rahisi sana kwa vile Mahakama ya Kadhi sio madai yao ya msingi.

6. Waislamu (wanaharakati) dai lao la msingi ni MGAWANYO SAWA WA MADARAKA. Hivyo Serikali inapounda Wizara, wao hutizama Baraza la Mawaziri, WAISLAMU NI WANGAPI NA WAKRISTO NI WANGAPI NDIO MAANA WANAIUNGA MKONO CUF, KWA VILE CUF IMEELEWA TATIZO LAO NA WAO WAKAJA NA KAULIMBIU YA HAKI SAWA KWA WOTE, yaani kwa Wakristo na Waislamu, wala Ilani ya Uchaguzi ya CUF haisemi lolote kuhusu Mahakama ya Kadhi WALA HAITOSEMA!!

7. Pia Waislamu wanaharakati wanaelewa kuwa Mahakama ya Kadhi haina manufaa yoyote kwa Waislamu, kwa vile Zanzibar ipo na WAISLAMU WA ZANZIBAR HAWANA MAENDELEO YOYOTE KUWAPITA WALE WA BARA, NA UISLAMU SI NDOA NA MIRATHI TU WALA MUNGU HASEMI "SOMETHING IS BETTER THAN NOTHING." Huu ni msemo wa Wazungu.

8. Mwenyezi Mungu anasema: INGIENI KATIKA UISLAMU WOTE NA MSIFE BALI MMEKUWA WAISLAMU KAMILI (Surat Baqarah ya 2 aya ya 208). Kwa hiyo mimi nikiwa kama Mwislamu nashauri kuwa Mahakama hiyo ISIWEPO kwani haitakuwa na manufaa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) na italeta mgawanyiko miongoni mwa wanachama wako, chukulia mfano Zanzibar, Mufti na Kadhi wanavyopingwa na wanauamsho ambao wanaongozwa na Sheikh Farid hali wanauamsho ndio Shura ya Maimam na Shuura ya Maimam ndiyo Uamsho.


KWANINI MASHEIKH WA BAKWATA WANAITAKA?
9. Wanaelewa wanachokifanya, wao wanajua fika kuwa Serikali itakapoanzisha Mahakama ya Kadhi watakuwa wamepata AJIRA, kwa hiyo wao wanapigania maslahi yao tu, hawawezi kuangalia madhara yatakayokikumba Chama Cha Mapinduzi (CCM) na huku wakijua kuwa ushawishi wao ni mdogo katika Jamii ya Kiislamu na hawana hata Miundumbinu ya kuwashawishi Waislamu wote waweze kumkubali Mufti, na hali ya Mufti ameshaweka wazi milango kwa Taasisi zote za Kiislamu na Waislamu waje washirikiane naye.

10. Masheikhe hawa wanaelewa kuwa hakuna Hakimu anayehukumu makosa mawili tu, yaani NDOA na MIRATHI, ukiletewa mzinifu huruhusiwi kumhukumu, ukiletewa mwizi huruhusiwi, nk. lakini wanang'ang'ania hivyo hivyo kwa ajili ya mishahara tu na hiyo ni hatari.

11. Hujaribu kutoa hata mifano ya Serikali ya Uingereza kwamba mwaka 1920 iliweka Mahakama hizo, ukweli ni kwamba Serikali ya Uingereza haikuweka Mahakama za Kadhi tu bali za Maakida na Maliwali, lakini pia sababu ya kuziweka Mahakama hizo siyo kwa ajili ya kuutunza Uislamu au uliwali bali ilikuwa ni mbinu ya kuwatuliza Viongozi hao ili waweze kuwatawala bila vurugu kwani mkoloni aligundua kuwa ni watu wenye ushawishi katika jamii kwa hiyo ile ilikuwa ni mbinu ya kiutawala ili Masheikhe, Maliwali na Maakida wajione kuwa na wao ni sehemu ya Serikali ya Muingereza, kumbe ni watawaliwa, hivyo bado hoja hiyo haina msingi wowote wala haina maana kwamba Serikali ya Mkoloni ilikuwa nzuri kwa Waislamu kuliko hii ya CCM, na huku tukiambiwa kuwa Waislamu ndiyo walioanzisha harakati za kudai Uhuru, kama walikuwa wazuri kwa nini tuliwaondoa.

12. CCM inayo mambo mengi ya kujivunia kwa Waislamu kama vile kuwapatia Chuo Kikuu, na hilo ni jambo muhimu na la msingi kwa maendeleo ya Uislamu na Waislamu, kwa hiyo JAMBO HILO LA MAHAKAMA YA KADHI mnapaswa kuliangalia kwa umakini ijapokuwa limo ndani ya Ilani yenu. Lakini si kila jambo lililomo ndani ya Ilani litekelezwe, mengine yanaweza kushindikana kwa matatizo mbalimbali na hili ni tatizo kubwa KWANI LINAWEZA KUZAA MGOGORO WA KIDINI!!

WAKRISTO WANA HAKI YA KUPINGA MAHAKAMA YA KADHI
13. Sehemu kama Zanzibar ni rahisi kuweka Mahakama ya Kadhi kwa vile Waislamu kule ni asilimia 99.99 hali kama hiyo Wakristo kule ni kama hawapo wamemezwa kwa uchache wao. Lakini BARA NI PAGUMU kwa vile HUENDA WAKRISTO NI WENGI KULIKO WAISLAMU. KWA VILE WAISLAMU KWA UHAKIKA HUPATIKANA MIKOA ISIYOZIDI SITA AMBAYO NI DAR ES SALAAM, LINDI, TANGA, MTWARA, KIGOMA NA TABORA, pia katika mikoa hiyo siyo Wilaya zote, kwa mfano Mkoa wa Kigoma ni Ujiji na Kigoma Mjini tu.

14. Pamoja na hayo Masheikhe wa BAKWATA wanaoshikilia suala la kuwepo kwa Mahakama ya Kadhi bado hawajafahamu nini tatizo la Wakristo, hata hawakubali kuwepo kwa Mahakama hiyo, siyo kweli kabisa kwamba Wakristo hudhani Mahakama hizo zitawahukumu wao, la hasha na Masheikhe hutumia muda mwingi kuwaelimisha juu ya hilo, wakati hilo sio tatizo lao, na ni udhaifu wa kutokujua madai au matatizo ya mpinzani wako, ni nini tatizo la Wakristo ni hili:

(a) Mkumbuke kwamba mwaka 1993 hapa Tanzania kulikuwa na mgogoro wa bucha za nguruwe, mgogoro huo ulizaa harakati kubwa za Waislamu ambazo makao yake makuu yalikuwa msikiti wa Mtoro na kiongozi mkuu alikuwa marehemu Kasim bin Juma. Waislamu walipinga kuwepo Ubalozi wa Vatican hapa Tanzania na bado wanaendelea na msimamo huo hadi leo, wakati ubalozi huo hauendeshwi kwa Fedha za walipa kodi wa Tanzania bali ni Vatican yenyewe. JE, ITAKUWAJE LEO WAKRISTO WAKUBALI ZIWEPO MAHAKAMA AMBAZO ZITATOA AJIRA KWA WAISLAMU, KUANZIA MTAA, KATA, TARAFA, WILAYA, MKOA HADI TAIFA, TENA KWA FEDHA ZA WALIPA KODI WA TANZANIA WAKIWAMO NA WAO WAKRISTO? Hilo ndilo tatizo lao na hapo ndipo BAKWATA wanatakiwa wapatolee maelezo.

(b) Kwamba, mabilioni ya Watanzania yatakayowalipa Masheikhe kila mwezi nao wao watanufaikaje? Huo ndio mgogoro uliotengenezwa na Ilani yenu na ambao unaweza kuwagharimu katika uchaguzi ujao wa mwaka 2010 ENDAPO WAKRISTO WAKIIGA MFANO WA WAISLAMU WA MSIKITI WA MTORO walipoamua kukusanya Kadi za CCM mwaka 1993 ingawa jaribio hilo lilizimwa na Viongozi wa CCM.

HOJA ZA SHEIKH BASALEH
15. Sheikh Ali Basaleh ndiye ambaye amelielewa tatizo la Maaskofu ingawa ametoa mfano mzuri wa kuwatuliza katika kipeperushi chake cha Wito cha tarehe18/08/2006. Ijumaa kuwa kama mtu ana watoto wawili mmoja anakula sana na mwingine hali sana, Je, baba atamzuia yule anayekula sana ili alingane na yule asiyekula sana? Mfano wake ni mzuri lakini haufanani na tatizo lililopo kwani fedha za baba hazichangiwi na watoto wake, bali baba huzitafuta yeye mwenyewe kwa nguvu zake, LAKINI FEDHA ZA BABA SERIKALI ZINATOKANA NA KODI YA WAISLAMU NA WAKRISTO, HIVYO SERIKALI HAIPASWI KUTUMIA FEDHA NYINGI KWA DINI MOJA LAZIMA ITALETA MGOGORO NA NDIYO MAANA SISI WAISLAMU TUMEKUWA TUKIDAI HAKI SAWA!

16. Katibu Mkuu ni matumaini yangu kuwa hekima itatumika katika kulitatua tatizo hilo kwani ni rahisi kuziba ufa kuliko gharama za kujenga ukuta mwisho nakutakia kazi njema pamoja na afya njema.

WABILAH TAUFIQ,
ASANTE.
USTADH A. S. MKAMBAKU,
KATIBU MKUU.

Nimeukubali sana ukweli huu
 
Leo hii Kanisa lilngefunga huduma zote zinazotolewa na Kanisa mashule, mahospitali, vyuo vikuu, vituo vya kulea yatima na wagonywa wa ulemavu, nk ingekuwa janga kubwa tu kwa nchi yetu

Kwanini watu hawashangai kwamba Baba wa Taifa alitaifisha mashule na mahospitali mengi ya Kanisa na kuyafanya mali ya serikali lakini wakristu hawalalamiki

Nadhani amani ya nchii imebebwa sana na utulivu wa wakristo

Uko sahihi sn
 
Ujue kama Quaran haina kifungu kinachoonesha mototo ni haramu basi mnafanya ubaguzi tu na hautakiwi kufumbiwa macho. Kila mnachofanya lazima kiwe na reference ya Quran na si kazi ya kadhi kutangua sharia ya mungu wenu. Ndo hapa watu wanaogopa mnayofanya.

Pia, suala la kuumwa nilisema halichagui, mimi naenda hospitali hata zahanati yoyote, ninachoangalia huduma.

We unaogopa nguruwe wenzako kila siku wanakula

Hata mahakama ya kadhi ni ya kijamii wewe. Mkristo akizaa na mwislamu yule mtoto atakuwa na haki ya kurithi mali ya mwislamu. Na ndo mahakama kazi yake kutoa hukumu na kugawa "ratio" huyo mtoto wa kikristo apate haki yake. Kwa sasa utasikia mtoto wa aina hiyo anaitwa haramu....kitu ambacho si sahihi kwa mujibu wa uislamu. Kadhi yupo kwa ajili ya watanzania wote acheni umbumbumbu!!!!! Hata ndoa kati ya mwislamu kumwoa mkristo Kadhi ndo anahaki ya kuihalalisha we vipi? Unachuki isiyo na maana kabisa. Hicho chuo cha Moro kinahudumia dini tu? We bange kweli wewe. Ina maana hao mama ntilie wanauza vyakula wanatoka msikitini tu? Na huo mshahara wa wahadhiri unalipwa na waislamu tu? Bange hizo.....! Mmeona mahakama ya kadhi tu? Tumejaribu kuwaonesha ukweli kidogo tu mmehama mada.....!Unaleta masuala ya kuumwa! Kwani ni lazima utibiwe kwenye hospitali za kikristo? Ni lazima? Siyo lazima. Una uhakika gani sheikh huwa anatibiwa hospitali hizo? Kwa hiyo hospitali zenu ndo zinaonekana muhimu na lazima serikali ichangie. Ubaguzi utawaua ninyi wala nguruwe.....!
 
Sasa hivi Kanisa limeruhusu ndoa za wanaume kwa wanaume tena zinafungwa Kanisani mahakama ya Kanisa inasemaje?

Kanisa gani limeruhusu?labda hizo ndoa zifungiwe msikitini,na uwe unatoa maneno mazuri si yauongo,waislam mmeshindwa kujitegemea kwakukosa ubongo wa kufikiri,na hata kuongea napo hamuwezi kwakuwa vichwani mmejaa funza ndiyo maana hoja zenu ni uharo tu.
 
Mfumo wa mahakama uliopo sasa hivi ni wa kikiristo, kwa zaidi ya asilimia 90. Na huu uliachwa na wakolon waingereza ambao walikuwa wakiristo. Kwa maana hiyo basi sheria za nchi ni za kikiristo
Hapana si kweli hata kidogo kwamba mfumo wa sheria zetu ni wa kikristo. Mbona hazifanani na matakwa ya biblia? Kwa mfano biblia inakataza talaka lakini mahakama zetu zinatoa talaka. Vile vile biblia inataka tusameheane 7×70 lakini mahakama zetu hazina msamaha.
 
Kwani hizo hospital zenu tunatibiwa bure au shule zenu tunasoma bure Kanisa linafanya biashara kama hospital zingine Agha Khan, TMJ, Hindu Mandal.

Hizo Bilioni 61.9 mnazopewa na serikali zinaweza kujenga hospital mbili kubwa kila mwaka na shule.

Hiyo MOU ifutwe mara moja hata kesho haina faida yeyote kwa mwananchi zaidi ya kulinufaisha Kanisa.

Kwahiyo mahakama ya kadhi ni MoU ya Waislam na serikali ili hiyo billion 61.9 zianze kuingia kwa waislam? Nafikiri njia nzuri ilikuwa kuishtaki serikali ili mahakama ziizuie serikali kupeleka hiyo bilioni 61.9 kwa wakristo. Vinginevyo tutatoa mapovu sana huku JF bila Mabadiliko yoyote kutokea!
 
Back
Top Bottom