ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,572
2020 Tunaenda na Membe au Lissu.
Masikini
2020 Tunaenda na Membe au Lissu.
Ukipania sana kushika cheo cha boss wako kwa imani kuwa yeye ni dhaifu nawewe ni bora zaidi yake na utafanya miujiza ukipewa hicho cheo utaishia kwenye karo lenye mashada ya maua juu yake ukiwa umekufa kwa kihoro!!! Si yeye tu mi nawaona vijana wengi wenye ndoto za urais wa kufanya miujiza nami naamini kwa dhati wataishia kama si ubunge basi uwaziri tu!!! This World works in very mysterious ways!!!
Swali zuri,subiri utajuzwa,hiyo sio biashara ya karanga jioni mahesabu
Sent using Jamii Forums mobile app
NAONA UMEKUJA KUPIMA UPEPO,UKWELI UNAUJUA ! ILA MEMBE NI MBOBEZI ! ALIWAPIGA BAO AKAKWEPA MTEGO WAO ! once spy always spy
Kuna kijana anadai tochi ikizima papasa hiivyo kampapaseBila picha ni sawa na kuzima taa wakati wa kufanya jukumu la ustawi wa jamii ya watanzania
Raha ya ustawi wa jamii muwe mnaangaliana kabla na wakati wa kutwangaKuna kijana anadai tochi ikizima papasa hiivyo kampapase
Kwahiyo gharama za kununua bado hamjajua?Swali zuri,subiri utajuzwa,hiyo sio biashara ya karanga jioni mahesabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni uhaini.2020 Tunaenda na Membe au Lissu.
Nimemuangalia leo kwa ukaribu na nina muda mwingi sijamuona,
kikawaida Membe ni mchangamfu,mtu wa tabasamu na mara nyingi ni mtu mwenye bashasha wakati wote.
Leo wakati anatoka mahakamani dhidi ya shauri lake na Musiba na wenzake,namuona ni Membe mwingine kabisa,kapungua ,uso wake unaonyesha ndani ya moyo wake kuna kitu kinaumiza nafsi yake,ni kitu gani hicho?,kuukosa urais ?,ndoto zinakosa matumaini?,si ajikubali tu?,mbona Lowassa kakubali matokeo?,
kila jambo hupangwa na mungu kwa makusudi yake,akubali kua hakupangiwa na mungu kua rais japo mbeleko ya kikwete ingeweza kumbeba kitemi.
Image is loading...........
Sent using Jamii Forums mobile app
Ramuli Chonganishi hiziNimemuangalia leo kwa ukaribu na nina muda mwingi sijamuona,
kikawaida Membe ni mchangamfu,mtu wa tabasamu na mara nyingi ni mtu mwenye bashasha wakati wote.
Leo wakati anatoka mahakamani dhidi ya shauri lake na Musiba na wenzake,namuona ni Membe mwingine kabisa,kapungua ,uso wake unaonyesha ndani ya moyo wake kuna kitu kinaumiza nafsi yake,ni kitu gani hicho?,kuukosa urais ?,ndoto zinakosa matumaini?,si ajikubali tu?,mbona Lowassa kakubali matokeo?,
kila jambo hupangwa na mungu kwa makusudi yake,akubali kua hakupangiwa na mungu kua rais japo mbeleko ya kikwete ingeweza kumbeba kitemi.
Image is loading...........
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila picha ni sawa na kuzima taa wakati wa kufanya jukumu la ustawi wa jamii ya watanzania
Daah umewachamba.....lakini ndio ukweli.Wanaccm wote wamezoea maisha ya mteremko, wakiyakosa maisha hayo unajichukulia tu hata mkewe unapiga mpaka unachoka. Yale maImprest aliyokuwa anayasaini yamekatika. Ndio maana wako tayari hata damu imwagike kuliko wapoteze madaraka. Angalia wote wakiwa madarakani wana vitambi, kisha wakitoka suruali zote wanaenda kupunguza kwa fundi au wakivaa baada ya kufunga mkanda zinaweka celebration.
Mfuate leo Membe akuonyeshea zile fursa alizokuwa anawaambia watu kuna fursa kibao, atakujibu kwa upole mambo ni magumu! Ile miradi aliyofungua na kuwakabidhi mashemeji yote inasuasua na mingine imekufa. Yote hayo ni kuzoea maisha ya mteremko kisha wakitoka madarakani unakuta muda wote midomo imewakauka kama wamepakaa mafuta taa.
Wanaccm wote wamezoea maisha ya mteremko, wakiyakosa maisha hayo unajichukulia tu hata mkewe unapiga mpaka unachoka. Yale maImprest aliyokuwa anayasaini yamekatika. Ndio maana wako tayari hata damu imwagike kuliko wapoteze madaraka. Angalia wote wakiwa madarakani wana vitambi, kisha wakitoka suruali zote wanaenda kupunguza kwa fundi au wakivaa baada ya kufunga mkanda zinaweka celebration.
Mfuate leo Membe akuonyeshea zile fursa alizokuwa anawaambia watu kuna fursa kibao, atakujibu kwa upole mambo ni magumu! Ile miradi aliyofungua na kuwakabidhi mashemeji yote inasuasua na mingine imekufa. Yote hayo ni kuzoea maisha ya mteremko kisha wakitoka madarakani unakuta muda wote midomo imewakauka kama wamepakaa mafuta taa.
hakika umenena,big up,anakufa na kiholoUkipania sana kushika cheo cha boss wako kwa imani kuwa yeye ni dhaifu nawewe ni bora zaidi yake na utafanya miujiza ukipewa hicho cheo na tena ukiwaza uwe na hicho cheo usifiwe kwa kujionesha unajua sana na kuwakomoa watu flani , kwakuwa hizo ni fikra za kishetani basi ujue utaishia kwenye karo lenye mashada ya maua juu yake ukiwa umekufa kwa kihoro!!! Si yeye tu atakaekonda na kuishiwa kitambi bali mi nawaona vijana wengi wenye ndoto za urais wa kufanya miujiza eti ili tuwasifie nami nawasikitikia sana kwani naamini kwa dhati nao pia wataishia kwenye makaro wakiwa kama si wabunge basi mawaziri tu!!! Wanajijua!!! Wale wenye hekima mtunze maneno haya na mfundishe watoto wenu mkipenda!! This World works in very mysterious ways!!!
Nakumbuka, inatisha na inafundisha kuona mijitu kama hii inaungua kama moto wa mibani
Pia nahisi ile pesa ilipigwa tanchi na wajedaNakumbuka, inatisha na inafundisha kuona mijitu kama hii inaungua kama moto wa mibani
Membe atashindwa hii kesiNimemuangalia leo kwa ukaribu na nina muda mwingi sijamuona,