Kulikoni Benard Membe?

Kulikoni Benard Membe?

Musiba ataita press conference ingine kumchafua Membe?
 
Kwahivyo tujadili swala la uso wa membe kwa ulivyouona wewe?? Huu ujinga kama bangi haijahusika wahi daktari wa akili. Mwanaume ukae unajadili sura ya mume wa mtu kukosa tabasamu na mkewe atajadili nini? Naomba mnipe kazi ya u moderator MTU kama huyu nafuta Uzi na namfungia miaka sita apone kichaa kwanza
Sotoka inakusumbua,damu ya yule balozi lazima imtafune

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio utakuwa Musiba mwenyewe,
Unahitajika mahakamani kwenye kesi ya madai
 
Wanaccm wote wamezoea maisha ya mteremko, wakiyakosa maisha hayo unajichukulia tu hata mkewe unapiga mpaka unachoka. Yale maImprest aliyokuwa anayasaini yamekatika. Ndio maana wako tayari hata damu imwagike kuliko wapoteze madaraka. Angalia wote wakiwa madarakani wana vitambi, kisha wakitoka suruali zote wanaenda kupunguza kwa fundi au wakivaa baada ya kufunga mkanda zinaweka celebration.

Mfuate leo Membe akuonyeshea zile fursa alizokuwa anawaambia watu kuna fursa kibao, atakujibu kwa upole mambo ni magumu! Ile miradi aliyofungua na kuwakabidhi mashemeji yote inasuasua na mingine imekufa. Yote hayo ni kuzoea maisha ya mteremko kisha wakitoka madarakani unakuta muda wote midomo imewakauka kama wamepakaa mafuta taa.[/QUOTEkazi kweli kweli......
 
Da!,nimeipokea samahani,ila kiukweli Membe yuko taabani

Sent using Jamii Forums mobile app
wakatanta madaraka ni kitu kingine. Na hasa mtu anayependa madaraka na alishazoea kunyenyekewa na kila kiumbe. Enzi zake akiwa waziri wa mambo ya nje na huku akiwa na uhakika mkubwa kabisa anakuja kuwa rais wa nchi alikuwa yuko juu mawinguni. Si kuwa juu tu ila watu walikuwa wanamzunguka kila anapoenda na kumwamudu kwani walijua baadae ndiyo atakuwa ''mgawa madaraka mkuu'' Mara ghafla akaangukia pua na kujikuta nguvu na utukufu wote aliokuwa nao umeisha. Watu wa dizaini hii hata kama fedha ya kula wanayo lakini kiroho cha kukosa madaraka lazima kiwakumbe!
 
Mkuu vp kuhusu yule Mbunge toka Kanda ile pendwa ambae ni Mkuu wa ile Wizara ya Mambo ya Home??? Upepo ukibadilika tutaona maselebreshen??
Wanaccm wote wamezoea maisha ya mteremko, wakiyakosa maisha hayo unajichukulia tu hata mkewe unapiga mpaka unachoka. Yale maImprest aliyokuwa anayasaini yamekatika. Ndio maana wako tayari hata damu imwagike kuliko wapoteze madaraka. Angalia wote wakiwa madarakani wana vitambi, kisha wakitoka suruali zote wanaenda kupunguza kwa fundi au wakivaa baada ya kufunga mkanda zinaweka celebration.

Mfuate leo Membe akuonyeshea zile fursa alizokuwa anawaambia watu kuna fursa kibao, atakujibu kwa upole mambo ni magumu! Ile miradi aliyofungua na kuwakabidhi mashemeji yote inasuasua na mingine imekufa. Yote hayo ni kuzoea maisha ya mteremko kisha wakitoka madarakani unakuta muda wote midomo imewakauka kama wamepakaa mafuta taa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom