masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,643
- 14,640
Mmekamstwa pabaya, na uzandiki wenu sasa upo peupe.LWewe na wachangiaji wote waliotetea mahakama ya kanisa inagharamiwa na kanisa ni waongo. Hakuna ushahidi usio na shaka waliouleta.
Mimi nitoe ushahidi kidogo tu. Hilo tangazo limetolewa na polisi. Je kanisa lina polisi wake? Jibu ni hapana...Wametumia jeshi la polisi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania....! In maana kuna gharama pale....Ni nani amelipa gharama za polisi kushughulika kesi hiyo ya ndoa? Polisi aliyeandika RB kwenye mshahara wake wata u-"apportion" part ya huo mshahara kiasi ulipwe na serikali na kiasi ulipwe na kanisa? Maana alishughulikia masuala ya dini ambayo tumesema yasigharamiwe na serikali......! Si ndiyo jamani?
Nije kwenye mahakama ya kadhi. Huwa haitumii jeshi la polisi!!!! Unaletewa barua ya kawaida tu kuitwa kwenye wito wa mahakama ya kadhi. Wenzetu wanatumia serikali!!!! Ni nani anayegharamia administrative expenses za mahakama ya kanisa....?
Kwa hiyo kwa kuwa makahama ya kanisa inatambuliwa na serikali kunavurugu zozote zimeshatokea ama ni kwa mahakama ya kadhi tu?????
Katiba inaitambua mahakama ya kanisa ndo maana polisi wanatumika. maana yake kama mtu atakaidi wito kwenye RB hapo juu maana yake polisi watamkamata kwa nguvu na kumpeleka mahakamani (huko kanisani). Na atawekwa mahabusi gani?
Mbona mahakama ya kanisa inatambulika na serikali je katiba imeshachanwachanwa? Maana umesema watakuja answar sunna, sunni nk. kwa hiyo ni vurugu....! Mbona hatujaona KKKT, Wasabato, Anglican nao wametaka mahakama ya kanisa? Kumeshatokea vurugu? Tafakari sana acha chuki za kidini wewe.....
Leo hii mwislamu wa sunni ana mchinja mwislamu mwenziwe wa shia, halafu mwataka haya ysingie kwenye katiba.
Islamu sass hivi imegawanyika dunia nzima kuwa vikundi vya wauaji na watu wa maasi.
Mahaksma anzisheni wenyewe wenye uchungu nayo ili mkatane vichwa na kuchomana moto.
Tatixo lako mtoa posti hujui hata matskwa ya dini yako hafi unaegemea kwenye ukristo, ati tangazo limetolewa na polisi!!!
Ielewe dini yako ili masuala yenu yamalizike huko huko.Ulazimishaji wa uingizaji wa uislamu katika katiba kutasababisha kupsua boti ili tugawane mbso.