Kumbe AZAM hakuna UDINI wowote

Kojoa ukalale na si lazima ku comment kila thread hata km hujafahamu kilichoongeleaw hapa hakizungumziwi mazishi weye unaonekana ni mfu tayari
Wewe Tumekuzoea Mbwa Wewe Mada Zako Zimekaa Kidini Dini Tu
Na Tumeshakushtukia.
Kaa Uko Kwenu Zanziber Uliwe Kijambio Usituletee Uzushi Hapa.
 
Nyinyi ndio walalamikaji wakubwa kwani si nyinyi mnaopiga kelele AZAM kuna udini??
Ajali hii imevunja hizo PUMBA ZENU
soma kisomo kile cha nini mnaita sijui ili wale watumwa wa kiarabu MUAMSHO watoke kule segerea.... acha kulalamika kishamba kwa mambo yasiyo na msingi. AU HUJUI KUNA MAGAIDI WALIKAMATWA NA SASA WAPO SEGEREA MIAKA ZAIDI YA KADHAA WALIJIITA UAMSHO??
 
Nyinyi ndio walalamikaji wakubwa kwani si nyinyi mnaopiga kelele AZAM kuna udini??
Ajali hii imevunja hizo PUMBA ZENU
waambie azam wapaze sauti wale jamaa watoke kule segedansi...... la si hivyo wewe endelea kuandika upuuzi na kujibu kishamba na wakati hujui unachopigia kelele..... BORA WAARABU WANGEKUWA WAPAGANI MAANA HII DINI YAO INAHARIBU DUNIA. Ona mtumwa wa kiarabu unavyokuwa mshamba hata kwenye maandishi unalalamika tu. FANYA KAZI WEWE.
 
soma kisomo kile cha nini mnaita sijui ili wale watumwa wa kiarabu MUAMSHO watoke kule segerea.... acha kulalamika kishamba kwa mambo yasiyo na msingi. AU HUJUI KUNA MAGAIDI WALIKAMATWA NA SASA WAPO SEGEREA MIAKA ZAIDI YA KADHAA WALIJIITA UAMSHO??

Si mwambie Pengo afunguwe TV yake akuajiri wewe na wajinga wenzako ? Makelele ya nini?
 
Udini upo ''kwenye content za vipindi vyao. .ambavyo kwa namna moja ndio vina athari kubwa sana Katika jamii (vina tazamwa na wengi )kuliko hao wafanyakazi ambao wapo nyuma ya camera na hakuna hata anaye wajua'' imagine ulikuwa haujui kuhusu Dini zao mpaka pale walipofikwa na mauti

Ila vipindi vyao vingi vimesheheni udini na Utamaduni wa nchi za mashariki ya kati. ..
Shirika ni lake mwenyewe, kagharamika mwenyewe, vipindi anavyoonesha havina athari mbaya kwa jamii, sasa iweje mnataka kumpangia mtakavyo nyinyi wachache?

Wakati wewe unatizama Sultan kwa mtizamo wa Dini, kuna wenzako wa dini yako wanatizama sultan kwa mtazamo wa burudani.

Hakuna alielazimishwa kutizama Azam TV, kuna channel zimejikita kwenye ukiristo mwanzo mwisho ila hamuzisemi kama zina udini.

Wacheni kulalamika na chukua remoti choose the channel you want!
 
Wewe Tumekuzoea Mbwa Wewe Mada Zako Zimekaa Kidini Dini Tu
Na Tumeshakushtukia.
Kaa Uko Kwenu Zanziber Uliwe Kijambio Usituletee Uzushi Hapa.

Hivi nyinyi viumbe mko serious? Yaani watu wamekufa mnaleta maneno kama haya ?
Mungu awasaidie
 
Kwakuwa kwa sasa tupo Msibani na tunaomboleza ngoja hayo mengine tuyaache ili tusije tukaharibu hali hii ya Kihuzuni ila ukweli unajulikana kuwa Ajira za hapo 95% ni wa Ijumaa na 5% tu ni wa Jumapili.
Kwahiyo wa jumapili mnapendelewa kuliko wa jumamosi hapo AZAM? Au hilo hujaliona? au wenyewe si upendeleo? Hii dhana ni pana sana ni heri kuacha asili ifanye kazi yake
 
Udini hata wenzetu nyie mnayo sana!kama ni mkazi wa dar es salaam!tembelea sheli za victoria wanauza mafuta petroli na kadhalika...!ndo utapata kujua niyasemayo maana nyani ..............malizia!!
Kwakuwa kwa sasa tupo Msibani na tunaomboleza ngoja hayo mengine tuyaache ili tusije tukaharibu hali hii ya Kihuzuni ila ukweli unajulikana kuwa Ajira za hapo 95% ni wa Ijumaa na 5% tu ni wa Jumapili.
 
Udini hata wenzetu nyie mnayo sana!kama ni mkazi wa dar es salaam!tembelea sheli za victoria wanauza mafuta petroli na kadhalika...!ndo utapata kujua niyasemayo maana nyani ..............malizia!!

Kwahiyo kumbe Siku hizi Ubaya huwa unalipwa kwa Ubaya?
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom