Hata Chadema wabunge waislamu unawatafuta kwa tochi!TANESCO HAKUNA MENEJA HATA MMOJA MUISLAMU TANZANIA NZIMA.
OFISI YA LHRC kijitonyama hakuna mfanyakazi hata mmoja muislamu
Dah,hilo nalo la kuliangalia kwa jicho pana zaidiTANESCO HAKUNA MENEJA HATA MMOJA MUISLAMU TANZANIA NZIMA.
OFISI YA LHRC kijitonyama hakuna mfanyakazi hata mmoja muislamu
Tupe ushahidi wa swala hiliAcha uwongo
Hua nakukubali sanaNeno udini ni dhana pana sana... Na huwezi kufikia conclusion kwa majina tuu bali kuna mengi ya kuangalia kama
Asili ya mmiliki
Body members
Top leaders
Important posts
Aina ya vipindi, taarifa na makala
Aina ya uendeshaji nknk
Lakini pia ni vema kutafakari sana hili neno UDINI... Ni nani alitulisha hii sumu ikatuingia na kutu brainwash kabisa?
AiseeKwani Tido Mhando ni muislamu?
Na hizo fani ngumu ngumu hizo hazihitaji wababishaji zinahitaji wasomi so unajua wasomi wa kiislamu ni wa elim akhera
Mkuu ukichunguza vizuri sio kwamba Azamtv kuna udini bali wanafanya tofauti na tulivyozoea,kiukweli tumezoea kuona vipindi vyenye maudhui ya kikristo na tushaona ni jambo la kawaida,hebu chukua mfano wa tamthilia iliyokuwa ikilalamikiwa ya Sultan kwamba ina mambo ya kiislamu halafu kumbuka ni movie filamu ngapi za kinigeria zimeoneshwa itv zenye maudhui ya kikristo na hatukuona kwamba itv wana udini watu waliangalia na kuburudika bila kujari imani ila Azamtv kuweka tamthilia ya yenye mambo ya kiislamu imekuwa ni jambo tofauti na mazoea yetu ni kitu kipya.Udini upo ''kwenye content za vipindi vyao. .ambavyo kwa namna moja ndio vina athari kubwa sana Katika jamii (vina tazamwa na wengi )kuliko hao wafanyakazi ambao wapo nyuma ya camera na hakuna hata anaye wajua'' imagine ulikuwa haujui kuhusu Dini zao mpaka pale walipofikwa na mauti
Ila vipindi vyao vingi vimesheheni udini na Utamaduni wa nchi za mashariki ya kati. ..
Je! Kama waislamu wanaipenda ccm kuliko chadema utawalazimisha waende chadema kugombea ubunge?Hata Chadema wabunge waislamu unawatafuta kwa tochi!
Kinyume chake pia ni sawa!Je! Kama waislamu wanaipenda ccm kuliko chadema utawalazimisha waende chadema kugombea ubunge?
Sasa kama ni Mwislam na pesa ni yake kwanini ajenge kanisaHakuna udini?
Wanajenga misikiti tu na sio makanisa!!!
TANESCO HAKUNA MENEJA HATA MMOJA MUISLAMU TANZANIA NZIMA.
OFISI YA LHRC kijitonyama hakuna mfanyakazi hata mmoja muislamu
Daaah nimejikuta nacheka badala ya kusikitika.Je sio kwamba kwenye kazi za risk anawatoa kafara hao mbuzi katoliki na kuwa protect watu wa upendeleleo?
Anzisha TV yako uweke CONTENT unazozitaka uone nani ataakuulizaUdini upo ''kwenye content za vipindi vyao. .ambavyo kwa namna moja ndio vina athari kubwa sana Katika jamii (vina tazamwa na wengi )kuliko hao wafanyakazi ambao wapo nyuma ya camera na hakuna hata anaye wajua'' imagine ulikuwa haujui kuhusu Dini zao mpaka pale walipofikwa na mauti
Ila vipindi vyao vingi vimesheheni udini na Utamaduni wa nchi za mashariki ya kati. ..
Kojoa ukalale na si lazima ku comment kila thread hata km hujafahamu kilichoongeleaw hapa hakizungumziwi mazishi weye unaonekana ni mfu tayariWrite your reply...
Wewe Nae Ni Wale Wale Tu
Sasa Wafanyaje Wakati Hao Watu Walikuwa Wafanyakazi Wao?
Kuzika Hizo Maiti Ndo Kudhihirisha Kuwa Hawana Udini?
Udini Ni Nini?
Na hadi kwenye litimu lake la mpiraKwakuwa kwa sasa tupo Msibani na tunaomboleza ngoja hayo mengine tuyaache ili tusije tukaharibu hali hii ya Kihuzuni ila ukweli unajulikana kuwa Ajira za hapo 95% ni wa Ijumaa na 5% tu ni wa Jumapili.
Je sio kwamba kwenye kazi za risk anawatoa kafara hao mbuzi katoliki na kuwa protect watu wa upendeleleo?