Kuleta Hawara nyumbani

MPELEKAJI NA MPELEKWAJI WOTE WANA MATATIZO YA KIAKILI,

MPELEKAJI, HIVI UMESHINDWA KUMALIZIA UZINZI WAKO NJE YA NYUMBA YAKO UKAONA BORA UJE UMALIZIE,
NDANI YA NYUMBA YAKO TENA KWENYE KITANDA ULALACHO NA MKEO??? da!...INASIKITISHA NA KUUMIZA SANA,

MPELEKWAJI, UNAJUA KABISA KITENDO UNACHOKIFANYA CHA KUTEMBEA NA MUME WA MTU,
NI KIBAYA ,KINAMUUMIZA MWENYE MUME NA WATOTO WAO (KAMA WAPO),
LAKIN BADO UNAONA UINGIE MPAKA NYUMBANI KWAKE?? aah jamani hii ni MBAYA SANA,

SIUNGI MKONO UZINIFU NJE YA NDOA, LAKIN NI AFADHALI YULE ANAYEFANYIA UZINIFU NJE YA NDOA HUKU,
AKIENDELEA KUMHESHIMU MKEWE NA FAMILIA YAKE KWA UJUMLA, .

KUNA MWANAUME MWINGINE HATA UKISIKIA ANA MWANAMKE NJE YA NDOA NI VUGUMU SANA,
KUAMINI KUTOKANA NA JINSI ALIVYO KARIBU NA MKEWE,ANAVYOMJALI,MSIKILIZA,
MPA KIPAUMBELE CHA KWANZA KATIKA KILA JAMBO WALIFANYALO.

LAKIN HIZO DHARAU ZA NAMNA HII KWA KWELI NI KICHEFUCHEFU,
MKIKUTWA NDANI ,MKICHOMWA MOTO NA MWENYE NYUMBA MTAMLAUME KWELI ??

HAYA MAMBO YA DHARAU KIASI HIKI BORA KUYASIKIA NA KUYASOMA TU, MANAKE mmmh!!.
 
sheria za infidelity ziko wazi humu........halafu tabia hii hata kina mama wanayo snaa hasa mume akisafiri......
 
Respected??? Kufanywa hawara.....!!! I think u must be joking!

Ha ha ha ha ha eti respect...........watu bwana wana tafsiri nyingi za respect.
Kuwa hawala ni respect, na je kuwa MKE nini??
 
uzinzi ni dhambi,tena ya mauti.hajalishi inafanyiwa wapi na nan na muda gani. Kama ni mwanandoaheshimu ndoa yako.kwenda gest na hawara hamaanishi una respect nyumba yako au ndoa yako.ndoa na iheshimiwe na watu wote
 
NAUNGANA NA MPITA NJIA FOR 100PCNT.ufuska ndani ya ndoa si tabia nzuri tu bali pia na kuihujumu ndoa.nashangaa uchumi ukihujumiwa na mafisadi tunalalamika ''pain''.vp kwenye ndoa kwa anayehujumiwa?
 
Asavali mpita njia umesaidia.....nilitaka kusema mnatafsiri vipi kitendo cha MWANAMKE kuyafanya hayo hayo?
 
Kuna tabia ya wanaume kuleta hawara nyumbani kwake wakati mke na familia wakiwa safarini, yaani huyu mwanaume anafanya mapenzi ni huyo hawara yake katika kitanda cha mkewe wa ndoa. Hivi tabia kama hii ina madhara gani, tujadili.

Hii tabia ni ya kulinda nyumba pindi familia inapo kuwa haipo
 
Mbona wako wengi sana wenye tabia hizo...

Wamejaa kila kona, tena hawa wanaume wanaofanya kazi mbali na familia zao, utatamani ulie kwa anayo mfanyia mke wake, hawara anaamia hapo kabisa siku mke akija kumtembelea mme wake, hawara nae anaondoka kumpisha,
 
Kuna tabia ya wanaume kuleta hawara nyumbani kwake wakati mke na familia wakiwa safarini, yaani huyu mwanaume anafanya mapenzi ni huyo hawara yake katika kitanda cha mkewe wa ndoa. Hivi tabia kama hii ina madhara gani, tujadili.
Si kwa mume tu hata kwa mke ni mbaya pia. Tena I would dare to say (angalau kwa cases ninazozijua), wanawake ndio mara nyingi wanaleta/ruhusu 'mume wa nje' kuja nyumbani (unaweza ambiwa mjomba/kaka nk, kumbe mume mwenzio!).

Ufanye kwenye kitanda cha nyumbani, cha guest house, kwake au hata mkifanya chini ya mti porioni, ufuska ndani ya ndoa si tabia nzuri
I fully agree wit u.
 
Sijaona tatizo.. Is better kufanyia nyumbani kuliko Hotelini au Guest House kwani ni kuchezea hela..!! Ukishaamua kutoka nje ya ndoa maana yake humthamini mkeo..kitendo ambacho hakita leta tofauti na kumleta hawala ndani ya nyumba na kumfanyia huko..!
 
Back
Top Bottom