Kulikoni pd proxy?

DEVUQUARTER-DEVUKOTA

JF-Expert Member
Jun 20, 2012
352
116
wAKUU LEO SIKU YA PILI SASA PD PROXY INANIGOMEA, KILA NIKICONNECT INAGANDA AUTHET.........SO SIJAELEWA KAMA TUMESHAPIGWA MWELEKA AU??
WAJUZI FUNGUKENI 2JUE.
 
Nadhani kuna wadukuzi na maharamia wanataka kuwahack pd, lakini hata hivyo huduma imerudi kama kawaida leo, ila jana jioni server za usa zote zilikuwa hazikubali na baadae usiku ndo ikagoma kabisa.
 
Back
Top Bottom