Kumbe baba yake Dk.Slaa alikuwa mpishi wa DC

Kumbe baba yake Dk.Slaa alikuwa mpishi wa DC

Zaidi nipo interested na kujua ilikuwaje mama watoto wake aliyekuwa CCM kwa muda mrefu, kupewa ubunge wa viti maalum mara baada ya kuingia Chadema
 
Cha mchina, kikisema point zinachakachuliwa nyie mnasikia pumba.

Clouds walivyo ma...... huenda vichwani mwao walidhania wanamchafua kweli kile kiredio na shangaa sana sijui kwanini msichana wangu wa kazi hachoki kukisikiliza??
 
Kama baba ako ni mpishi, unaonekana hukuzaliwa Ocead road, wala hukukulia upanga au sea view, haujui dar ilivyokuwa zamani na wala hukusoma Bunge, ostabei au olimpio primary skuli.

Kwa hiyo umetokea kijijini, ukikohoa unatoa kimbunga hatukutaki hapa mjini rudi kwenu ukachunge na u dokta wako.

Mmmh. Ukisikiliza clds, utagundua mjini kuna mambo na kuna watu na vyatu!

Hivi mtu baba'ke kuwa mpishi ni tusi?
 
Kama baba ako ni mpishi, unaonekana hukuzaliwa Ocead road, wala hukukulia upanga au sea view, haujui dar ilivyokuwa zamani na wala hukusoma Bunge, ostabei au olimpio primary skuli.

Kwa hiyo umetokea kijijini, ukikohoa unatoa kimbunga hatukutaki hapa mjini rudi kwenu ukachunge na u dokta wako.

Mmmh. Ukisikiliza clds, utagundua mjini kuna mambo na kuna watu na vyatu!

Umesahau na Muhimbili na IST :]

Anyway, mimi sijaona tusi kusema mtu baba'ke alikuwa mpishi iwapo kweli alikuwa hivyo. Hakuna cha aibu, au labda awe mtu mwenyewe anaona aibu kuwa katokea kijijini!
 
Vipi kuhusu kuandaliwa Cheque na DAVID CAMEROON?

Hujaeleweka. Kuwa muwazi.

Ikiwa baba'ke alikuwa mpishi, na watu wakazungumza kuwa Dr Slaa baba'ke ni mpishi, ametukanwa nani na kwa vipi?

Au anaionea aibu kazi ya baba'ke?
 
Matusi hayajengi hata kama mmeingia kwa vivuli humu ndani
matusi ni kiwango cha juu kabisa cha kuonyesha ni kiasi gani
mtu amekosa busara. Jirekebisheni!

Mkuu, kuna tusi gani kasema? hivi mtu kufanaya kazi ya upishi ni matusi kazi kweli kweli:lol::lol:
 
lakini raisi DR Slaa katufungulia mengi WABONGO . CHADEMA HOYEEXXX10000
CCM joto la chuma.
 
Baba yake JK alikuwa afisa elimu wakati wa mkoloni....baada ya uhuru akapewa kuwa mkuu wa wilaya pangani JK amekulia akiwa ndani ya serikali na amelelewa kuja kuwa kiongozi!!!!
 
kwa hy ataka huruma kwa kuwa babayake alikuwa mpishi?,, halafu kumbe na yeye alikuwa kiongozi wa bendi ya shule , leo hii vijana wenu waoshiriki bendi za shule anasema wanaitumikia ccm cjw yeye alikuwa anatumikia nn
 
Heee! Nimepotea sikutaka kabisa kuingia jukwaa la ma-stress! Nalog off....(source-Washawasha).
 
Matusi hayajengi hata kama mmeingia kwa vivuli humu ndani
matusi ni kiwango cha juu kabisa cha kuonyesha ni kiasi gani
mtu amekosa busara. Jirekebisheni!

Gazeti, wapi nimetukana? Haya maneno sio yangu kayasema Dk Slaa mwenyewe kama ni matusi basi kajitukana mwenyewe
 
Great Thinkes..

Leo nimemsikia Dk.Slaa akielezea kwa ufupi maisha yake pamoja na miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika.

Anasema wakati wa ukoloni baba yake alikuwa mpishi wa DC.
Source; Clouds fm

inakuhuu!!!punda weee!!
 
Kuwa mpishi wa dc na kuwa fisadi kipi bora.mi sijasikiza maana huwa niko na tv na cd nyingi sana
 
kuna wapenzi wa CDM wanakichoresha sana chama chao!sijaona mantiki ya watu kupanic kisa mtu kasema mshua wa slaa alikuwa mpishi!
 
Back
Top Bottom