Kumbe chama kuwa cha Upinzani ni tabu? Ona jinsi CCM inavyoogopa

Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
IMG_20201022_155204.jpg
 
Dah!!Utakuaga unalipwa elfu14 badala ya elfu7 eeee?maana kila sehemu upo tena 24hrs....nacomment zako niiziizi ulizokalilishwa.Pole Sana brother bora kampen ziiche mapema tu sio kwamateso ayo waliokukabzi dah!
Jamaa anajituma sana maskini ya Meko!
 
Atamunyosha nani mtu ambaye ameshaona hawezi pata hata kula 1000 matokeo yake kwa sasa amebaki kupigia debe wabunge kwa kutumia chopa. Yuko anarukaruka huku na kule kama vile anatapatapa. Kipigochake cha aibu na chakarne ya miaka yote, kikopalepale, terehe 28 October, atatia huruma mjini mtoto wawatuu.
 
Atamunyosha nani mtu ambaye ameshaona hawezi pata hata kula 1000 matokeo yake kwa sasa amebaki kupigia debe wabunge kwa kutumia chopa. Yuko anarukaruka huku na kule kama vile anatapatapa. Kipigochake cha aibu na chakarne ya miaka yote, kikopalepale, terehe 28 October, atatia huruma mjini mtoto wawatuu.
Mwaka huu hii jeuri mnajipa ndio mwisho wenu ccm ni chama cha upinzani kitarajiwa asaiv atumuachii mungu tutadeal na nyinyi mpka kieleweke mshindi ndio atatangazwa
 
Hakuna CCM bila vyombo vya dola.CCM ikiwa Upinzani kufikia January itakuwa imeshakufa yote
Ukweli wizi wakura na hujuma dhidi ya Lissu na Chadema ndiyo agenda kwenye vyombo vya dola na idara zake. Tume yenyewe ilishaamua kuwa piga uwa, lazima imtangaze mgombea wa ccm kinachoendelea ni kujaribu kuficha wasijulikane ingawa sasa kila siri yao imeshakuwa wazi. Ni upinzani tu kwa upande wao kujua hatua za kufanya baada ya kudhulumiwa ushindi kitu ambacho ni dhahiri.
 
HIVI TOKA KAMPENI ZIANZE NA MPAKA LEO, NIONESHE HOTUBA HATA MOJA YA TUNDU LISU ALIYOWAHIHUTUBIA UMA IKAONEKANA NI HOTUBA YA MGOMBEA URAISI. NIWEKEE ATA MOJA.
Zote. Hakuna hotuba ya Lissu hata moja ambayo haina mantiki ya hekima, busara, maarifa, ukomavu na hadhi inayoonesha kuwa mhutubiaji ni presidential material.
 
Back
Top Bottom