Kumbe baada ya ndoa mambo ndo yanabadilika hivi?

AskariKanzu

Member
Joined
Jul 25, 2025
Posts
38
Reaction score
146
Nakumbuka kipindi cha uchumba Kati ya mimi na Mke wangu mambo yalikuwa safi kabisa hususani swala zima la tendo, nilipata tendo kila nilipo hitaji na kupewa ushirikiano wa hali ya juu kabisa.

Asa hivi baada ya kuingia kwenye ndoa naona mambo tofauti napewa tendo kwa ratiba maalumu pia nikipewa nakua kama nasusiwa hivi yaani no ushirikiano kama mwanzo.

Baadhi wa wanawake nini kinawabadilisheni na kuwapa kiburi baada ya kuingia ndani ya ndoa?
 
Mwanzoni ulikua unajengewa mazingira uingiee kwenye mfumo.. naona na wewe ukajaa.

Ushauri: Tafuta mchepuko
 
Nakumbuka kipindi cha uchumba Kati ya mimi na Mke wangu mambo yalikuwa safi kabisa hususani swala zima la tendo, nilipata tendo kila nilipo hitaji na kupewa ushirikiano wa hali ya juu kabisa.

Asa hivi baada ya kuingia kwenye ndoa naona mambo tofauti napewa tendo kwa ratiba maalumu pia nikipewa nakua kama nasusiwa hivi yaani no ushirikiano kama mwanzo.

Baadhi wa wanawake nini kinawabadilisheni na kuwapa kiburi baada ya kuingia ndani ya ndoa?
Ndoa ni utapeli.

Hapa ana uhakika mkiachana mtagawana pasu kwa pasu.
 
Back
Top Bottom