Kulikoni Benard Membe?

Kulikoni Benard Membe?

Nimemuangalia leo kwa ukaribu na nina muda mwingi sijamuona,

kikawaida Membe ni mchangamfu,mtu wa tabasamu na mara nyingi ni mtu mwenye bashasha wakati wote.

Leo wakati anatoka mahakamani dhidi ya shauri lake na Musiba na wenzake,namuona ni Membe mwingine kabisa,kapungua ,uso wake unaonyesha ndani ya moyo wake kuna kitu kinaumiza nafsi yake,ni kitu gani hicho?,kuukosa urais ?,ndoto zinakosa matumaini?,si ajikubali tu?,mbona Lowassa kakubali matokeo?,
kila jambo hupangwa na mungu kwa makusudi yake,akubali kua hakupangiwa na mungu kua rais japo mbeleko ya kikwete ingeweza kumbeba kitemi.

Image is loading...........

Sent using Jamii Forums mobile app
mumuache jamani
 
Wanaccm wote wamezoea maisha ya mteremko, wakiyakosa maisha hayo unajichukulia tu hata mkewe unapiga mpaka unachoka. Yale maImprest aliyokuwa anayasaini yamekatika. Ndio maana wako tayari hata damu imwagike kuliko wapoteze madaraka. Angalia wote wakiwa madarakani wana vitambi, kisha wakitoka suruali zote wanaenda kupunguza kwa fundi au wakivaa baada ya kufunga mkanda zinaweka celebration.

Mfuate leo Membe akuonyeshea zile fursa alizokuwa anawaambia watu kuna fursa kibao, atakujibu kwa upole mambo ni magumu! Ile miradi aliyofungua na kuwakabidhi mashemeji yote inasuasua na mingine imekufa. Yote hayo ni kuzoea maisha ya mteremko kisha wakitoka madarakani unakuta muda wote midomo imewakauka kama wamepakaa mafuta taa.
Huku twaogopa vitambi ati. maana ni kifo, ugonjwa na taabu, weye wakililia? waona cha maana?
 
Huku twaogopa vitambi ati. maana ni kifo, ugonjwa na taabu, weye wakililia? waona cha maana?

Wasio na vitambi hawafi? Nitafute kiongozi wa serikali hii asiye na kitambi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom