Kumbe AZAM hakuna UDINI wowote

Neno udini ni dhana pana sana... Na huwezi kufikia conclusion kwa majina tuu bali kuna mengi ya kuangalia kama
Asili ya mmiliki
Body members
Top leaders
Important posts
Aina ya vipindi, taarifa na makala
Aina ya uendeshaji nknk

Lakini pia ni vema kutafakari sana hili neno UDINI... Ni nani alitulisha hii sumu ikatuingia na kutu brainwash kabisa?
Kuna watu ninawafahamu ni wakristo ambao majina yao ni:
Said Jafary, David Omari, John Said!
 
Wewe Tumekuzoea Mbwa Wewe Mada Zako Zimekaa Kidini Dini Tu
Na Tumeshakushtukia.
Kaa Uko Kwenu Zanziber Uliwe Kijambio Usituletee Uzushi Hapa.
Ndio mimi Mbwa nafugwa kwa wazazi wako! Mshenzi mmoja weee leta hoja wacha ubaguzi kenge wee
 
soma kisomo kile cha nini mnaita sijui ili wale watumwa wa kiarabu MUAMSHO watoke kule segerea.... acha kulalamika kishamba kwa mambo yasiyo na msingi. AU HUJUI KUNA MAGAIDI WALIKAMATWA NA SASA WAPO SEGEREA MIAKA ZAIDI YA KADHAA WALIJIITA UAMSHO??
Gaidi kauanza mama yako wengine wanaigiza tuuu
 
waambie azam wapaze sauti wale jamaa watoke kule segedansi...... la si hivyo wewe endelea kuandika upuuzi na kujibu kishamba na wakati hujui unachopigia kelele..... BORA WAARABU WANGEKUWA WAPAGANI MAANA HII DINI YAO INAHARIBU DUNIA. Ona mtumwa wa kiarabu unavyokuwa mshamba hata kwenye maandishi unalalamika tu. FANYA KAZI WEWE.
Nifanye kazi nalishwa kwenu??
Acha ujinga MKOROMIJE kama unanjaa ni wewe tuu kuhusu kazi c juu yako ni juu yangu kama unawashwa sema nikufumue marindaa
 
Ndio mimi Mbwa nafugwa kwa wazazi wako! Mshenzi mmoja weee leta hoja wacha ubaguzi kenge wee
sawa mbwa
leo hii umesahau ule ubaguzi uliokuwa unafanya?
"zanzibar ni ya wazanzibar"
haya peleka basi huu uchafu huko kwenu zanziber
 
sawa mbwa
leo hii umesahau ule ubaguzi uliokuwa unafanya?
"zanzibar ni ya wazanzibar"
haya peleka basi huu uchafu huko kwenu zanziber
Samahani sana wacha nisahihishe kauli yangu "ZANZIBAR NI YA WATANGANYIKA"
Hapo vipi pancho??
 
WAVAA MADELA SIKUHIZI HAWATAKI UJINGA NI KITABU TU MWA MWI HAKUNA KUKIMBIZANA NA ASKARI KUPINGA MFUMO NANILII.
 
WaTanzania kama unataka kutoa udini mgeanzia kwenye serikali yenu halafu muke muyazungumze mengine
 
Safi sana hili ndio jibu sahihi kabisa liwafikie wote wafia diniya kikristo
Mkuu ukichunguza vizuri sio kwamba Azamtv kuna udini bali wanafanya tofauti na tulivyozoea,kiukweli tumezoea kuona vipindi vyenye maudhui ya kikristo na tushaona ni jambo la kawaida,hebu chukua mfano wa tamthilia iliyokuwa ikilalamikiwa ya Sultan kwamba ina mambo ya kiislamu halafu kumbuka ni movie filamu ngapi za kinigeria zimeoneshwa itv zenye maudhui ya kikristo na hatukuona kwamba itv wana udini watu waliangalia na kuburudika bila kujari imani ila Azamtv kuweka tamthilia ya yenye mambo ya kiislamu imekuwa ni jambo tofauti na mazoea yetu ni kitu kipya.

Ile tamthilia ya siri za familia iliyokuwa ikirushwa na kituo cha eatv ilikuwa kutwa makanisani hasa mwishoni mwishoni mwa tamthilia ila kwa kuwa ni vitu ambavyo tumevizoea basi haikuwa shida hakukuwa na malalamiko yeyote kwa eatv. Hiyo chaneli ya taifa tu huwa wanapiga kwaya muda wowote wakiamua hata kama sio jumapili ila hakuna malalamiko ya udini italalamikiwa kwa mambo mengine.

Hiyo filamu ya Yesu watu wa imani zote walikuwa wanaangalia kila Xmass inawekwa ila sasa Azamtv kuweka ile filamu ya kiislamu imekuwa tabu ni kwa sababu hatujazoea,channel 10 imejaa vipindi vya makanisani ila mwenye kutaka kuangalia ataangalia asiyeweza atatoa hakuna lawama ila ajabu Azam anaonekana kaleta udini kumbe sivyo mkuu bali watu tulishazoea udini wa upande mmoja.
 
Back
Top Bottom