kwa namna hii Africa kuendelea ngumu, yani mwalimu mzur wa mathemtics kapewa uwenez na huku tuna upungufu wa hao watu
Anahangaika kutafuta fedha wanazodaiwa na NSSF maana kwa jinsi wanavyojinasibu na uzalendo lakini wanakula hela za wanyonge bila kuzipeleka mahali husika ameona bora wazipeleke halafu aje na propaganda kuwa zilicheleweshwa na mifumo ya kibenki

Hahahasahaaa ww na jingalaoo ni ndugu? Maana sio kwa utumbo huu sijui ni wa mtoriChama Cha Taifa CCM kipo Pamoja Na CAG
CCM ndio imeamuru Wabunge wake wapuuze Azimio la Bunge la kumsusia CAG
Muone hapa mwaka jana akichambua report ya CAG kuhusu 1.5TCAG mwanafunzi wa Chakubanga?! sijaelewa hapo mkuu!
Hii ripoti ya juzi supika imemuharibia kwa kuamsha hamasa kubwa ta wananchi kutaka kujua kulikoni kwenye ripoti ya CAG huyo wanayemchukia na kumsusia? kwa hiyo hilo limesababisha chakubanga aingie mafichoni kwanza kujipanga vizuri zaidi tofauti na huko nyuma ambapo wananchi walikuwa wanazichukulia poa ripoti za CAG!!Muone hapa mwaka jana akichambua report ya CAG kuhusu 1.5T
Alikua anashusha mahesabu kumkosoa CAG aliyesema 1.5T hazionekani zilipo. Slow slow alishusha magazijuto watanzania "wakaelewa" kuliko ile report. View attachment 1069626
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika sakata la 1.5 Trillion Polepole alijitokeza kwa ushujaa kufundisha taifa hesabu na kuonyesha hakuna fedha imepotea.
Polepole ni katika watu walio mstari wa mbele kuunga lolote lifanywalo na Rais hata kama halina maslahi kwa nchi.
Lakini kabla ya haya yote, kabla ya Polepole kupata vyeo CCM alikuwa kijana mahiri mwenye kulitetea taifa na kusimamia maslahi ya taifa na alivuma sana kipindi cha katiba mpya.
Kimya chake cha ghafla baada ya watu kuanza kumuandama mitandaoni Je kuna jambo kashtukia sivyo alivyotegemea au kashaona muelekeo mbaya wa taifa na anaanza kujitoa taratibu na kukabidhi kazi kwa akina Musiba.
Polepole tumjuae asingeacha ripoti ya CAG imchafue Magufuli lazima lawama zingepelekwa kuwa kuna vibaraka wa mabeberu.
Je, nini kimemsibu?
With due respect Prof Assad si level yake.Katika sakata la 1.5 Trillion Polepole alijitokeza kwa ushujaa kufundisha taifa hesabu na kuonyesha hakuna fedha imepotea.
Polepole ni katika watu walio mstari wa mbele kuunga lolote lifanywalo na Rais hata kama halina maslahi kwa nchi.
Lakini kabla ya haya yote, kabla ya Polepole kupata vyeo CCM alikuwa kijana mahiri mwenye kulitetea taifa na kusimamia maslahi ya taifa na alivuma sana kipindi cha katiba mpya.
Kimya chake cha ghafla baada ya watu kuanza kumuandama mitandaoni Je kuna jambo kashtukia sivyo alivyotegemea au kashaona muelekeo mbaya wa taifa na anaanza kujitoa taratibu na kukabidhi kazi kwa akina Musiba.
Polepole tumjuae asingeacha ripoti ya CAG imchafue Magufuli lazima lawama zingepelekwa kuwa kuna vibaraka wa mabeberu.
Je, nini kimemsibu?
Polepole viatu alivyo vaa ni vikubwa mno kwake,ni heri angerudi kwenye fani yake.Vitimbi,viroja na mizengwe iliyoko CCM haiwezi.CCM ina wenyewe walioizoea,aondoke awaachie hatoweza.Katika sakata la 1.5 Trillion Polepole alijitokeza kwa ushujaa kufundisha taifa hesabu na kuonyesha hakuna fedha imepotea.
Polepole ni katika watu walio mstari wa mbele kuunga lolote lifanywalo na Rais hata kama halina maslahi kwa nchi.
Lakini kabla ya haya yote, kabla ya Polepole kupata vyeo CCM alikuwa kijana mahiri mwenye kulitetea taifa na kusimamia maslahi ya taifa na alivuma sana kipindi cha katiba mpya.
Kimya chake cha ghafla baada ya watu kuanza kumuandama mitandaoni Je kuna jambo kashtukia sivyo alivyotegemea au kashaona muelekeo mbaya wa taifa na anaanza kujitoa taratibu na kukabidhi kazi kwa akina Musiba.
Polepole tumjuae asingeacha ripoti ya CAG imchafue Magufuli lazima lawama zingepelekwa kuwa kuna vibaraka wa mabeberu.
Je, nini kimemsibu?
Sasa hivi mwenye shibe hamjui mwenye njaa.Katika sakata la 1.5 Trillion Polepole alijitokeza kwa ushujaa kufundisha taifa hesabu na kuonyesha hakuna fedha imepotea.
Polepole ni katika watu walio mstari wa mbele kuunga lolote lifanywalo na Rais hata kama halina maslahi kwa nchi.
Lakini kabla ya haya yote, kabla ya Polepole kupata vyeo CCM alikuwa kijana mahiri mwenye kulitetea taifa na kusimamia maslahi ya taifa na alivuma sana kipindi cha katiba mpya.
Kimya chake cha ghafla baada ya watu kuanza kumuandama mitandaoni Je kuna jambo kashtukia sivyo alivyotegemea au kashaona muelekeo mbaya wa taifa na anaanza kujitoa taratibu na kukabidhi kazi kwa akina Musiba.
Polepole tumjuae asingeacha ripoti ya CAG imchafue Magufuli lazima lawama zingepelekwa kuwa kuna vibaraka wa mabeberu.
Je, nini kimemsibu?
Katika sakata la 1.5 Trillion Polepole alijitokeza kwa ushujaa kufundisha taifa hesabu na kuonyesha hakuna fedha imepotea.
Polepole ni katika watu walio mstari wa mbele kuunga lolote lifanywalo na Rais hata kama halina maslahi kwa nchi.
Lakini kabla ya haya yote, kabla ya Polepole kupata vyeo CCM alikuwa kijana mahiri mwenye kulitetea taifa na kusimamia maslahi ya taifa na alivuma sana kipindi cha katiba mpya.
Kimya chake cha ghafla baada ya watu kuanza kumuandama mitandaoni Je kuna jambo kashtukia sivyo alivyotegemea au kashaona muelekeo mbaya wa taifa na anaanza kujitoa taratibu na kukabidhi kazi kwa akina Musiba.
Polepole tumjuae asingeacha ripoti ya CAG imchafue Magufuli lazima lawama zingepelekwa kuwa kuna vibaraka wa mabeberu.
Je, nini kimemsibu?
wakupimwaMafisadi waliomaanishwa ni wale wanaokihujumu chama cha CCM i.e Upinzani. Na kwetu CCM fisadi mkubwa ni Mbowe na Lisu na wanatetewa na watu kama Lema,Mdee n.k. Hawa ni maadui wa taifa na hakika hatutawaacha.
ww Mafisadi waliomaanishwa ni wale wanaokihujumu chama cha CCM i.e Upinzani. Na kwetu CCM fisadi mkubwa ni Mbowe na Lisu na wanatetewa na watu kama Lema,Mdee n.k. Hawa ni maadui wa taifa na hakika hatutawaacha.
Apparent reason hiyo