Hakuna majina ya kizungu wala kikristo, kuna majina ya kiingereza, kifaransa, kiebrania, kiarabu nk. Hapa bongo tuna majina ya kihaya, kisukuma, kinyaturu nk.Nakubaliana na wewe,je kuna majina ya kikiristo au ni majina ya kizungu
Ndugu yangu Zanzibar ni nchi kamili yenye viongozi wake na mamalaka kamili ya kufanya jambo lolote kwa mujibu wa katiba yao bila kuingiliwa na nchi nyingine.Rais Magufuli ameenda Zanzibar kutoa neno la shukrani. Kwa siku mbili amekuwa akifanya mikutano huko akianzia Pemba na leo alikuwa unguja. Lakini katika kufuatilia ziara yake kila mara husomwa kwanza quran. Sijajua tukio hilo lina maanisha nini huko visiwani. Unguja pia leo kabla jambo lolote imesomwa quran tena. Kusemaje huko dini na serikali ni kitu kimoja? Vina unasaba?
Nafahamu Zanzibar kuna dini zote. Kwanini sasa kisomwe Kitabu kimoja tu? Au waanglikana huko hawatambuliki? Wakatoliki huko hawatambuliki? Uislamu huko ni bora zaidi kuliko wengine? Je serikali ya Zanzibar ina dini? Najua nimewakera, nitawakera pia. Labda kama sina taarifa za kutosha kuwa serikali ya Zanzibar ina dini lakini huku bara serikali haina dini. Najiuliza wale wanao hudhuria mikutano ya Magufuli ni waislamu tu? Maana hata salamu huko ni moja tu. Kuna unasaba gani huko? Naomba kuelimishwa kama sina taarifa basi nipewe tu nitapokea.
Aneijua Zanzibar haulizi haya maswali
ulitaka wafanyaje?
waishi kwa kuigiza Ukristo hata kama hawana huo ukristo?
Nahisi kama mtu mwenye shida kidogo!Mtanganyika au Mtanzania? Hakuna tanganyika kwa sasa. Huko wote ni watanzania. Wapeni haki yao hiyo asilimia unayoiona ndogo. Tuna mapadre na maaskofu wetu huko. Hatuwezi kupeleka askofu kwa waamini wanane. Huko wakristo wapo wengi tu na ndio maana ni jimbo kamili hilo kwetu. Sio kigango. Tuheshimuni jamani
Rais Magufuli ameenda Zanzibar kutoa neno la shukrani. Kwa siku mbili amekuwa akifanya mikutano huko akianzia Pemba na leo alikuwa unguja. Lakini katika kufuatilia ziara yake kila mara husomwa kwanza quran. Sijajua tukio hilo lina maanisha nini huko visiwani. Unguja pia leo kabla jambo lolote imesomwa quran tena. Kusemaje huko dini na serikali ni kitu kimoja? Vina unasaba?
Nafahamu Zanzibar kuna dini zote. Kwanini sasa kisomwe Kitabu kimoja tu? Au waanglikana huko hawatambuliki? Wakatoliki huko hawatambuliki? Uislamu huko ni bora zaidi kuliko wengine? Je serikali ya Zanzibar ina dini? Najua nimewakera, nitawakera pia. Labda kama sina taarifa za kutosha kuwa serikali ya Zanzibar ina dini lakini huku bara serikali haina dini. Najiuliza wale wanao hudhuria mikutano ya Magufuli ni waislamu tu? Maana hata salamu huko ni moja tu. Kuna unasaba gani huko? Naomba kuelimishwa kama sina taarifa basi nipewe tu nitapokea.
Rais Magufuli ameenda Zanzibar kutoa neno la shukrani. Kwa siku mbili amekuwa akifanya mikutano huko akianzia Pemba na leo alikuwa unguja. Lakini katika kufuatilia ziara yake kila mara husomwa kwanza quran. Sijajua tukio hilo lina maanisha nini huko visiwani. Unguja pia leo kabla jambo lolote imesomwa quran tena. Kusemaje huko dini na serikali ni kitu kimoja? Vina unasaba?
Nafahamu Zanzibar kuna dini zote. Kwanini sasa kisomwe Kitabu kimoja tu? Au waanglikana huko hawatambuliki? Wakatoliki huko hawatambuliki? Uislamu huko ni bora zaidi kuliko wengine? Je serikali ya Zanzibar ina dini? Najua nimewakera, nitawakera pia. Labda kama sina taarifa za kutosha kuwa serikali ya Zanzibar ina dini lakini huku bara serikali haina dini. Najiuliza wale wanao hudhuria mikutano ya Magufuli ni waislamu tu? Maana hata salamu huko ni moja tu. Kuna unasaba gani huko? Naomba kuelimishwa kama sina taarifa basi nipewe tu nitapokea.
Ni udini tu unakusumbua huna lolote kaulize mambo hayo uingereza kwa nini uwezi kuwa kiongozi lazima uwe mkristo hasa manglicana.?Rais Magufuli ameenda Zanzibar kutoa neno la shukrani. Kwa siku mbili amekuwa akifanya mikutano huko akianzia Pemba na leo alikuwa unguja. Lakini katika kufuatilia ziara yake kila mara husomwa kwanza quran. Sijajua tukio hilo lina maanisha nini huko visiwani. Unguja pia leo kabla jambo lolote imesomwa quran tena. Kusemaje huko dini na serikali ni kitu kimoja? Vina unasaba?
Nafahamu Zanzibar kuna dini zote. Kwanini sasa kisomwe Kitabu kimoja tu? Au waanglikana huko hawatambuliki? Wakatoliki huko hawatambuliki? Uislamu huko ni bora zaidi kuliko wengine? Je serikali ya Zanzibar ina dini? Najua nimewakera, nitawakera pia. Labda kama sina taarifa za kutosha kuwa serikali ya Zanzibar ina dini lakini huku bara serikali haina dini. Najiuliza wale wanao hudhuria mikutano ya Magufuli ni waislamu tu? Maana hata salamu huko ni moja tu. Kuna unasaba gani huko? Naomba kuelimishwa kama sina taarifa basi nipewe tu nitapokea.
Aliyekuambia hawana ukristu ni nani??Aneijua Zanzibar haulizi haya maswali
ulitaka wafanyaje?
waishi kwa kuigiza Ukristo hata kama hawana huo ukristo?
Wakatalie na hawa Wakatoliki wenzako:Mbona ameshindwa kuniambia sensa ya lini hizo takwimu zake? Ameshindwa pia kusema kama Zanzibar sio sehemu ya tanganyika. Hizo sifa unazo mpa nadhani unamtwisha mzigo sio wake. Najua hapo ni pagumu na ndio maana anasema kwao dini ya kiislamu ni culture. What's culture in the country?