Kulikoni itv baraza la Eid Tanga

Kulikoni itv baraza la Eid Tanga

hawarushi bure, wahusika hawakuichagua kukwepa gharama
Wahusika ni akina nani? Unahakika hao wengine wamelipwa? Wakilipwa wanaunganishwa na Tv nyingine au wanarusha wao moja kwa moja? Ulitazama lakini hilo baraza?
 
Usinichekeshe.
Uko Tanga mjini, kumbe unajali sana baraza la Eid , kwanini usiende kujumuika na wenzio LIVE? Unategemea ITV wakuletee chumbani uone ukiwa na mchepuko. Si muangalie TBCCM?
Ni vema kujenga utamaduni wa kujibu hoja. Miye nimehoji, wewe nikinaishe kwa kujibu hoja, Sio majibu ya namna hii.
 
tv imaan imeonyesha?? kama imeonyesha inatosha kama haijaonyesha hoji kwanza hio, itv mbali sana
 
tv imaan imeonyesha?? kama imeonyesha inatosha kama haijaonyesha hoji kwanza hio, itv mbali sana
Nikushauri hili: katafute sera za vyombo hivi vya habari utajua kama hili swali lako lina umuhimu au la. Pili. leseni za TV hizi hazilingani. Huwezi kulinganisha ITV na TV Imaan.
 
mkuu si mnasemaga hamshiriki vitu na makafiri?? itv ni ya makafirr acha watuonyeshe vitu vyetu sisi mnaotuita makafirr
Wahusika ni akina nani? Unahakika hao wengine wamelipwa? Wakilipwa wanaunganishwa na Tv nyingine au wanarusha wao moja kwa moja? Ulitazama lakini hilo baraza?
 
TV Imaan ndo ilitakiwa iwe channel ya kwanza kuonyesha baraza la eid,
● ni tv kiislam kulingana na maudhui yake
● shehere ya eid inawahusu kwa asilimia 100
*itv itarusha live christmas mwaka mpya na pasaka zijazo stay tuned mkuu*
Nikushauri hili: katafute sera za vyombo hivi vya habari utajua kama hili swali lako lina umuhimu au la. Pili. leseni za TV hizi hazilingani. Huwezi kulinganisha ITV na TV Imaan.
 
ITV wasipoonesha Baraza la Eid ww inakuathiri vipi?....tena umesema kuna TV zinaonesha,sasa si ungalie kweye hizo TV?,ua una mahaba sana na ITV?
 
ITV wasipoonesha Baraza la Eid ww inakuathiri vipi?....tena umesema kuna TV zinaonesha,sasa si ungalie kweye hizo TV?,ua una mahaba sana na ITV?
Tukiruhusu fikra zetu kuwa huru, tutajadili suala hili kwa uhuru. Kumbuka hakuna ushindani katika hili. Shida ninayopata ni hii: sioni jibu la hoja yangu.
 
TV Imaan ndo ilitakiwa iwe channel ya kwanza kuonyesha baraza la eid,
● ni tv kiislam kulingana na maudhui yake
● shehere ya eid inawahusu kwa asilimia 100
*itv itarusha live christmas mwaka mpya na pasaka zijazo stay tuned mkuu*
*itv itarusha live christmas mwaka mpya na pasaka zijazo stay tuned mkuu* Haya maneno yako yanatosha kwangu. Ila ningelifurahi kama ungejibu hoja yangu.
 
Wenye Imani yao hawana Maneno kwakuwa walikua miskitini kufanya ibada,na mwenye Imani ya kweli hategemei TV anategemea sehemu za ibada za kila ijumaa weye ndio waona nongwa ya kutoridhika ikirushwa TV zingine mpaka ITV
 
Ni hakika kwamba wewe sio mtazamaji wa ZBC. Tazama Jpili.
Lini ZBC walishawahi kuonyesha ibada ya kikristo Mubashara?

Prove me wrong weka hata picha ZBC ikirusha matangazo ya ibada za kikristo hata kwaya tu
 
Back
Top Bottom