halima ndo nani????
pinda kafundwa..hawezi kuangalia kifua cha bintiye..!
Jamaume moja huko kiteto limejikuta likiambulia mvua tano baada ya kufanya jaribio la kumbaka mtoto wa shamngai yake ambaye alidaiwa akitokea bafuni kuingia ndani akiwa amevalia kanga lilishindwa kuvumilia na kuvamia chumbana kumngangania hatimaye binti alichoropoka akiwa uchi wa mbuzi hatimaye kusaidiwa na majirani kupatiwa nguo. mwanajamii mwenzangu hilo nalo walionaje..
Ni mkoa mpya umeanzishwa na nafasi za kazi pia zipo
HOW AMUSING! The Prime Minister, Mr Mizengo Pinda (right), enjoys a light moment with Kawe MP (CHADEMA), Ms Halima Mdee (centre) and Minister of State in the Prime Ministers Office (Regional Administration and Local Government), Mr George Mkuchika, at Bunge grounds in Dodoma on Wednesday. (Photo by PMO)
Hapa Pinda hajaguswa wala nini... huoni alivyouchuna....na hapa imekaaje