Katika sakata la 1.5 Trillion Polepole alijitokeza kwa ushujaa kufundisha taifa hesabu na kuonyesha hakuna fedha imepotea.
Polepole ni katika watu walio mstari wa mbele kuunga lolote lifanywalo na Rais hata kama halina maslahi kwa nchi.
Lakini kabla ya haya yote, kabla ya Polepole kupata vyeo CCM alikuwa kijana mahiri mwenye kulitetea taifa na kusimamia maslahi ya taifa na alivuma sana kipindi cha katiba mpya.
Kimya chake cha ghafla baada ya watu kuanza kumuandama mitandaoni Je kuna jambo kashtukia sivyo alivyotegemea au kashaona muelekeo mbaya wa taifa na anaanza kujitoa taratibu na kukabidhi kazi kwa akina Musiba.
Polepole tumjuae asingeacha ripoti ya CAG imchafue Magufuli lazima lawama zingepelekwa kuwa kuna vibaraka wa mabeberu.
Je, nini kimemsibu?