Kulikoni itv baraza la Eid Tanga

Kulikoni itv baraza la Eid Tanga

Naskia kule Z. Watu wakifunga wanawalazimisha na wenzao wafunge, haya mambo siyàkudekeza sana kwenye utaifa hizi dini tumeletewa tu jwa watu wanao jitambua hazitakiwi kuwagombanisha
Hii ndio jibu la hoja yangu?
 
Wafanye kazi, wajenge shule, waimarishe zilizopo na wapeleke watoto shule. Watajikomboa lkn kula ubwabwa na baraghashia na kusomea al haramu usitegemee utajilinganisha na mtu aliyesoma st. Francis au st. Albert.
Na hii inajibu hoja yangu?
 
Nilicho gundua hapa ni akili ndogo alizonazo muandika uzi (Mwamba2025)
Uwezo wa huyu mtu wa kufikiria ni mdogo sana tena sana. Kama TBC wanaonyesha si uangalie, kweli sijaona sababu ya kuanzisha huu uzi.

Anyway hongera kwa kuanzisha uzi.
Ila undhalilisha dini za watu kama huna kitu cha kuandika acha soma nyuzo za wenzako utapata kitu huko.
Nashukuru. Ila mpaka sasa, hakuna aliyekuwa mstaarabu wa kutosha kuweza kujibu nilichohoji zaidi ya kushambulia. Na hili la kushambulia pia lina akisi tu watu wa aina gani.
 
Niko hapa natazama Baraza la Eid linaloendelea jijini Tanga katika hoteli ya Tanga Beach Hotel. Baraza hili linaonyeshwa na televisheni kubwa zote TBC1, Star TV na Channel 10. ITV muda huu inaonyesha filamu ya kinigeria. Hivi ITV hawaoni umuhimu wa Baraza la Eid kwa watazamaji waislamu? Kwa kutorushwa kwa Baraza hili, ITV inatuma ujumbe gani kwa watazamaji wake waislamu? ITV ikituhumiwa kwa ubaguzi, itakuwa ni sawa?
Azam, imani tv na islamic tv ni za waislam mbona hazijaonesha......?

Emmanuel tv pia haijarusha, praise power hawajarusha pia....
 
Nashukuru. Ila mpaka sasa, hakuna aliyekuwa mstaarabu wa kutosha kuweza kujibu nilichohoji zaidi ya kushambulia. Na hili la kushambulia pia lina akisi tu watu wa aina gani.
Wewe ulitaka nini kwani tukupe namba ya simu ya ITV??
 
Back
Top Bottom