Kulikoni JHPIEGO Dar es Salaam

Tumbua

Member
Nov 29, 2015
43
10
Pale JHPIEGO kuna kikundi cha wafanyakazi kwenye idara ya rasirimali-watu wameunda kikundi cha watu nchi nzima, hasa maeneo shirika linakofanya kazi au kutegemea kufanyakazi, ili kuwarubuni watu wanaotafuata kazi kwa nafasi zinazotangazwa na kuwarubuni kutoa sh. 500,000/- ili waweze ajiriwa pale.

Watu hao wanasema waziwazi kuwa pesa hizo ni za mkurugenzi wa rasilimali watu.

Iringa na Mbeya kuna wafanyakzi waliyopewa jukumu hilo wawili {Jabu na Ngeresa} na hao wawili wanawasiliana na vigogo wawili walio makao makuu ya JHPIEGO, mmoja ni mwaume aitwae KLAUS na mwingine mwanamke aitwae REHEMA.

Tunaomba uongozi wa JHPIEGO Tanzania ufanye uchunguzi wa kina kuhusu watu hao, halafu ikiwezekana hata waombaji wa kazi awelezwe kabisa kuwa hakuna mtu au kikundi cha watu waliyotumwa kuomba pesa toka kwa waombaji wa kazi.

Chondechonde tunaomba wafanyakazi hao wasiharibu jina la shirika hilo.
 
Kosa la Rushwa halipo kwa mpokeaji peke yake bali hata Mtoaji/Mtapeliwa. Ukienda kufungua kesi ya kutapeliwa Jamhuri nayo inakufungulia kesi ya kutoa Rushwa ili haki itendeke.
 
Jipu limewiva na wajue hapatakuwepo na ganzi siku kulitumbua
 
Pale JHPIEGO kuna kikundi cha wafanyakazi kwenye idara ya rasirimali-watu wameunda kikundi cha watu nchi nzima, hasa maeneo shirika linakofanya kazi au kutegemea kufanyakazi, ili kuwarubuni watu wanaotafuata kazi kwa nafasi zinazotangazwa na kuwarubuni kutoa sh. 500,000/- ili waweze ajiriwa pale.

Watu hao wanasema waziwazi kuwa pesa hizo ni za mkurugenzi wa rasirimali watu.

Iringa na Mbeya kuna wafanyakzi waliyopewa jukumu hilo wawili {Jabu na Ngeresa} na hao wawili wanawasiliana na vigogo wawili walio makao makuu ya JHPIEGO, mmoja ni mwaume aitwae KLAUS na mwingine mwanamke aitwae REHEMA.

Tunaomba uongozi wa JHPIEGO Tanzania ufanye uchunguzi wa kina kuhusu watu hao, halafu ikiwezekana hata waombaji wa kazi aelezwe kabisa kuwa hakuna mtu au kikundi cha watu waliyotumwa kuomba pesa toka kwa waombaji wa kazi.

Chondechonde tunaomba wafanyakazi hao wasiharibu jina la shirika hilo.
Bahati nzuri hao wote uliowataja Rehema na Stanslaus (siyo Klaus, labda kama kuna bosi mwingine mpya mwenye jina hilo) nawafahamu. Siwezi kuwasemea lakini naona ni ngumu kuamini madai hayo kwa haraka haraka. Ila iwe kweli au uzushi siku moja kimojawapo kitakuwa wazi.
 
Takukuru wanazo pesa kibao za kuhonga watu kama hao we nenda toa maelezo yako ngapi unataka uwape utapewa mzigo cash upeleke, unalalamika nini sasa
 
Bahati nzuri hao wote uliowataja Rehema na Stanslaus (siyo Klaus, labda kama kuna bosi mwingine mpya mwenye jina hilo) nawafahamu. Siwezi kuwasemea lakini naona ni ngumu kuamini madai hayo kwa haraka haraka. Ila iwe kweli au uzushi siku moja kimojawapo kitakuwa wazi.
Mkuu hao Klaus na Rehema wapo kweli wala CIO uongo, nawafahamu vyema na ni ma HR ktk project ya Sauti
 
Hawa JHPIEGO ni shirika la Kimarekani ambalo kimsingi halifai kuwepo Tanzania kulingana na maadili yetu. Hawa watu bila ya kumumunya maneno wanaunga mkono ushoga pamoja na ukahaba, sijui wana malengo gani!

Mathalani tar 06/04/2016, Baraza la Madiwani Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga waliitisha kikao cha dharura ili kuliruhusu Shirika lisilo la serikali liitwalo Rafiki SDO(chini ya JHPIEGO) kuendelea na shughuli za kutoa elimu ya UKIMWI kwa wanawake wanaojihusisha na biashara ya ngono pamoja na mashoga.

Hii ni hatua iliyochukuliwa baada ya kulisitishia shirika hilo kuendesha shughuli zake mwezi Machi kutokana na tabia yao ya kuhamasisha watu kuendelea na ushoga kwa kuwapa vilainishi(lubricants).

Hawa watu machoni huwa wanatoa maelezo mazuri sana ila katika utekelezaji ni tatizo. Eti wanadai watawakusanya mashoga na wadada wanaojiuza katika vikundi ili wawasaidie kiuchumi.. Hili ni changa la macho! Unapowaweka mashoga pamoja unategemea nini?? Tutegemee kuanzishwa kwa soko la video za ngono baada ya miaka kadhaa ikiwemo maandamano ya mashoga Tanzania wakidai eti haki zao za kutambuliwa kama watanzania wengine.
 
Hawa JHPIEGO ni shirika la Kimarekani ambalo kimsingi halifai kuwepo Tanzania kulingana na maadili yetu. Hawa watu bila ya kumumunya maneno wanaunga mkono ushoga pamoja na ukahaba, sijui wanamalengo gani! Mathalani tar 06/04/2016 Baraza la Madiwani Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga waliitisha kikao cha dharura ili kuliruhusu Shirika lisilo la serikali liitwalo Rafiki SDO(chini ya JHPIEGO) kuendelea na shughuli za kutoa elimu ya ukimwi kwa wanawake wanaojihusisha na biashara ya ngono pamoja na mashoga. Hii ni hatua iliyochuliwa baada ya kulisitishia shilika hilo kuendesha shughuli zake mwezi machi kutokana na tabia yao ya kuhamasisha watu kuendelea na ushoga kwa kuwapa vilainishi(lubricants). Hawa watu machoni huwa wanatoa maelezo mazuri sana ila katika utekelezaji ni tatizo. Eti wanadai watawakusanya mashoga na wadada wanaojiuza katika vikundi ili wawasaidie kiuchumi.. Hili ni changa la macho! Unapowaweka mashoga pamoja unategemea nini?? tutegemee kuanzishwa kwa soko la video za ngono baada ya miaka kadhaa ikiwemo maandamano ya mashoga Tanzania wakidai eti haki zao za kutambuliwa kama watanzania wengine.
Kuna jamaa zangu walikuwa wanafanya kazi za mambo ya tohara kwa kupitia shirika hili, waliponigusia kuhusu hiyo term VILAINISHI nilishangaa, kucheka na kuhuzunika kwa pamoja, na jamaa wamejipanga sana.
 
Hawa jamaa kumbe ndio wale wa mpango wa vilainishi? Nilishangaa sana niliposoma habari humu JF kuhusu
Madiwani Shinyanga wabariki mradi wa mashoga na machangudoa.. Nikajiuliza, hivi ni kweli kama taifa tumefikia hapa?!

Hizi taasisi nyingine hizi zinatupeleka kilazima mahali tulipokataa kutia saini kwa hiari!

By the way, kirefu cha JHPIEGO ni nini!?

Kifupi mkuu hata nchi yetu inaunga mkono maswala ya ushoga na mambo ya ndoa za jinsia moja ila sema njia tu ndo znatofautiana sisi tunaunga indirect either kwa kufaham au kutufahamu. Ndo maana hutaisikia serikali kutoa rasmi msisamo wake na kuleta sheria kuhusu maswala ushoga na ndoa za jinsia moja.
 
Hawa JHPIEGO ni shirika la Kimarekani ambalo kimsingi halifai kuwepo Tanzania kulingana na maadili yetu. Hawa watu bila ya kumumunya maneno wanaunga mkono ushoga pamoja na ukahaba, sijui wana malengo gani!

Mathalani tar 06/04/2016, Baraza la Madiwani Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga waliitisha kikao cha dharura ili kuliruhusu Shirika lisilo la serikali liitwalo Rafiki SDO(chini ya JHPIEGO) kuendelea na shughuli za kutoa elimu ya UKIMWI kwa wanawake wanaojihusisha na biashara ya ngono pamoja na mashoga.

Hii ni hatua iliyochukuliwa baada ya kulisitishia shirika hilo kuendesha shughuli zake mwezi Machi kutokana na tabia yao ya kuhamasisha watu kuendelea na ushoga kwa kuwapa vilainishi(lubricants).

Hawa watu machoni huwa wanatoa maelezo mazuri sana ila katika utekelezaji ni tatizo. Eti wanadai watawakusanya mashoga na wadada wanaojiuza katika vikundi ili wawasaidie kiuchumi.. Hili ni changa la macho! Unapowaweka mashoga pamoja unategemea nini?? Tutegemee kuanzishwa kwa soko la video za ngono baada ya miaka kadhaa ikiwemo maandamano ya mashoga Tanzania wakidai eti haki zao za kutambuliwa kama watanzania wengine.
Nilitaka kuuliza kazi yao ni nini? Kumbe ndio wanafanya hivi??
 
Back
Top Bottom