Kulikoni Benard Membe?

Kulikoni Benard Membe?

mimi nadhan sio kukosa cheo wala nini. Ila kuna mambo nyuma ya pazia lait ukiyasikia huwez mlaumu membe. Sasa hivi kila kitu ni mwendo wa visasi. Tena nadhani bora hata kina mbowe washayazoea lakin kila mtu ambaye yuko kinyume anashughulikiwa ipasavyo. Kuna waziri mmoja wazaman sasa hivi hata ile aman ya kutembelea gari imekosekana. Kila mara amekuwa mtu wa kujificha sana. Biashara zao zinafuatiliwa pasipokuwa na msingi. Sasa hiv amani imekuwa kukaa na pesa ndani kuliko kuweka benk.
Nina uhakika 2020 tutashuhudia viongozi wengi au watu wengi ambao wako kinyume na muheshimiwa wakihama nchi
Kama walivipata kwa halali hakuna haja ya kuogopa,tatizo wengi walivipata kinyume na utaratibu ,halafu wanataka kumvimbia,wakati njia walizotumia kujipatia ukwasi ni za haramu na jamaa anajua kila kitu,ni bora wakawa wapole,mfano Simbachawene

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huu ni uwanja wa wapigaramli na hii ni mechi yao ya nyumbani, karibuni kwa mchezo
 
Kama walivipata kwa halali hakuna haja ya kuogopa,tatizo wengi walivipata kinyume na utaratibu ,halafu wanataka kumvimbia,wakati njia walizotumia kujipatia ukwasi ni za haramu na jamaa anajua kila kitu,ni bora wakawa wapole,mfano Simbachawene

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa kama anaona walivipata kimagumashi si awapeleke mahakaman kuliko kuanza kumfuatilia mtu akifanyacho sasa hivi tena baada ya kutoka madarakani. Hivi siko madarakan kwanini utake fuatilia navoendesha maisha yangu sasa hivi
 
Nimemuangalia leo kwa ukaribu na nina muda mwingi sijamuona,

kikawaida Membe ni mchangamfu,mtu wa tabasamu na mara nyingi ni mtu mwenye bashasha wakati wote.

Leo wakati anatoka mahakamani dhidi ya shauri lake na Musiba na wenzake,namuona ni Membe mwingine kabisa,kapungua ,uso wake unaonyesha ndani ya moyo wake kuna kitu kinaumiza nafsi yake,ni kitu gani hicho?,kuukosa urais ?,ndoto zinakosa matumaini?,si ajikubali tu?,mbona Lowassa kakubali matokeo?,
kila jambo hupangwa na mungu kwa makusudi yake,akubali kua hakupangiwa na mungu kua rais japo mbeleko ya kikwete ingeweza kumbeba kitemi.

Image is loading...........

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_2019-03-28-16-27-59.png

sent by galax s9
 
sasa kama anaona walivipata kimagumashi si awapeleke mahakaman kuliko kuanza kumfuatilia mtu akifanyacho sasa hivi tena baada ya kutoka madarakani. Hivi siko madarakan kwanini utake fuatilia navoendesha maisha yangu sasa hivi
Ukijua ulipora busara hua ni kukaa kimya,jinai haifi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ndege zetu mpya zimenunuliwa kiasi cha shilingi ngapi na zimeingiza faida kiasi gani?

Uwazi na Ukweli ni moja ya imani na falsafa ya ccm,nchi pamoja na Katibu yetu.
Tuwajurishe watanzania bei zake na faida ambayo zimetengeneza mpaka sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemuangalia leo kwa ukaribu na nina muda mwingi sijamuona,

kikawaida Membe ni mchangamfu,mtu wa tabasamu na mara nyingi ni mtu mwenye bashasha wakati wote.

Leo wakati anatoka mahakamani dhidi ya shauri lake na Musiba na wenzake,namuona ni Membe mwingine kabisa,kapungua ,uso wake unaonyesha ndani ya moyo wake kuna kitu kinaumiza nafsi yake,ni kitu gani hicho?,kuukosa urais ?,ndoto zinakosa matumaini?,si ajikubali tu?,mbona Lowassa kakubali matokeo?,
kila jambo hupangwa na mungu kwa makusudi yake,akubali kua hakupangiwa na mungu kua rais japo mbeleko ya kikwete ingeweza kumbeba kitemi.

Image is loading...........

Sent using Jamii Forums mobile app
NAONA UMEKUJA KUPIMA UPEPO,UKWELI UNAUJUA ! ILA MEMBE NI MBOBEZI ! ALIWAPIGA BAO AKAKWEPA MTEGO WAO ! once spy always spy
 
Hivi ndege zetu mpya zimenunuliwa kiasi cha shilingi ngapi na zimeingiza faida kiasi gani?

Uwazi na Ukweli ni moja ya imani na falsafa ya ccm,nchi pamoja na Katibu yetu.
Tuwajurishe watanzania bei zake na faida ambayo zimetengeneza mpaka sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali zuri,subiri utajuzwa,hiyo sio biashara ya karanga jioni mahesabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom