Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,423
subiri utaona 2020 utakuja kuelewa ! NINACHOMAANISHA !
subiri utaona 2020 utakuja kuelewa ! NINACHOMAANISHA !
JIANDAE KISAIKOLOJIA MKUU ! SASA HUWEZI KUELEWAMasikini
Ramli chonganishi ,wivu husuda na majungu ndio katiba ya LumumbaHuu sasa ni uganga wa mitishamba......yaani ramli au bao!
wakatanta madaraka ni kitu kingine. Na hasa mtu anayependa madaraka na alishazoea kunyenyekewa na kila kiumbe. Enzi zake akiwa waziri wa mambo ya nje na huku akiwa na uhakika mkubwa kabisa anakuja kuwa rais wa nchi alikuwa yuko juu mawinguni. Si kuwa juu tu ila watu walikuwa wanamzunguka kila anapoenda na kumwamudu kwani walijua baadae ndiyo atakuwa ''mgawa madaraka mkuu'' Mara ghafla akaangukia pua na kujikuta nguvu na utukufu wote aliokuwa nao umeisha. Watu wa dizaini hii hata kama fedha ya kula wanayo lakini kiroho cha kukosa madaraka lazima kiwakumbe!
Nchi za kiafrika mwenzio akishika dola ujue kazi unayosubiri utaona 2020 utakuja kuelewa ! NINACHOMAANISHA !
Ha ha hanha Jamaa anataka kutuchosha tu humuww kichwa ya moto aise
dah
Ha ha hanha Jamaa anataka kutuchosha tu humu
Kamanda hujui Membe ndiye mgombea pendwa urais Chadema?Wanaccm wote wamezoea maisha ya mteremko, wakiyakosa maisha hayo unajichukulia tu hata mkewe unapiga mpaka unachoka. Yale maImprest aliyokuwa anayasaini yamekatika. Ndio maana wako tayari hata damu imwagike kuliko wapoteze madaraka. Angalia wote wakiwa madarakani wana vitambi, kisha wakitoka suruali zote wanaenda kupunguza kwa fundi au wakivaa baada ya kufunga mkanda zinaweka celebration.
Mfuate leo Membe akuonyeshea zile fursa alizokuwa anawaambia watu kuna fursa kibao, atakujibu kwa upole mambo ni magumu! Ile miradi aliyofungua na kuwakabidhi mashemeji yote inasuasua na mingine imekufa. Yote hayo ni kuzoea maisha ya mteremko kisha wakitoka madarakani unakuta muda wote midomo imewakauka kama wamepakaa mafuta taa.
South Africa Mbeki alikuwa nayo dola,akatoka kabla ya muda kumpisha KGALEMA MONTLANTE,ZUMA PIA ALIQUIT KWA SHINIKIZO AKACHUKUA CYIRIL RHAMAPOSA.
Yuko kwenye mfungo wa KwaresmaNimemuangalia leo kwa ukaribu na nina muda mwingi sijamuona,
kikawaida Membe ni mchangamfu,mtu wa tabasamu na mara nyingi ni mtu mwenye bashasha wakati wote.
Leo wakati anatoka mahakamani dhidi ya shauri lake na Musiba na wenzake,namuona ni Membe mwingine kabisa,kapungua ,uso wake unaonyesha ndani ya moyo wake kuna kitu kinaumiza nafsi yake,ni kitu gani hicho?,kuukosa urais ?,ndoto zinakosa matumaini?,si ajikubali tu?,mbona Lowassa kakubali matokeo?,
kila jambo hupangwa na mungu kwa makusudi yake,akubali kua hakupangiwa na mungu kua rais japo mbeleko ya kikwete ingeweza kumbeba kitemi.
Image is loading...........
Sent using Jamii Forums mobile app
Membe alihakikisha anampoteza kabisa mudhihiri mudhihiri kwenye utawala wa jk..na alifanikiwa..nilipata kukutana na mudhihiri..wakati wa maongezi hakutaka kufafanua ila nilimuelewa..nilipofatilia nikagundua chanzo cha mvutano ni kiwanda cha cement lindi..na hili magufuli aliwahi kulizungumza kuwa kuna mtu kapiga bill 200 za kiwanda cha cement lindi.mimi nadhan sio kukosa cheo wala nini. Ila kuna mambo nyuma ya pazia lait ukiyasikia huwez mlaumu membe. Sasa hivi kila kitu ni mwendo wa visasi. Tena nadhani bora hata kina mbowe washayazoea lakin kila mtu ambaye yuko kinyume anashughulikiwa ipasavyo. Kuna waziri mmoja wazaman sasa hivi hata ile aman ya kutembelea gari imekosekana. Kila mara amekuwa mtu wa kujificha sana. Biashara zao zinafuatiliwa pasipokuwa na msingi. Sasa hiv amani imekuwa kukaa na pesa ndani kuliko kuweka benk.
Nina uhakika 2020 tutashuhudia viongozi wengi au watu wengi ambao wako kinyume na muheshimiwa wakihama nchi
Nimemuangalia leo kwa ukaribu na nina muda mwingi sijamuona,
kikawaida Membe ni mchangamfu,mtu wa tabasamu na mara nyingi ni mtu mwenye bashasha wakati wote.
Leo wakati anatoka mahakamani dhidi ya shauri lake na Musiba na wenzake,namuona ni Membe mwingine kabisa,kapungua ,uso wake unaonyesha ndani ya moyo wake kuna kitu kinaumiza nafsi yake,ni kitu gani hicho?,kuukosa urais ?,ndoto zinakosa matumaini?,si ajikubali tu?,mbona Lowassa kakubali matokeo?,
kila jambo hupangwa na mungu kwa makusudi yake,akubali kua hakupangiwa na mungu kua rais japo mbeleko ya kikwete ingeweza kumbeba kitemi.
Image is loading...........
Sent using Jamii Forums mobile app