Kulikoni Polepole kukaa kimya sakata la CAG?

Kulikoni Polepole kukaa kimya sakata la CAG?

Pole pole kwenye Katiba aliingia kama kijana ila sasa hivi yupo neutral maana haeleweki awekwe wapi kundi la vijana au Mzee... Dunia ina vituko Pole pole nae anamkosoa CAG kazi kweli kweli...
 
akili zake zilikuwa kwenye vile vidole vitatu vya Mguu wa kushoto vilivyobaki Appolo Hospital Nchini India
Nadhani dalili za kutimia kwa Ufunuo ndo hizi.... Ingawa bado kuna watu huwezi ukawaambia lolote juu ya chama chetu, hata kama mtu atafanya maamuzi mabaya, wao watasifia tu ilimradi mtu ni wa chama chetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bashiru kakafundisha majukumu yake. Kalikuwa anatoka nje ya mstari kutafuta masifa, tungekasikia mamilioni yasiyoeleweka matumizi yake yalikuwa hayajaiva!! Kalitamani kuwa kasemaji ka serikali,ka ikulu,kamawaziri ka kilakitu itakuwa bibiyake alikasifiaga kuwa kanaakili sana kumbe ndokawaida ya bibi zetu...kananikumbusha mchezaji wa yanga akida makunda aliyekuwa anakimbia kwenye winga mpaka anapitiliza nje.
 
Chama Cha Taifa CCM kipo Pamoja Na CAG

CCM ndio imeamuru Wabunge wake wapuuze Azimio la Bunge la kumsusia CAG
Hata kama chama cha taifa (ccm) kingekengeuka na kwenda kinyume na CAG matokeo ya uchaguzi 2020 lisu80% magu20%
 
Amejua kusoma alama za nyakati si unaona mzee Baba kangi anavyovuliwa nguo kwa kulopoka kwake
 
Back
Top Bottom