Kuleta Hawara nyumbani

Columbus

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
2,002
648
Kuna tabia ya wanaume kuleta hawara nyumbani kwake wakati mke na familia wakiwa safarini, yaani huyu mwanaume anafanya mapenzi ni huyo hawara yake katika kitanda cha mkewe wa ndoa. Hivi tabia kama hii ina madhara gani, tujadili.
 
Mwanamme anaefanya hivyo anakua mshenzi watabia na ukosefu wamaleze mema,huwezi kuleta mwanamke kwenye nyumba unayoishi na family yako kwanza majirani watakudharau au mke wako akija kujua utamumiza moyo wake na sio vizuri kufanya kitu ambacho mwezio kitamkera.
 
Wapo na tumewasikia au kuwaona mitaani tunakoishi wakifanya hivyo.&nbsp; Nadhani wanakuwa na ka-ugonjwa ka akili, malimbukeni wapuuzi wanaodhani kuwaumiza watu wanaowahusu na kushangaza umati unaowazunguka ni umaarufu na jambo la ufahari.&nbsp; Lazima wana matatizo ya kimalezi zaidi kiakili.<IMG class=inlineimg title=Sick border=0 alt="" src="/images/styles/JamiiForums/smilies/sick.gif" smilieid="279">
 
This is very serious. Kama mumeo amefikia kiasi cha kuleta hawara nyumbani basi hapo hakuna ndoa tena.

This reminds me what men protrays about women: Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe! Huyo hawara anakubali kuja nyumbani kwako wakati anajua kuna mwanamke mwingine? Kweli wanwake tunamalizana sana, maadui ni sisi wenyewe, kwa kiasingizio kuwa wanaume wametufuata.
 
Huu ni ulimbukeni tena ujinga mkubwa wa mwanaume wa aina hiyo. Kile kitanda mwanaume anachotumia na mke wake kinafaa kuheshimiwa kabisa na asilale mwanamke mwingine katika kitanda kile. Kumleta hawara nyumbani tena kwenye familia yako ma kitanda chako na mke wako ni ujinga na ulimbukeni. Hakuna haja ya kuionyesha familia yako kuwa unazini na wanawake nje au una hawara. Hakuna haja ya kuonyesha uchafu wako nyumbani mwako kwenye familia yako. Kwani umekosa nini pesa za hoteli mpaka uonyeshe uhuni wako nyumbani mwako. Watoto watakuonaje hata kama watoto hawapo kwa wakati huo, house gal wako au mlinzi wako watakuonaje.
 
Kuna tabia ya wanaume kuleta hawara nyumbani kwake wakati mke na familia wakiwa safarini, yaani huyu mwanaume anafanya mapenzi ni huyo hawara yake katika kitanda cha mkewe wa ndoa. Hivi tabia kama hii ina madhara gani, tujadili.

Distazo... hapa hata kujadili inakua kazi kweli.... wanaume wa hivyo
ndio wale limbukeni... of coz wengi wana cheat but bana asikwambie
mtu, hakuna mwenza kama mke/mume - ndio the best person in your
life no matter hao unao ona nje ao kuonana nao... Hivyo ukitambua ilo
huwezi ukawa mshenzi kiasi cha kuleta hawara ndani hali mwenzio hayupo...
Sema tu tumetofautiana ufikiri... wewe unaepelekwa hapo; how do you feel??
 
Madhara gani? are you serious kuuliza swali hilo???????????

Hata jirani yangu alifanya hivyo, mkewe alipojua kaondoka na watoto wake wote including house girl!!! janaume limebaki home alone hata huyo aliyekuwa anamleta chumba cha ndoa haji tena, anachota maji, anakula kwa mama ntilie!! aibu sana kwa majirani zake, ndo akome uzinzi usio na hata chembe ya aibu
 
This is very serious. Kama mumeo amefikia kiasi cha kuleta hawara nyumbani basi hapo hakuna ndoa tena.

This reminds me what men protrays about women: Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe! Huyo hawara anakubali kuja nyumbani kwako wakati anajua kuna mwanamke mwingine? Kweli wanwake tunamalizana sana, maadui ni sisi wenyewe, kwa kiasingizio kuwa wanaume
wametufuata.

Kama awala lkadanganywa kuwa huyo jamaa hana mke?
 
Huu ni ulimbukeni tena ujinga mkubwa wa mwanaume wa aina hiyo. Kile kitanda mwanaume anachotumia na mke wake kinafaa kuheshimiwa kabisa na asilale mwanamke mwingine katika kitanda kile. Kumleta hawara nyumbani tena kwenye familia yako ma kitanda chako na mke wako ni ujinga na ulimbukeni. Hakuna haja ya kuionyesha familia yako kuwa unazini na wanawake nje au una hawara. Hakuna haja ya kuonyesha uchafu wako nyumbani mwako kwenye familia yako. Kwani umekosa nini pesa za hoteli mpaka uonyeshe uhuni wako nyumbani mwako. Watoto watakuonaje hata kama watoto hawapo kwa wakati huo, house gal wako au mlinzi wako watakuonaje.

Watakuona kidume!
 
Distazo... hapa hata kujadili inakua kazi kweli.... wanaume wa hivyo
ndio wale limbukeni... of coz wengi wana cheat but bana asikwambie
mtu, hakuna mwenza kama mke/mume - ndio the best person in your
life no matter hao unao ona nje ao kuonana nao... Hivyo ukitambua ilo
huwezi ukawa mshenzi kiasi cha kuleta hawara ndani hali mwenzio hayupo...
Sema tu tumetofautiana ufikiri... wewe unaepelekwa hapo; how do you feel??

Very respected than the wife!
 
Kuna tabia ya wanaume kuleta hawara nyumbani kwake wakati mke na familia wakiwa safarini, yaani huyu mwanaume anafanya mapenzi ni huyo hawara yake katika kitanda cha mkewe wa ndoa. Hivi tabia kama hii ina madhara gani, tujadili.
utajuaje kama ni kidumeeeeeeeeee.
 
Distazo... hapa hata kujadili inakua kazi kweli.... wanaume wa hivyo
ndio wale limbukeni... of coz wengi wana cheat but bana asikwambie
mtu, hakuna mwenza kama mke/mume - ndio the best person in your
life no matter hao unao ona nje ao kuonana nao... Hivyo ukitambua ilo
huwezi ukawa mshenzi kiasi cha kuleta hawara ndani hali mwenzio hayupo...
Sema tu tumetofautiana ufikiri... wewe unaepelekwa hapo; how do you feel??

Asha, siku zote akufukuzae hakwambii toka,
mume alijichokea na huyo mama akaamua atafute sababu tu,
huwezi jua bana.................................
 
Very respected than the wife!

labda sababu tumetofautiana kufikiri... IMO ina maana kashindea hata
kuonesha interest ya kukodi Hotel, mwanaume ambae anakupenda
(mind you sio anaekutamani amalize haja zake) atakupeleka sehemu
ambayo haimkumbushi mwanamke yeyote alie wahi kua nae...
You call that respected than a wife?? Wa hivyo it means all women are the same
hakuna special lady kwake!!
 
Asha, siku zote akufukuzae hakwambii toka,
mume alijichokea na huyo mama akaamua atafute sababu tu,
huwezi jua bana.................................

naona hapa imelenga wale wanaopeleka without your knowledge Bacha...
 
Back
Top Bottom