sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,980
- 4,986
Lo hatari kama ndio hivyo.
Lo hatari kama ndio hivyo.
Kuukosa urais ?,ndoto zinakosa matumaini?,si ajikubali tu?,mbona Lowassa kakubali matokeo?, kila jambo hupangwa na mungu kwa makusudi yake,akubali kua hakupangiwa na mungu kua rais japo mbeleko ya kikwete ingeweza kumbeba kitemi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mku usicheze na kukosa pesa kama ulikua umeizoea, hilo ni jambo jingine. Lisikie kwa jirani usitake kuwa moja wa mashaidi
Unaweza weka wazi aina ya matusi Musiba aliomtukana Membe?,acha mahaba kwa Membe ,Membe alipewa za uso za ukweliMungu tunambebesha mzigo mkubwa! kwamba Mungu pia kawaandaa akina Musiba wamtukane Membe?
Lo hatari kama ndio hivyo.
Nimemuangalia leo kwa ukaribu na nina muda mwingi sijamuona,
kikawaida Membe ni mchangamfu,mtu wa tabasamu na mara nyingi ni mtu mwenye bashasha wakati wote.
Leo wakati anatoka mahakamani dhidi ya shauri lake na Musiba na wenzake,namuona ni Membe mwingine kabisa,kapungua ,uso wake unaonyesha ndani ya moyo wake kuna kitu kinaumiza nafsi yake,ni kitu gani hicho?,kuukosa urais ?,ndoto zinakosa matumaini?,si ajikubali tu?,mbona Lowassa kakubali matokeo?,
kila jambo hupangwa na mungu kwa makusudi yake,akubali kua hakupangiwa na mungu kua rais japo mbeleko ya kikwete ingeweza kumbeba kitemi.
Image is loading...........
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza weka wazi aina ya matusi Musiba aliomtukana Membe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watetezi wa Membe mtapata tabu sanaVipi kama ukianzia kujikagua wewe labda akili yako dishi limecheza, ni labda tu ili kuwa na uhakika kuwa unaposema jambo basi liwe na 5W-H
MSUVA ANA UNDERPERFORM !! THEN UMWACHE MPAKA AMALIZE DAKIKA 90 ??
NA WA "JIWE PIA" MNAHANGANGAIKA SANA MARA DUFU
Mahakama mbona ni sehem ya kawaida tu, mbona hata mzee Mkapa alionekana sana kipindi cha kesi ya Ununuzi wa RadaKweli maisha ni kupanda na kushuka,leo yuko mahakamani na kina Musiba?
Sent using Jamii Forums mobile app
kula like mkuuMembe is not with you here, relax anafanya mambo yake na pengine yuko fit akilisongesha
Tumejifunza kwamba alileta mafuriko ya hatari mpaka SISIEMU wakapata WENGE.
Umenifanya niwaze mbali sana hiyo 2050 ID nyingi humu Jf Zitakuwa za marehemuUkipania sana kushika cheo cha boss wako kwa imani kuwa yeye ni dhaifu nawewe ni bora zaidi yake na utafanya miujiza ukipewa hicho cheo na tena ukiwaza uwe na hicho cheo usifiwe kwa kujionesha unajua sana na kuwakomoa watu flani , kwakuwa hizo ni fikra za kishetani basi ujue utaishia kwenye karo lenye mashada ya maua juu yake ukiwa umekufa kwa kihoro!!! Si yeye tu atakaekonda na kuishiwa kitambi bali mi nawaona vijana wengi bongo wenye ndoto za urais wa kufanya miujiza eti ili tuwasifie wao ni smart zaidi nami nawasikitikia sana kwani naamini kwa dhati nao pia wataishia kwenye makaro wakiwa kama si wabunge basi mawaziri tu!!! Wanajijua nasi tunawajua!!! Wale wenye hekima nawaomba myatunze maneno haya mje myaseme 2050 laiti mkiwa hai na nawasihi myafundishe pia kwa watoto wenu mkipenda!! This World works in very mysterious ways!!!