Kumbe chama kuwa cha Upinzani ni tabu? Ona jinsi CCM inavyoogopa

HIVI TOKA KAMPENI ZIANZE NA MPAKA LEO, NIONESHE HOTUBA HATA MOJA YA TUNDU LISU ALIYOWAHIHUTUBIA UMA IKAONEKANA NI HOTUBA YA MGOMBEA URAISI. NIWEKEE ATA MOJA.
Mpumbavu kweli wewe! Anahotubia au ana kampeni kuomba kura? Mbona mnakuwa wajinga kiasi hiki?
Sorry kwa lugha kali kidogo, lakini nachukia sana kuwa quoted na mijitu mipuuzi isiyojielewa just like you!
Hizo unazoziita hotuba za huyo MTU wako kuna jipya hasa ukizingatia yuko madarakani? Maneno anabwabwaja hadi aibu!
 
KWA MATUSI MKO VIZURI. NAKUULIZA TENA, TOKA LINI HUYO MGOMBEA WENU AKAWEZA KUNADI SERA ZA CHAMA CHAKE KWA UMA INJE NA KELELE ZA KIUANAHARAKATI? YAANI ANATIA HURUMAA.
 
WALA USINIOMBE SAMAHANI KWA KUNITUKANA, KWANI KILA MTANZANIA ANAWAJUA KABISA CHAMA CHENU INJE NA KUNADI MATUSI KICHWANI MKO WEUPE SAANA. ENDELEENI NA MATUSI YENU, OCTOBER28 MTAVUNA HAYA MATUSI YENU.
 
Sio siri kuwa Magufuli na timu yake ya uongozi ndani ya CCM wanaogopa sana chama chao kugeuka cha upinzani kuliko wanavyo muogopa Mungu kwa kushitikiana na shetani.

Faulu, figisu na uharamia sasa uko waziwazi na hata hiyo hofu ya Mungu haipo tena. Na yote hayo ni kuogopa uchaguzi huru na haki unaoweza kuwaondoa madarakani.

CCM hamna haja ya kuogopa kukamata usukani wa upinzani kwani siasa zijazo za Lissu na Chadema + ACT sio za visasi bali demokrasia ya kweli na maridhiano.

Tahadhari kwa JPM na viongozi wenzako, achana na wapambe ambao watakushawishi ulete ubabe ukishindwa! Hao wanakuponza na hawata ucheza muziki mambo yakichacha zaidi yako ambaye hata Pension yako utaiweka mashakani pia furaha ya familia yako utaipoteza na kujuta kwa nini nilikubali madaraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWA MATUSI MKO VIZURI. NAKUULIZA TENA, TOKA LINI HUYO MGOMBEA WENU AKAWEZA KUNADI SERA ZA CHAMA CHAKE KWA UMA INJE NA KELELE ZA KIUANAHARAKATI? YAANI ANATIA HURUMAA.
Ndio maana nakuambia huna akili! Mpaka sasa mizania zinaonyesha hakuna mgombea aliyefafanua kwa kina ilani anayefikia nusu ya lisu. Ukiacha hata huyo anayedanganya ID za wamachinga unachukua mkopo CRDB. Rais lakini hata aibu ya kusema uongo huna? Au yupoyupo tuu na hajui?
 
HIVI TOKA KAMPENI ZIANZE NA MPAKA LEO, NIONESHE HOTUBA HATA MOJA YA TUNDU LISU ALIYOWAHIHUTUBIA UMA IKAONEKANA NI HOTUBA YA MGOMBEA URAISI. NIWEKEE ATA MOJA.
Mtu ambaye kuandika kunakupa shida,unaweza kuelewa kweli madini ayatemayo Mh. Lissu!!?
Pambana kwanza na uandishi wako halafu uje kupambana na uelewa na akili yako kwa kupata ushauri wa kitaalamu.
 
Ndio maana nakuambia huna akili! Mpaka sasa mizania zinaonyesha hakuna mgombea aliyefafanua kwa kina ilani anayefikia nusu ya lisu. Ukiacha hata huyo anayedanganya ID za wamachinga unachukua mkopo CRDB. Rais lakini hata aibu ya kusema uongo huna? Au yupoyupo tuu na hajui?
LETA MKUTANOA ATA MUMOJA HAPA TUONE, INJE NA UANAHARAKATI
 
Sio siri kuwa Magufuli na timu yake ya uongozi ndani ya CCM wanaogopa sana chama chao kugeuka cha upinzani kuliko wanavyo muogopa Mungu kwa kushitikiana na shetani.

Faulu, figisu na uharamia sasa uko waziwazi na hata hiyo hofu ya Mungu haipo tena. Na yote hayo ni kuogopa uchaguzi huru na haki unaoweza kuwaondoa madarakani.

CCM hamna haja ya kuogopa kukamata usukani wa upinzani kwani siasa zijazo za Lissu na Chadema + ACT sio za visasi bali demokrasia ya kweli na maridhiano.

Tahadhari kwa JPM na viongozi wenzako, achana na wapambe ambao watakushawishi ulete ubabe ukishindwa! Hao wanakuponza na hawata ucheza muziki mambo yakichacha zaidi yako ambaye hata Pension yako utaiweka mashakani pia furaha ya familia yako utaipoteza na kujuta kwa nini nilikubali madaraka.
Hehhee hawezi kushinda kwa kura. Mwaka huu hata afanye vipi nyakati zimemkataa.
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom