Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,802
- 71,229
- Thread starter
- #21
Mpumbavu kweli wewe! Anahotubia au ana kampeni kuomba kura? Mbona mnakuwa wajinga kiasi hiki?HIVI TOKA KAMPENI ZIANZE NA MPAKA LEO, NIONESHE HOTUBA HATA MOJA YA TUNDU LISU ALIYOWAHIHUTUBIA UMA IKAONEKANA NI HOTUBA YA MGOMBEA URAISI. NIWEKEE ATA MOJA.
Sorry kwa lugha kali kidogo, lakini nachukia sana kuwa quoted na mijitu mipuuzi isiyojielewa just like you!
Hizo unazoziita hotuba za huyo MTU wako kuna jipya hasa ukizingatia yuko madarakani? Maneno anabwabwaja hadi aibu!