Kumbe AZAM hakuna UDINI wowote

... kwa hiyo wewe baada ya ajali akili yako ilikutuma kuhesabu na ku-categorize marehemu kwa majina yao! Was that the best you could do? Ovyo!
 
UDINI UPO POPOTE TANZANIA HIVI SASA WAISLAM WANAPIGA KITABU/SHULE KWA SANA SO UDINI NI LAZIMA KAMA KILE KIPINDI CHENU CHA MFUMO KRISTO.
 
Tuendelee na Msiba kwanza wapendwa ila AZAM UDINI NI KAMA NSSF YA DAU BY THEN HALINA SWALI HILO.....
MWENYEZ MUNGU AZIPOKEE ROHO ZA WAPENDWA WETU MAHALI PEMA PEPONI......

"KAZI YA TRAFIC NA LESENI FEKI KWA VIJANA WETU...."
 
Hawa wenzetu wa msikitini ni wabaguzi sana hilo wala halina ubishi kabisa mbona kwenye jamii tunaona sana tu binafsi azam tv huwa siangalii
Udini upo ''kwenye content za vipindi vyao. .ambavyo kwa namna moja ndio vina athari kubwa sana Katika jamii (vina tazamwa na wengi )kuliko hao wafanyakazi ambao wapo nyuma ya camera na hakuna hata anaye wajua'' imagine ulikuwa haujui kuhusu Dini zao mpaka pale walipofikwa na mauti

Ila vipindi vyao vingi vimesheheni udini na Utamaduni wa nchi za mashariki ya kati. ..
 
Wapuuzi sana hawa wenzetu unanikumbusha kipindi nipo kwenye chuo kimoja hivi arusha walitaka kuandama eti ooh kwa nini narahisi wa chuo ni wakristo eti wakaandika majina yao na sahini zao chuo kizima hili wagome acha mkuu wa chuo akaisikia iyoo kitu walipewa onyoo kali sana na adhabu yake ilitakiwa wote wafukuzwe chuo lakini msamaha ukapita my dedication wawe wanatumia akili sio kukurupuka
Inanikumbusha Kuna mate kazini ilikuwa kila ikitangazwa baraza la mawaziri yeye kazi yake kubwa kuhesabu waislam wangapi wamechaguliwa.
 
Nafikiri tungejikita zaidi kwenye maombolezo zaidi haya ya udini yasitujengee fikra za kijinga na kutuwekea uadui baina yetu

Tuko mbali sana katika ujenzi wa taifa na wazungu wanajaribu kuleta mbinu chafu za uchinganishi kila kukicha ili tupigane tu
Tusaidiane kulinda rasilimali zetu na kupambana haswa
 
Neno udini ni dhana pana sana... Na huwezi kufikia conclusion kwa majina tuu bali kuna mengi ya kuangalia kama
Asili ya mmiliki
Body members
Top leaders
Important posts
Aina ya vipindi, taarifa na makala
Aina ya uendeshaji nknk

Lakini pia ni vema kutafakari sana hili neno UDINI... Ni nani alitulisha hii sumu ikatuingia na kutu brainwash kabisa?
Hapa umempa mwanga naona jamaa kakurupuka tu kupost.
 
Mara kadhaa maadui wa kibiasha wa ndugu SALIM SAID BAKHARESA walikua wakimtuhumu mfanya biashara huyu Mchamungu kwamba anaupendeleo wa kidini katika uajiri katika Makampuni yake

Ajali iliyotokea jana Singida ambayo iliwahusisha Wafanyakazi wa Azam imedhirisha kwamba hakuna upendeleo wakidini AZAM

Hii ni baada kushuhudia kwamba katika Wafanyakazi watano waliofariki katika ajali hiyo ni wawili tuu walikua ni Waislam
Salum Juma Khamis na Said Haji Hassan

Huu ni ushahidi kwamba HAKUN UPENDELEO WOWOTE WA KIDINI AZAM

POLENI AZAM
POLENI WAFIWA
POLENI WAANDISHI

INNA LILAHI WAINNA ILYHI RAJIOON
Kwani Tido Mhando ni muislamu?
Na hizo fani ngumu ngumu hizo hazihitaji wababishaji zinahitaji wasomi so unajua wasomi wa kiislamu ni wa elim akhera
 
Hawa wenzetu wa msikitini ni wabaguzi sana hilo wala halina ubishi kabisa mbona kwenye jamii tunaona sana tu binafsi azam tv huwa siangalii
Kuna mmoja kama wewe ambaye haangalii Azam tv ila ajabu anasema Azam tv hawawekagi pongezi za pasaka na xmass,ni wazi kabisa kwa kutokuangalia kwake Azamtv ndio kumefanya kutokuona hizo salamu za Xmass kwenye Azam.
 
Back
Top Bottom