BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,041
Kuna watu ninawafahamu ni wakristo ambao majina yao ni:Neno udini ni dhana pana sana... Na huwezi kufikia conclusion kwa majina tuu bali kuna mengi ya kuangalia kama
Asili ya mmiliki
Body members
Top leaders
Important posts
Aina ya vipindi, taarifa na makala
Aina ya uendeshaji nknk
Lakini pia ni vema kutafakari sana hili neno UDINI... Ni nani alitulisha hii sumu ikatuingia na kutu brainwash kabisa?
Said Jafary, David Omari, John Said!