Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

Wanajamvi.

Kutokana na kile kinachooneka kwamba ni KUSHAMIRI NA KUOTA MIZIZI KWA MFUMO KRISTO NDAN YA NCHI HII hali imeeendelea kuwa kizungumkuti kuhusu Suala hili la mahakama ya KADHI baina ya Jamiii ya waislam na hawa ndugu wengine wa upande wa pili.

Pindi ambapo waislam walikuwa wanapendekeza sheria ya mahakama hiyo ya kadhi itambuliwe kisheria tayari Wakristo walishadhirasimisha mahakama hizo na hakuna kipongamizi chochote walichopata kutoka kwa waislam??

Na huko kuzirasimisha bila shaka kumepata ridhaa ndan ya bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania??

Mahakama hizo za kanisa hushugulikia migogoro ya ndoa...likewise mahakama za kadhi hushughulikia mambo ya ndoa na mirathi...hakuna mambo ya jinai yanayoweza shughulikiwa na mahakama hizo sasa tatizo liko wapi??

Maaskofu wameshinikiza kila aina ya mashinikizo eti hili suala ligonge mwamba ili hali wao tayari suala hili wanalo na hakuna aliewapinga.

Tatizo ni nin lakin??

Naweka hii attachment hapa chini inayoonesha na kuthibitisha hiki tunachokisema na KUITAHADHARISHA SERIKALI SUALA LA KUUMBATIA MFUMO KRISTO NA MASHINIKIZO YA MAASKOFU YASIYO NA TIJA YATALIPELELEA TAIFA HILI SEHEMU MBAYA.

HII NI NCHI YETU SOTE NA KILA MTU ANA HAKI YA KUPATA HAKI ZAKE ZA MSINGI KIKATIBA IKIWEMO HAKI HII YA UHURU WA MAMBO YA IMANI.

KIPI SASA KOLICHOFANYA SHERIA HII NA BUNGE KUIRASIMISHA MAHAKAMA ZA KANISA NA IWE SHIDA KUIRASIMISHA MAHAKAMA ZA KADHI?

UKIANGALIA HII ATTACHMENT HAPA CHINI UTAONA KWAMBA MTU KAITWA KWENDA MAHAKAMA ZA KANISA KWA R.B YA POLISI NA MAANA NI KWAMBA AKIKAID POLISI ITAMCHUKULIA HATUA.

POLISI HAWA WANAOENFORCE HIYO SHERIA SI WANATUMIA KODI YETU PIA?

IWEJE KODI YETU SISI ITUMIKE KUTEKELEZA ORDER ZA MAHAKAMA ZA KANISA??

HII SIO HAKI NA MWISHO WAKE SIO MWEMA.

DOUBLE STANDARDS YA NIN?

wewe ni mchochez na unaulewa mdogo mithili ya mtu mwenye elimu ya kaptula,ok wanayo lakn haifungaman na mfumo wa kiserikal,ulisikia wapi wakristo wakitaka mahakama zao zitambuliwe na katba au kuhudumiwa na serkali,uelewa mdogo ndo unawafanya kila siku watu wa kulalamika,peleka watt shule badala ya kukimbilia kuwaozesha!!"lets be objective and realistic!!"!achen porojo za kijuha.
 
Uwo ushahidi wako uko wapi sasa mbona unatunyima nguvu mkuuu wa kuchngia mada yako . Yanakuwa kama maneno ya mtaani tu weka ushahidi watu tumwagike hapa.
 
wewe ni mchochez na unaulewa mdogo mithili ya mtu mwenye elimu ya kaptula,ok wanayo lakn haifungaman na mfumo wa kiserikal,ulisikia wapi wakristo wakitaka mahakama zao zitambuliwe na katba au kuhudumiwa na serkali,uelewa mdogo ndo unawafanya kila siku watu wa kulalamika,peleka watt shule badala ya kukimbilia kuwaozesha!!"lets be objective and realistic!!"!achen porojo za kijuha.

ignorance&poverty are two compatible sins that suffocate many people in TZ!!
 
Mkuu big sHOW tatizo kubwa la hawa waumini wa upande wa pili ni kuishi na kumezeshwa vitu na viongozi wao pasipo kuhoji undani au uhalali wa jambo husika.Ukiangalia kwa undani ni HOFU,UCHOYO tu vimetawala juu ya suala la KADHI.Kuna wajinga wanahoji mpaka matumizi ya kodi kutumika kwenye masuala ya waislam wa Tanzania lakini hawahoji juu ya kodi kutumika katika migogoro ya nchi jirani k.m Rwanda,Burundi,Congo DRC,Sudan n.k,Ni chuki tu.Uislam umejitosheleza kwa kila jambo hakuna liloachwa.Mahakama ya KADHI itadeal na mambo machache tu kama ndoa na mirathi tu sasa hofu ya nini kwa hawa wenzetu? kodi kwani waislam hawalipi? au wapi kisheria kodi imekataza kutumika kwa wananchi wake wenye imani tofauti na ukristo.Msamaha wa kodi nayo ni matumizi ya kodi na ndio maana hata kwenye ripoti za mahesabu wanaweka taarifa.Leo ni mabilioni mangapi ya misamaha ya kodi kanisa linafaidika nalo?
ACHENI CHUKI WAKRISTO ACHENI KUONGOZWA NA FIKRA ZA MAPADRI NA WACHUNGAJI.
 
Last edited by a moderator:
Hizo za kikristo zimepelekwa bungeni kutungiwa sheria lini?

Ni lini umeona wakristo wakipinga waislamu wasianzishe hizo mahakama zao miskitini?

Kitufe cha like sikioni, ningekibonyeza mara mia saba sabini na saba.

Hawa watu ni wagumu sanaa kuelewa.
 
Tumia akili.

Hizo za kanisa zilikuwapo tokea za zaman kama zilivyokawepo za kadhi.

Hizi za kadhi zikachomolewa na za kanisa zikaachwa.

Hizo za kanisa ZINATAMBULIWA KISHERIA NA POLISI WETU WANATOA HADI R.B KUMPELEKEA MUHUSIKA AENDE KURIPOTI KANISANI KWA KADINALI PENGO...

IWEJE SASA POLISI WETU AMBAO MNASEMA SERIKALI HAINA DINI WATUMIKE KUENFORCE SHERIA ZA KANISA??

USINIULIZE LINI MUSWADA ULIPELEKWE BUNGENI KUHUSU MAHAKAMQ ZA KANISA

FACT NI KWAMBA MAHAKAMA HIZO ZIPO TOKEA KATIBA HII ILIPOANZISHWA.

KWAIYO WAKRISTO KUTUMIA KODI ZETU KUTEKELEZA SHERIA ZA MAHAKAMA ZA KANISA HAKUNA SHIDA

IKIJA KWA WAISLAM NI SHIDA?

Ni nini kinawatia upofu enyi waamini, mahakama ya kanisa unayodai kuwepo na msaada unaotolewa na jeshi la poli mngetumia kama kigezo cha kuanzisha mahakama zenu za kadhi, wakati mkiendesha hizo kadhi zenu mkizinguliwa na polisi ndio mnaweza kulalamika ndani na nje ya bunge,

Kuhusu MoU kati ya serikali na baadhi ya madhehebu ya kikrito hapo mnapaswa kufanya yafuatayo,
Kama mnavyojifungia mashuleni vyuo vikuu vya kiislam halikadhalika kataeni nyinyi na waumini wenu wote kutibiwa kwenye hospitali za "wakorinto" zikimbieni shule zao iwe za msingi au sekondari, mkifanikiwa iambieni serikali ifute MoU na wakorinto. Haya mambo ya "Mbona.....mbona.....mbona......" itakuwa mmeshayakopi kutoka kwa wakewenza muoao.
 
Kweli hapa kuna tatizo la uelewa, na ndio maana CCM inawatumia kwa masilahi yao nyinyi watu. Hamjitambui, hivi aliye waingilia katika Dini yenu na kuwaambia msiwe na hiyo Mahakana ni nani? Kwa nini mnalazimisha iwe ya Kiserikali? Eti walristo wana yao, una uhakika hizo Mahakama za Kikisto zinatambulika Serikalini? Au zipo kwenye Katiba? Labda Katiba ya Jamhuri ya Nuungano wa Tanzania siijui, naomba niwekee kifungu kipi inapatikana nijue, hebu kuweni waelewa kidogo, Serikali imesema, mnaruhusiwa kuwa na hizo Mahakama ila ziwe chini yenu, mnashindwa nini?
 
Ni kulalamika tu, wala huna uthibitisho wowote kuwa police wanatumika kupeleka Rb.We ni nwongo na mzabinazabina tu. Tuwekee kifungu au ibara yoyote kutoka kwenye katiba au sheria za nchi zinazotambua mahakama za kanisa. Halafu tambua maana ya kanisa. Wakristo wako wengi, kila dhehebu likipeleka mswada wa mahakama zake itakuwaje? Shule zote na majengo serikali yatakuwa mahakama tupu. Nendeni shule.
 
mods kama mleta mada awezi kuweka hiyo attachment anayo isema, na pia kama atashindwa kutaja vifungu vya sheria yaani katiba ya tanzania vinavyo onyesha Uwepo wa mahakama za wakristu basi tuna muona mleta mada kama MCHOCHEZI, hivyo thread itupoliwe mbali.
 
Katiba hiii imekuwa copied tuh huku kwetu so tokea katiba hii inaanzishwa mahakama za kanisa na kadhi zilikuwepo.

Mahakama za kadhi zikachomolewa na NYERERE LAANA IWE JUI YAKE..NA ZA KANISA ZIKAACHWA.

NA UKISOMA KILE KIFUNGU CHA KUENFORCE HIYO AMRI YA MAHAKAMA ZA KANISA KINASEMA.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

MAHAKAMA KUU YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

DIVISION YA KAZI.

....WITO WA MASHAURI KWENYE MAHAKAMA ZA KANISA...

HAPO MUHUSIKA KAANDIKIWA R.B NA JESHI LA POLISI...KWA KUTUMIA KODI ZETU SISI PIA WAISLAAM...MUHUSIKA ANAPEWA WIITO ARIPOTI KWA KADINALI PENDO TENA NA JESHI LA POLISI??

KAMA SERIKALI HII HAINA DINI ENHEE IWEJE SASA JESHI LETU LA POLISI LITUMIKE KUTEKELEZA WIITO WA CADINAL PENGO??

SERIKALI HAINA DINI TUNASEMA

SASA IWEJE POLISI WETU WATUMIKE KUTELELEZA AMRI ZA MAHAKAMA??

Maelezo mengi kama gazeti la Tazama, ndani hakuna kitu...fanya utafiti makini ndio uje hapa, wewe mtoto wa juzi tu unaleta muwasho wa roho.

Mahakama zilizopo sasa ni za serikari zinazofata usawa wa utu na haki bila kujali kabila, dini n.k

Wakiristo wana mahakama zao ambazo kimsingi zinafata taaratibu zao Cannon law, hawaliili hovyo serikari kuwasaidia, wanakusanya sadaka na vitega uchumi kibao wanaendesha vizuri, na zinaheshimu sana sheria zote za nchi, hakuna kukata vichwa huko, kupigana mawe sijui n.k

Na nyie kaeni na Bakwata yenu undeni mahakama yenu muiendeshe nyie, serikari itakuwa muangalizi wa haki tu, achane kushinda vijiweni, kwenye kahawa, kuongeza wake tu, someni formal education, tafuteni mapoli na mjenge vitega uchumi, punguzeni ubaguzi (chuo cha moro) n.k

Mwisho funga thread yako, haya karibu kwa matusi kwani kujibu hoja hujui wewe nursing assistant (NA)
 
Mkuu big sHOW tatizo kubwa la hawa waumini wa upande wa pili ni kuishi na kumezeshwa vitu na viongozi wao pasipo kuhoji undani au uhalali wa jambo husika.Ukiangalia kwa undani ni HOFU,UCHOYO tu vimetawala juu ya suala la KADHI.Kuna wajinga wanahoji mpaka matumizi ya kodi kutumika kwenye masuala ya waislam wa Tanzania lakini hawahoji juu ya kodi kutumika katika migogoro ya nchi jirani k.m Rwanda,Burundi,Congo DRC,Sudan n.k,Ni chuki tu.Uislam umejitosheleza kwa kila jambo hakuna liloachwa.Mahakama ya KADHI itadeal na mambo machache tu kama ndoa na mirathi tu sasa hofu ya nini kwa hawa wenzetu? kodi kwani waislam hawalipi? au wapi kisheria kodi imekataza kutumika kwa wananchi wake wenye imani tofauti na ukristo.Msamaha wa kodi nayo ni matumizi ya kodi na ndio maana hata kwenye ripoti za mahesabu wanaweka taarifa.Leo ni mabilioni mangapi ya misamaha ya kodi kanisa linafaidika nalo?
ACHENI CHUKI WAKRISTO ACHENI KUONGOZWA NA FIKRA ZA MAPADRI NA WACHUNGAJI.

Marx once said religeous is opium of mass!!unatiririka ----- tu!!!hakuna unachokijua ni ujinga mtupu!!
 
Last edited by a moderator:
Na wanaojaribu kusema kwamba mimi nachochea chuki huo ni ufinyu wa fikra.

Hizi nk ishu ambazo as a nation lazima tuzijadili na kila kitu kiwe wazi.

I am not hate advocate nin rafik ambo ni christians wengine ni ndug kabisa wa damu na tunaish nao kwa aman na upendo.

Vitu kama hivi vizungumzwe kwa maana kila upande ufaham haki za upande wa pili na uheshimu.

Hatuwez kuish kwa kudhaaniana dhaniana.
 
Vitu kama hivi vizungumzwe kwa maana kila upande ufaham haki zhoja upande wa pili na uheshimu.ja

Hatuwez kuish kwa kudhaaniana dhaniana.

Una hoja wewe, nikujaza server za JF ata kuchangia hakuna.
 
mods kama mleta mada awezi kuweka hiyo attachment anayo isema, na pia kama atashindwa kutaja vifungu vya sheria yaani katiba ya tanzania vinavyo onyesha Uwepo wa mahakama za wakristu basi tuna muona mleta mada kama MCHOCHEZI, hivyo thread itupoliwe mbali.

Yale yale.

Huwezi kukimbilia kwa mods kuomba ukweli unaokuhusu usisemwe hiyo ni ishara tosha kuonesha kwamba hiki unachoambiwa kimekugusa na kuumiza hisia zako.

Hiyo attachment naiweka.

Network inasumbua hata hivyo siyo ngeni.

Buchanan kwenye uzi wale aliiweka hiyo ATTACHEMNT INAYOONESHA WITO WA MAHAKAMA YA KANISA KWA R.B YA POLISI.

BILA SHAKA UMEIONA ILE ATTACHMENT.

MUHUSIKA ANAANDIKIWA R.B NA JESHI LA POLISI AFIKE MAHAKAMANI NYUMBANI KWA PENGO KUSIKILIZA SHAURI LAKE.

POLISI WANATUMIA FEDHA GANI KAMA SIO ZA UUMMA??
 
Na wanaojaribu kusema kwamba mimi nachochea chuki huo ni ufinyu wa fikra.

Hizi nk ishu ambazo as a nation lazima tuzijadili na kila kitu kiwe wazi.

I am not hate advocate nin rafik ambo ni christians wengine ni ndug kabisa wa damu na tunaish nao kwa aman na upendo.

Vitu kama hivi vizungumzwe kwa maana kila upande ufaham haki za upande wa pili na uheshimu.

Hatuwez kuish kwa kudhaaniana dhaniana.

kwa utumbo unaoandika hapa hata bibi FaizaFoxy hawezi kukuunga mkono
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom