Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

Akhsante nimekuelewa vzr na yote ni ukweli mtupu na huo mfn; wa Kigoma ni ukweli mtupu kama huamini nenda Kasulu + Kibondo mjini na vijijini then fanya tathmini.
 
Niliwahi msikia Makamu wa Raisi Gharibu Bilal akiwaasa waislamu waache kulalamika wapeleke watoto shule na wajenge shule,misikiti,mahospitali na vyuo. Huu ulikuwa ushauri mujarabu mno kwa ndugu zetu hawa.
 
Mkuu,

Pana lolote nami ati nichangie ama ...!?

Niwie radhi maana majukumu yalinikinza, daah!

Ndo sasa naona wito wako hapa.

Ahsanta na tuendelee kuwafuatiza waerevu wetu ikiwa sisi hatuna ilimu nalo.

.... nipo kipembeni hapa.

Subalkheir sheikh.

Nilidhani uzi unaweza kukupita ukakosa ilim ya kupanua ufahamu wa mambo khasa yanayofanyika upande wa pili. Si lazima tuchangie bali tusome wajuvi wa haya mambo wanavyodadavua huja pasi na kejeli
 
Nimependa sana kufahamu HABARI hii. Mbona wakristo hawadai mahakama yao iwekwe kwenye katiba na itambulike kisheria?

Kwa nini Waislamu hupenda Ibada zao (ie Mahakama ya Kadhi) zianzishwe na kugharamiwa na Serikali? BAKWATA yenyewe ilianzishwa na Serikali hawaitaki, cha kushangaza wanataka Serikali hiyo hiyo iwaanzishie Mahakama! Dawa yake ni kuwaacha wajianzishie Taasisi zao kama wanavyofanya Wakristo!
 
Labda mna mahakama za kusuluhisha ndoa za mashoga maana ni ruksa hata Italy Buchanan
 
Last edited by a moderator:
Labda mna mahakama za kusuluhisha ndoa za mashoga maana ni ruksa hata Italy Buchanan
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha... ngoja aje ritz ,faizafoxy,simiyu yao, na wengineo ..... hii thread wataichafua na hawachelew kutangaza ..... haya, mi naangalia tu. salaam aleikhum.

Wataichafuaje, hapa mtoa mada hajaleta porojo kaleta facts sasa anayepingana na facts ni zaidi ya kichaa, usiwasingizie hao kuwa ni vichaa kwani nao wana macho na wanaona ok?, na siyo kila mada lazima utukane nao huwa wanachoka kutukana kaka.
 
Labda mna mahakama za kusuluhisha ndoa za mashoga maana ni ruksa hata Italy Buchanan

Sio hilo tuu,hata kuhukumu kesi ya Mama yako aliekamatwa akiendesha Gari Saudi Arabia maana huko ni dhambi Mwanamke kuendesha Gari kwa mujibu wa Quran.
 
Last edited by a moderator:
Serikali ilishatamka tena kwa kuweka kwenye katiba ya nchi kuwa haina DINI,na itambulike kuwa ndoa na mirathi ipo kwa mujibu wa sharia na taratibu za kiislamu.Sasa sijui mnapinga nini kuhusu mahakama ya kadhi kwa ajili ya mambo ya kiislamu?
 
Hivi leo mkuu wa wilaya akimbatiza muumini wa kikristo ubatizo wake unatambuliwa na kanisa?
 
Waislamu wanalo la kujifunza kwa utaratibu huu!

Hawa jamaa hawana la kujifunza zaidi ya kuendeleza choko choko zisizo kuwa na masilahi kwa taifa letu.Watanzania tuna matatizo mengi ,haya masuala ya dini ni ya watu binafisi wala serikali haitakiwi kuhusishwa.
 
Wakuu,
Kumbe hata Wakristo wana Mahakama zao, Serikali ifike mahali itungie Sheria Mahakama za Kanisa ili zitambuliwe kisheria na kama ikiwezekana Kikatiba! Naomba kutoa hoja!

10653647_884656378222843_2855008467810999438_n.jpg

Halafu waislam wanataka sisi Wakristo tutoe kodi zetu kuhudumia ndoa zao za mitala zisizoisha mtu anakuwa na bidii ya kuoa hata kuliko kusoma. YESU KRISTO alisema "Mke mmoja Mume mmoja" zaidi ya hapo anasema wahusika wanafanya zinaa.

Nasema kamwe kodi yangu isishughulikie UZINIFU. Waacheni wazinifu waushughulikie uzinifu wao.
 
Serikali ilishatamka tena kwa kuweka kwenye katiba ya nchi kuwa haina DINI,na itambulike kuwa ndoa na mirathi ipo kwa mujibu wa sharia na taratibu za kiislamu.Sasa sijui mnapinga nini kuhusu mahakama ya kadhi kwa ajili ya mambo ya kiislamu?
Hata serikali wanajua fika hilo jambo hiwezekani na halitakuja kuja kuwezekana.Hata Rais akiwa nani? Hivi ni sababu zipi zinazopelekea kuitaka serikali kuwaanzishia mahakama zenu,kwa nini msianzishe wenyewe na kuzigharamia nyinyi wenyewe kama wanavyofanya wakirsto.Au nyinyi ni bora kuliko wengine.?
 
After all hakuna aya yoyote ndani ya Qur'an inayosema kuwa Mahakama za Kadhi LAZIMA zianzishwe na kuendeshwa na Serikali!!

usiongee usichokijua ukataka kuleta ubishi. Kama hujui hata asilimia 1 ya dini ya mwanzako usiongelee
 
Halafu waislam wanataka sisi Wakristo tutoe kodi zetu kuhudumia ndoa zao za mitala zisizoisha mtu anakuwa na bidii ya kuoa hata kuliko kusoma. YESU KRISTO alisema "Mke mmoja Mume mmoja" zaidi ya hapo anasema wahusika wanafanya zinaa.

Nasema kamwe kodi yangu isishughulikie UZINIFU. Waacheni wazinifu waushughulikie uzinifu wao.

Bubu hutaka kusema ee mambo, mambo yanapomzidiaaa
imenibidi mwenzenu leo nisimame mbele yenu kauli yangu kuitoaaa.

Hao ni DDC MLIMANI PARK ORCHESTRA mwaka 1979.
 
Mfumo wa mahakama uliopo sasa hivi ni wa kikiristo, kwa zaidi ya asilimia 90. Na huu uliachwa na wakolon waingereza ambao walikuwa wakiristo. Kwa maana hiyo basi sheria za nchi ni za kikiristo

Canon law is the mother of secular and religious law
 
Hivi leo mkuu wa wilaya akimbatiza muumini wa kikristo ubatizo wake unatambuliwa na kanisa?

Hatutautambua. Na ndio maana Tunafanya wenyewe makanisani bila kuitaji msaada wa serekali we mburula. Na kama Dini yenu haitaki kutambua kitu kinachofanywa na serekali basi fanyeni wenyewe kwa hela yenu
 
Jamani kuweni waelewa!katiba ya nchi inasema serikali haina dini kwanini kuibebesha serikali masuala ya dini?waislam kama waliahidiwa mahakama wasiidai serikali waidai ccm ndio walio waahidi.
 
Back
Top Bottom