Kumbe Devotha Minja alishalamba dili la kutengeneza vitenge vya CHAUMMA

Ila namshauri mama amrudishe MAKONDA kwenye nafasi ya katibu mwenezi kwa muda huu atamsaidia sana na upepo anaweza akaubadilisha mana siasa za Chadema anazimudu tofauti na hapo akimtegeme Makalla na Wasira amechemka labda dola imbebe.
La kuvunda halina ubani
 
Kwani kiongozi wa CHADEMA hawezi kupata tenda ya kupika chakula katika sherehe ya CCM?
Hebu nyie mnaojua sana mje mtoe ufafanuzi katika kutenganisha itikadi ya kiongozi wa chama na biashara yake binafsi.
Hiyo kutuma katika group la CHADEMA huenda ni mistake of fact, labda alikuwa anatuma sample kwa wateja wake ikaja kwenye group lenu la CHADEMA kwa bahati mbaya.
Sisiemu hii hii ya kazi na utu? Ya watu wasiojulikana?😀😀😀
 
Kwani kiongozi wa CHADEMA hawezi kupata tenda ya kupika chakula katika sherehe ya CCM?
Hebu nyie mnaojua sana mje mtoe ufafanuzi katika kutenganisha itikadi ya kiongozi wa chama na biashara yake binafsi.
Hiyo kutuma katika group la CHADEMA huenda ni mistake of fact, labda alikuwa anatuma sample kwa wateja wake ikaja kwenye group lenu la CHADEMA kwa bahati mbaya.
Inawezekana ila iwe nje na siri na chama chako.
 
Huo mnyukano ndani ya chadema ndio unatakiwa ili dhahabu ijitenge na makapi! Kwa kifupi wanaojitoa Chadema ndio wanajizika hivyo, kwa habari za mjini chama kimechangamsha watu sana. Ukikuta watu wapo kwenye mitandao ni kufuatilia leo kuna nini Chadema naona kinazidi kuwa maarufu kwa kasi. Mtu hawezi kupoteza muda wake kumuangalia Makalla badala ya Heche.

kutoka saccos ya Wachagga hadi kuwa chama cha wananchi ni hatua kubwa. Mungu ni mwema sana. Ngoja bahari iendelee kutema uchafu.
 
..chagua kati ya kutumikia ktk uongozi ktk Chadema na kufukuzia tender zinazotolewa na Ccm.
Kuna sehemu katika katiba ya chama kinazuia mtu kufanya biashara zake binafsi nje ya chama?
 
Huyu mama kumbe sujui alilewa akasahau akatuma sample ya vitenge vya CHAUMMA kwenye group la Kamati kuu ya Chadema.

Alituma usiku labda aliuwa ameshabwia. Maana yeye na kina Mrema huwa wanatoaga sana maboko majira ya saa nne za usiku mpaka saa nane usiku. Hii mida kwa wale wazee wa vyombo huwa mnakatazwa kushika simu. Dili likaanikwa kweupeee.View attachment 3338129

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob(Boni Yai) amesema tuhuma zilizotolewa na miongoni mwa wanachama wa chama hicho aliyesema ametolewa kwenye group la kamati kuu(Devotha Minja) kuwa ni kwa sababu anatengwa sio za kweli.

Boniface ameeleza hayo leo Mei 18, na kueleza kuwa mtu huyo alituma mfano ‘sample’ za vitenge vya Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA) jambo ambalo waliona sio mwenzao.

Hata hivyo amesema barua ya msajili juu ya kuwasimamisha uongozi viongozi wa chama hicho kutokana na kutokukamilka kwa akidi ya Baraza Kuu mtu huyo alituma taarifa haraka sana jambo lililowashangaza na kuongeza mashaka kwake.
View attachment 3338136
Huo ni ushahidi aliotoa Boni Yai leo.
Mbona mdudu wa Arusha amepewa dili la kukusanya tone tone hausemi?
 
who cares

chadema move on

acheni kufatilia watu walishasepa
 
Kwani kiongozi wa CHADEMA hawezi kupata tenda ya kupika chakula katika sherehe ya CCM?
Hebu nyie mnaojua sana mje mtoe ufafanuzi katika kutenganisha itikadi ya kiongozi wa chama na biashara yake binafsi.
Hiyo kutuma katika group la CHADEMA huenda ni mistake of fact, labda alikuwa anatuma sample kwa wateja wake ikaja kwenye group lenu la CHADEMA kwa bahati mbaya.
Hayo maelezo yako hayatuhusu, akafie mbele tu
 
Kwani we ni nani hadi ulazimishwe kuamini?
Jadili uchawa wako huko ulipo utibu tumbo lako
kutokuamini ni uamuzi wangu,sio wako

mimi chawa wa kule na wewe ni chawa wa huku,tuna tofauti gani mzee baba?

tumbo kila mtu analo

watu wamelipwa,who will believe this nonsense?

yaani ccm iwalipe maelfu ya watu wahame chadema wahamie vyama vingine na sio ccm?

yaani waende vyama vingine wakavitie nguvu?

who will believe this nonsense?

nobody!

vichaa nyie!
 
Back
Top Bottom