Kulikoni itv baraza la Eid Tanga

Kulikoni itv baraza la Eid Tanga

Ni vema kujenga utamaduni wa kujibu hoja. Miye nimehoji, wewe nikinaishe kwa kujibu hoja, Sio majibu ya namna hii.
Mwamba tatizo ni wewe kutoangalia baraza LIVE au unatatizo na ITV?
Mbona wasabi, clouds na ile ya kwenu special for mambo yenu hujaisema. TV IMAAN???
HII TIIVII IMAAN KWA AKILI YAKO INATAKIWA IONYESHE MCHIRIKU AU MDUNDIKO AU FIESTA?
 
Naskia kule Z. Watu wakifunga wanawalazimisha na wenzao wafunge, haya mambo siyàkudekeza sana kwenye utaifa hizi dini tumeletewa tu jwa watu wanao jitambua hazitakiwi kuwagombanisha
 
Wazee wa kulia lia
Fanyeni kaz acheni kulia lia

Wafanye kazi, wajenge shule, waimarishe zilizopo na wapeleke watoto shule. Watajikomboa lkn kula ubwabwa na baraghashia na kusomea al haramu usitegemee utajilinganisha na mtu aliyesoma st. Francis au st. Albert.
 
Shaur yao
Mi Nipo hapa Denmark nakula maisha tuu Pambaneni na hali zao

Maisha yenyewe mafupi Haya

Halafu kiumbe fulan kinisumbue

Hivi huko tz hamlali?? Au ni saa ngp huko kwenu
 
Hili linajulikana, Hata hizo TV nyingine hazikuwa zinarusha mubashara. Walijiunga na TBC1. Hoja hapa ni hii: hivi hili tukio halikuwa na umuhimu kiasi hicho?
Unda ya kwako na wewe,
Utakuwa humpigii magoti MTU,
Ukiamua kuweka live kigodoro mwaka mzima sawa
Hata ukiruhu watangazaji wavae yebo-yebo pia itakuwa sawa,
Mda mwingine kulalamika Sanaaa huvubaza akili
 
sisi waislamu wala hatulalamiki maana hiyo sherehe ya idd tanga ni ya bakwata sio yetu waislamu
 
Pengine ndio dalili za kufilisika, hawana fungu la kwenda Ta.
 
Nilicho gundua hapa ni akili ndogo alizonazo muandika uzi (Mwamba2025)
Uwezo wa huyu mtu wa kufikiria ni mdogo sana tena sana. Kama TBC wanaonyesha si uangalie, kweli sijaona sababu ya kuanzisha huu uzi.

Anyway hongera kwa kuanzisha uzi.
Ila undhalilisha dini za watu kama huna kitu cha kuandika acha soma nyuzo za wenzako utapata kitu huko.
 
*itv itarusha live christmas mwaka mpya na pasaka zijazo stay tuned mkuu* Haya maneno yako yanatosha kwangu. Ila ningelifurahi kama ungejibu hoja yangu.
umesema kuna channel na umezitaja kwa majina zilikua zinaonyesha, hukuangalia?? au ulitaka uangalie zote kwa wakati mmoja zikiwa zinaonyesha tukio moja??
 
Mwamba tatizo ni wewe kutoangalia baraza LIVE au unatatizo na ITV?
Mbona wasabi, clouds na ile ya kwenu special for mambo yenu hujaisema. TV IMAAN???
HII TIIVII IMAAN KWA AKILI YAKO INATAKIWA IONYESHE MCHIRIKU AU MDUNDIKO AU FIESTA?
Jibu hoja
 
Back
Top Bottom