G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,276
- 38,847
Huyu mama kumbe sujui alilewa akasahau akatuma sample ya vitenge vya CHAUMMA kwenye group la Kamati kuu ya Chadema.
Alituma usiku labda aliuwa ameshabwia. Maana yeye na kina Mrema huwa wanatoaga sana maboko majira ya saa nne za usiku mpaka saa nane usiku. Hii mida kwa wale wazee wa vyombo huwa mnakatazwa kushika simu. Dili likaanikwa kweupeee.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob(Boni Yai) amesema tuhuma zilizotolewa na miongoni mwa wanachama wa chama hicho aliyesema ametolewa kwenye group la kamati kuu(Devotha Minja) kuwa ni kwa sababu anatengwa sio za kweli.
Boniface ameeleza hayo leo Mei 18, na kueleza kuwa mtu huyo alituma mfano ‘sample’ za vitenge vya Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA) jambo ambalo waliona sio mwenzao.
Hata hivyo amesema barua ya msajili juu ya kuwasimamisha uongozi viongozi wa chama hicho kutokana na kutokukamilka kwa akidi ya Baraza Kuu mtu huyo alituma taarifa haraka sana jambo lililowashangaza na kuongeza mashaka kwake.
Huo ni ushahidi aliotoa Boni Yai leo.