Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

Sio suala jipya kusikia mahakama za Kanisa hasa Kanisa Katoliki. Kila jimbo au kanda ya Kanisa ina mahakama yake na majaji pia.

Kesi zinazohusu masuala ya kiimani au kiutaratibu wa Kanisa husikilizwa na kutolewa uamuzi. Wakati mwingine kesi ngumu hupelekwa Roma kwa maamuzi ya juu zaidi kwani mahakama ya Roman, The Roman Tribunal ndiyo yenye uwezo wa mwisho wa kutatua mambo fulanifulani.

Lakini mahakama hizi haziingilii kazi za mahakama za kidunia na wala haziendeshwi kwa fedha za serikali kama wanavyotaka waislamu

Soma hapa:Ecclesiastical court - Wikipedia, the free encyclopedia
Sasa hivi Kanisa limeruhusu ndoa za wanaume kwa wanaume tena zinafungwa Kanisani mahakama ya Kanisa inasemaje?
 
Sasa wewe unahangaika na ilo bandiko limo humu JF toka 2009 unaona kama umekuja na jipya ilo ni tawi la Bakwata.

Kanisa lipewa na serikali kila mwaka Bilioni 61.9.

Kwenye hizo pesa kuna kodi ya Waislam.
kanisa linajiendesha kwa sadaka zetu. ila hospitali zetu na shule zimeombwa, narudia tena "ZIMEOMBWA NA SERIKALI" kuwa designated kwasababu serikali haina hospitali maeneo yote ili walau raia wengi wahudumiwa, la sivyo kama tungeingia shule na hospitali kwa vitambulisho vya dini basi waislam wangeishia kutibiwa kwa waganga wa jadi na watoto wao wote wangekuwa wapiga debe na mahousegirl kwa kutokwenda shule na kukosa hospitals, kwasababu ninyi mnazo chache. kwenye hospitali za kikristo wagonjwa wengi unaweza kushangaa ni waislam wenzio na wanatibiwa bila kuulizwa dini, hauoni kama waislam wanafaidi pia? hiyo nayo inahitaji kwenda shule kugundua kuwa MOU haiwafaidishi wakristo bali taifa including waislam? na hata hivyo bora tuondoe mou na hospitali zetu tutaweza kuzihudumia kwa sadaka zetu na garama ya matibabu itapanda tuone itakuwaje.
 
kanisa lililoruhusu ushoga ni anglican la uingereza na marekani, ambalo kwa tz ni asilimia ndogo sana wengi wapo DODOMA na mtwara tu, wakristo wengine wooote wanaipinga hiyo issue. tatizo huwa mkisikia wakristo huwa mnafikiri wana imani moja na wana dhehebu moja. mimi sio muanglican wala mkatoliki, imani yangu pamoja na kwamba ni mkristo, ni kinyume kabisa na mkatoliki, ni vitu viwili kabisa. lakini kwa muislam utasikia watajumuisha sisi wote kwenye kapu moja. kuna wakristo wengi tu ambao wapo kwenye kapu moja na ninyi kwa kutowafagilia wakatoliki na waanglican, na kama tukidai mahakama zetu mbona patachimbika.
 
Huu ndio ujinga wa watu fulani kufikiri Kanisa linapew fedha na serikali. Nyumba za ibada za watu hawa ndio vijiwe vya uwongo na uchonganishi

Nafikiri kanisa linatoa mchango wa zaidi ya Bilioni 500 kwa serikali kupitia mashule, mahospitali, matoleo na misaada tele ya wahisani wa Kanisa

Ujinga unaoenezwa ndani ya nyumba za ibada ndio unaosababisha maafa na mateso makubwa kila kona duniani, angalia tv za kimataifa BBC, CNN, ALJAZEERA utaona balaa hili
 
hujui kitu wewe nyamaza utechekwa, italy na vatican ni nchi tofauti
nimeishi italy hata mwezi uliopita nimetoka italy, ndoa za jinsia moja italy hazikubaliki. hata hivyo mashoga wapo wengi tu kama walivyo wengi saudi arabia na uarabuni ambako mabinti karibia wote wanaolewa na bikra ya mbele lakini ya nyuma kwenye kinyeoo kumeputuliwa.
 
kanisa linajiendesha kwa sadaka zetu. ila hospitali zetu na shule zimeombwa, narudia tena "ZIMEOMBWA NA SERIKALI" kuwa designated kwasababu serikali haina hospitali maeneo yote ili walau raia wengi wahudumiwa, la sivyo kama tungeingia shule na hospitali kwa vitambulisho vya dini basi waislam wangeishia kutibiwa kwa waganga wa jadi na watoto wao wote wangekuwa wapiga debe na mahousegirl kwa kutokwenda shule na kukosa hospitals, kwasababu ninyi mnazo chache. kwenye hospitali za kikristo wagonjwa wengi unaweza kushangaa ni waislam wenzio na wanatibiwa bila kuulizwa dini, hauoni kama waislam wanafaidi pia? hiyo nayo inahitaji kwenda shule kugundua kuwa MOU haiwafaidishi wakristo bali taifa including waislam? na hata hivyo bora tuondoe mou na hospitali zetu tutaweza kuzihudumia kwa sadaka zetu na garama ya matibabu itapanda tuone itakuwaje.
Kwani hizo hospital zenu tunatibiwa bure au shule zenu tunasoma bure Kanisa linafanya biashara kama hospital zingine Agha Khan, TMJ, Hindu Mandal.

Hizo Bilioni 61.9 mnazopewa na serikali zinaweza kujenga hospital mbili kubwa kila mwaka na shule.

Hiyo MOU ifutwe mara moja hata kesho haina faida yeyote kwa mwananchi zaidi ya kulinufaisha Kanisa.
 
Leo hii Kanisa lilngefunga huduma zote zinazotolewa na Kanisa mashule, mahospitali, vyuo vikuu, vituo vya kulea yatima na wagonywa wa ulemavu, nk ingekuwa janga kubwa tu kwa nchi yetu

Kwanini watu hawashangai kwamba Baba wa Taifa alitaifisha mashule na mahospitali mengi ya Kanisa na kuyafanya mali ya serikali lakini wakristu hawalalamiki

Nadhani amani ya nchii imebebwa sana na utulivu wa wakristo
 
kanisa lililoruhusu ushoga ni anglican la uingereza na marekani, ambalo kwa tz ni asilimia ndogo sana wengi wapo DODOMA na mtwara tu, wakristo wengine wooote wanaipinga hiyo issue. tatizo huwa mkisikia wakristo huwa mnafikiri wana imani moja na wana dhehebu moja. mimi sio muanglican wala mkatoliki, imani yangu pamoja na kwamba ni mkristo, ni kinyume kabisa na mkatoliki, ni vitu viwili kabisa. lakini kwa muislam utasikia watajumuisha sisi wote kwenye kapu moja. kuna wakristo wengi tu ambao wapo kwenye kapu moja na ninyi kwa kutowafagilia wakatoliki na waanglican, na kama tukidai mahakama zetu mbona patachimbika.
Waanglican siyo Wakisto?
 
Kwani hizo hospital zenu tunatibiwa bure au shule zenu tunasoma bure Kanisa linafanya biashara kama hospital zingine Agha Khan, TMJ, Hindu Mandal.

Hizo Bilioni 61.9 mnazopewa na serikali zinaweza kujenga hospital mbili kubwa kila mwaka na shule.

Hiyo MOU ifutwe mara moja hata kesho haina faida yeyote kwa mwananchi zaidi ya kulinufaisha Kanisa.

Wewe unafikiri kwanini serikali ya Kikwete mwisilamu inagawia kanisa bilioni 60 lakini hawatoi chochote kwa misikiti anayosali rais, inaingia kichwani kwako tu na watu kama wewe lakini sio wengine
 
Waanglican siyo Wakisto?
kwahiyo na kwa upande wako wewe, kwasababu waanglicana ni wakristo basi wakristo wote ni waanglicana,....that means, kwasababu boko haram ni waislam basi na waislam wa tz ni boko haram, kwasababu ISIS na al shabab ni waislam basi waislam wote duniani ni isis na al shababu? hiyo ndio akili ya kukimbia shule kutegemea madrasa halafu unakuwa kilaza usiyejua kufikiri.
 
Huu ndio ujinga wa watu fulani kufikiri Kanisa linapew fedha na serikali. Nyumba za ibada za watu hawa ndio vijiwe vya uwongo na uchonganishi

Nafikiri kanisa linatoa mchango wa zaidi ya Bilioni 500 kwa serikali kupitia mashule, mahospitali, matoleo na misaada tele ya wahisani wa Kanisa

Ujinga unaoenezwa ndani ya nyumba za ibada ndio unaosababisha maafa na mateso makubwa kila kona duniani, angalia tv za kimataifa BBC, CNN, ALJAZEERA utaona balaa hili
Wewe punguani kweli eti Kanisa linatoa misaada kwa serikali misaada gani weka ushahidi, unaokota maneno kwenye vijiwe vya mbege unaleta JF lete data.
 
kwahiyo na kwa upande wako wewe, kwasababu waanglicana ni wakristo basi wakristo wote ni waanglicana,....that means, kwasababu boko haram ni waislam basi na waislam wa tz ni boko haram, kwasababu ISIS na al shabab ni waislam basi waislam wote duniani ni isis na al shababu? hiyo ndio akili ya kukimbia shule kutegemea madrasa halafu unakuwa kilaza usiyejua kufikiri.
Usiame kwenye mada Angalikana siyo Wakirsto? Wakirsto wapo wengi tu Ulaya na Marekani wanaruhusu USHOGA unataka kuwafuta hata hao Katoliki wameomba msamaha baada ya Makasisi wao kuwalawiti wototo na hii unapinga wewe punguani wahed.
 
Wewe punguani kweli eti Kanisa linatoa misaada kwa serikali misaada gani weka ushahidi, unaokota maneno kwenye vijiwe vya mbege unaleta JF lete data.

Toa uthibitisho kwamba Kanisa linapokea bilioni 60 kutoka serikalini
 
Kwani hizo hospital zenu tunatibiwa bure au shule zenu tunasoma bure Kanisa linafanya biashara kama hospital zingine Agha Khan, TMJ, Hindu Mandal.

Hizo Bilioni 61.9 mnazopewa na serikali zinaweza kujenga hospital mbili kubwa kila mwaka na shule.

Hiyo MOU ifutwe mara moja hata kesho haina faida yeyote kwa mwananchi zaidi ya kulinufaisha Kanisa.

Hospitali za dini na za serikali gharama za matibabu zinalingana linganisha hata Bugando na Muhimbili, halafu ujue wanufaika wakubwa ni wananchi wakiwemo waislamu mfano mwaka jana mwezi wa tisa zaidi ya 65% wagonjwa waliotibiwa Bugando walikuwa waislamu na hii ilitokana na mfungo wa ramadhan watu wakaamsha magonjwa.
 
Wacha uongo Bugando gharama zipo juu sana tofauti na muhimbili au Amana, Bugando kuna rushwa hatari kama una pesa mgonjwa wako anafia mapokezi.
 
Mkuu hamasisha waislamu wenzako mjenge Bugando yenu ili mfaidi bil 60 kama wakatoliki mbona serikali ipo tayari na ilishasema hivyo.
 
Back
Top Bottom