jamani jamani
nashangaa sana hawa wenzetu waliofanikiwa kufika vyuo vikuu wanavyo ishi maisha mabovu,mimi sikufanikiwa kufika chuo kikuu niliishia huku chini,nilifikiri waliofanikiwa kufika huko juu mambo yao yatakuwa shwaaari!kumbe hakuna kitu mambo ni ovyo tu yaani mara nyingine najiuliza kulikuwa na haja gani ya wao kulazimisha kwenda chuo kikuu??jamaa wanatembea town na mavyeti yao mpaka yanapauka eti wanatafuta kazi,jamani!mimi nilikuwa najilaumu kwa nini sikwenda chuo kikuu nionekane msomi kama wao kumbe nilifanya uamuzi wa busara bwana,jamaa zangu karibu wote waliokwenda mlimani mwanzoni wa miaka ya 2000 wapo wanasota mitaani na vibarua vya temporary,kibarua kikiisha anakuja kijiweni eti tumpige tough kwa sababu anatafuta kazi nyingine mara ana project anataka kuanzisha,kumbe wao wanafikiri tofauti na sisi,badala ya kwenda pale songea au tunduma na kuanzisha kibiashara kwa kutumia elimu yao waliyopata wanakaa vijiweni na kumba vihela kwa jamaa zao,kumbe hakuna haja ya kwenda chuo kikuu
mkuu tuseme umemaliza secondary halafu ukaishi nje ya nchi ukiwa na kozi ndogo ndogo,huyu mtu tuseme ana elimu au?
mkuu tuseme umemaliza secondary halafu ukaishi nje ya nchi ukiwa na kozi ndogo ndogo,huyu mtu tuseme ana elimu au?
''It is not the strongest of the species that survive,nor the most intelligent,but the one most responsive to change"
-CHARLES DARWING
Mkuu comment yangu hii niliwahi kucomment bongo celebrity mwaka 2008, Topic ilikuwa kuhusu mr blue
Jamani jamani
nashangaa sana hawa wenzetu waliofanikiwa kufika vyuo vikuu wanavyo ishi maisha mabovu,mimi sikufanikiwa kufika chuo kikuu niliishia huku chini,nilifikiri waliofanikiwa kufika huko juu mambo yao yatakuwa shwaaari!kumbe hakuna kitu mambo ni ovyo tu yaani mara nyingine najiuliza kulikuwa na haja gani ya wao kulazimisha kwenda chuo kikuu??jamaa wanatembea town na mavyeti yao mpaka yanapauka eti wanatafuta kazi,jamani!mimi nilikuwa najilaumu kwa nini sikwenda chuo kikuu nionekane msomi kama wao kumbe nilifanya uamuzi wa busara bwana,jamaa zangu karibu wote waliokwenda mlimani mwanzoni wa miaka ya 2000 wapo wanasota mitaani na vibarua vya temporary,kibarua kikiisha anakuja kijiweni eti tumpige tough kwa sababu anatafuta kazi nyingine mara ana project anataka kuanzisha,kumbe wao wanafikiri tofauti na sisi,badala ya kwenda pale songea au tunduma na kuanzisha kibiashara kwa kutumia elimu yao waliyopata wanakaa vijiweni na kumba vihela kwa jamaa zao,kumbe hakuna haja ya kwenda chuo kikuu
Sawa hakuna shida.Mimi nimempa bwana mkubwa kama nukuu na ndio maana nikaiweka na mtoa nukuu.Hapana maneno rafiki.Nilitaka jamaa aelewe kwamba kuna siku mabadiliko yatahitajika na sisi wa chuo tutapata nafasi zetu.
chukua hii memory lane-#tbt
commented on october 9th, 2008 1:03 am
1.habari zenu wabeba box,hombiz,majita,sexycecy,bimkubwa,matty na wengine wanaonidiss me kwenye comments na kumdiss blue kwa uamuzi wake
2.big up mh lukamba,mimi na any kwa kuwa na mtazamo mkubwa wa maisha wa kuangalia pande zote za shilingi na co ao wenye mitazomo ya mwaka 47.
3.nyie watu kumbukeni elimu ni pana sana na co mnavyofikiria.kuna 4mal and in4mal education nadhani mlitambue hili wazeya.inawezekana kabisa mr blue asiwe na 4mal education hiyo mnayong'ang'ania ya kukariri madesa but akawa best kwenye in4mal education ambayo inamuwezesha kukabiliana na mazingira halisi kumbuka hata charles darwin alisema kwamba "it is not the strongest of the species that survives, nor the most intelligent, but the one most responsive to change" kama wewe unafikiri
kwamba ukisoma ndo maisha utayaweza kweli wewe utakuwa una upungufu wa kufikiri kichwani(ukuki) hata mari andrreti anakwambia "if things seem under control, you're just not going fast enough.",life its all about challenge and how you overcome those challenge me nampa 10 na co 5 mr blue…keep it on ..hustler
4.na wewew hombiz unaongea pumba tu..ushawahi kumuona m2 anapush vogue kwa kutegemea mshahara wa kila mwezi,acha ujinga wa mawazo kila m2 atafanikiwa endapo atakuwa serious kwa ki2 ambacho anachokifanya,big up mimi kwa kuwaeleza kuwa kuna specialization co kila m2 awe na degree ona 50 cent ajaenda shule lakini he the richest rapper ever na anabuni miradi mbalimbali sasa anatumia nini kubuni hiyo miradi wakati shule ana? You get my point
habari ndio hiyo
read more: Wanamuita mr.blue - bongocelebrity
Inferiority complex at work! Jipange.