Heee kumbe!!Punyeto, mdenge, kwa mujibu wa kamusi sio tusi.
Sasa naona umeelewa, tendo la kujiridhisha kwamba umekamilisha jambo wakati unajidanganya, ni punyeto ya kifikra.Heee kumbe!!
mimi nadhani mtu una-adapt kutokana na mazingira..wakati nipo chuo niliishi na wakristo watupu na walikua wanapiga kwaya na mengine mengi but niliwaelewa kwa sababu wao ni utamaduni wao lakini mimi hata kuweka quran au kaswida nilikua siweki maana niliona kama nitawakwaza kwa vile wapo wengi kuliko mimi mmoja..zanzibar dini ni kama utamaduni ndio maana unaona hayo ila si kama ndio wanalazimisha.,dini sio uhasama mkiheshimiana naamini hakuna kinachoharibika,Afadhali umekuwa mkweli. Hujataka kuficha kichwa mchangani. Lakini pia hao wakristo unaowasema nadhani nao hawataki kuhoji hilo kwa sababu ya woga na najua wanajiona wapo kama ugenini vile. Hawawezi kunenepa huko. Kumbe sisi kwenye hilo tumewashindwa. Ila mengine tunawaweza. Asante sana. Hujataka kupindisha. Nami sasa nakubali kwa kauli hiyo. Mara nyingi tumejiuliza ikifika maulid mgeni rasmi rais wenu. Na ukumbi anaenda kukagua kama umeisha sehemu ya kufanyia maulid. Asante mkuu kwa kunipa maelezo yaliyonyooka.
Wazanzibari ni waswahili. Je unafahamu waswahili ni nani?Rais Magufuli ameenda Zanzibar kutoa neno la shukrani. Kwa siku mbili amekuwa akifanya mikutano huko akianzia Pemba na leo alikuwa unguja. Lakini katika kufuatilia ziara yake kila mara husomwa kwanza quran. Sijajua tukio hilo lina maanisha nini huko visiwani. Unguja pia leo kabla jambo lolote imesomwa quran tena. Kusemaje huko dini na serikali ni kitu kimoja? Vina unasaba?
... Naomba kuelimishwa kama sina taarifa basi nipewe tu nitapokea.
Maeneo gani hayo ambayo "hayana hata chembe ya uislamu?"Kama dini ni imani ya mtu mnawezaje kuileta mbele ya mjumuiko? Ile dua ni ya mtu mmoja? Hayo ya kubalance unayapata wapi lakini? Nani kakuambia serikali kazi yake ni kubalance dini za watu? Je huku bara balance ipo sawa? Hujui huku bara kuna maeneo mengi hayana hata chembe ya uislamu? Je serikali imepeleka waislamu ili kubalance? Think again
Population ya Zambia by religion iko hivi:The boss CULTURE maana yake nini? Nenda kasome vizuri shule.Asili mia 98 ni waislamu kwa hiyo serkali ya Zanzibar ni ya kiislamu na hawa asili 2 ni takataka tu?
nchi yeyote the dominant religion ndo inapewa priority kubwa sehemu yoyote.. less than 8% ya wanaunguja ni dini nyingine.. less than 2% ya wanapemba ni dini nyingine.. ndo maana islam inapewa priority.. Italy, america na european countries nyingi other religions than islam ndo wapo weng ndo maana wanapewa priority.. Saud Arabia, Qatar na nchi nyingi za middle east Islam ndo dominant ndo maana islam inapewa priority....... Zanzibar nimefika na ukisema zanzibar jioni ni urojo tu bac ww hujafika... fanya ulipe 25,000 pale azama marine uende..Rais Magufuli ameenda Zanzibar kutoa neno la shukrani. Kwa siku mbili amekuwa akifanya mikutano huko akianzia Pemba na leo alikuwa unguja. Lakini katika kufuatilia ziara yake kila mara husomwa kwanza quran. Sijajua tukio hilo lina maanisha nini huko visiwani. Unguja pia leo kabla jambo lolote imesomwa quran tena. Kusemaje huko dini na serikali ni kitu kimoja? Vina unasaba?
Nafahamu Zanzibar kuna dini zote. Kwanini sasa kisomwe Kitabu kimoja tu? Au waanglikana huko hawatambuliki? Wakatoliki huko hawatambuliki? Uislamu huko ni bora zaidi kuliko wengine? Je serikali ya Zanzibar ina dini? Najua nimewakera, nitawakera pia. Labda kama sina taarifa za kutosha kuwa serikali ya Zanzibar ina dini lakini huku bara serikali haina dini. Najiuliza wale wanao hudhuria mikutano ya Magufuli ni waislamu tu? Maana hata salamu huko ni moja tu. Kuna unasaba gani huko? Naomba kuelimishwa kama sina taarifa basi nipewe tu nitapokea.
"Tuna mapadre na maaskofu WETU huko". "Wenu" nyinyi kina nani?Mtanganyika au Mtanzania? Hakuna tanganyika kwa sasa. Huko wote ni watanzania. Wapeni haki yao hiyo asilimia unayoiona ndogo. Tuna mapadre na maaskofu wetu huko. Hatuwezi kupeleka askofu kwa waamini wanane. Huko wakristo wapo wengi tu na ndio maana ni jimbo kamili hilo kwetu. Sio kigango. Tuheshimuni jamani
Mkuu hapa nchini si kuna wahindu na wabudha?Mtanganyika au Mtanzania? Hakuna tanganyika kwa sasa. Huko wote ni watanzania. Wapeni haki yao hiyo asilimia unayoiona ndogo. Tuna mapadre na maaskofu wetu huko. Hatuwezi kupeleka askofu kwa waamini wanane. Huko wakristo wapo wengi tu na ndio maana ni jimbo kamili hilo kwetu. Sio kigango. Tuheshimuni jamani
Hao 2% nao sio wazanzibari?Zanzibar asilimia 98 ni waislam
na dini sio imani tu ni culture pia.....
Kitu kimoja nataka ukifahamu.. hivi unajua ya kuwa masuala ya dini siyo masuala ya Muungano? Na ndiyo maana Zanzibar ina utaratibu wake. Na siyo hayo tu Viongozi wote wa Kiislamu ZNZ wanachaguliwa na Rais na wanapewa Mishahara na kutumia ofisi za serikali na gari za serikali kama watumishi wengine au wateule wengine wa serikali. na Zanzibar kuna mahakama ya kadhi pia.Mbona ameshindwa kuniambia sensa ya lini hizo takwimu zake? Ameshindwa pia kusema kama Zanzibar sio sehemu ya tanganyika. Hizo sifa unazo mpa nadhani unamtwisha mzigo sio wake. Najua hapo ni pagumu na ndio maana anasema kwao dini ya kiislamu ni culture. What's culture in the country?
Hahahha ulikosa ugali kabisaaaa[emoji1] [emoji1]Nilifika mara moja jioni. Nilikaa siku mbili. Nilikosa chakula jioni. Nikaambiwa hakuna chakula kigumu jioni. Ni urojo tu. Vipi uliza swali jingine?
Bado haitoshiAcha kutetea upuuzi. Mnajificha mchangani ukidhania hatuoni. Kama kuna unasaba lazima isemwe. Kama nakukera nitakukera tena. Usiogope ukweli. Tutasema tu. Acha kusingizia ukuta. Utashikishwa huo ukuta ukuangukie.
He he heee! Tukuletee wewe mezani? Kwanini usingeanza wewe kuleta hiyo hoja yako ijadiliwe kabla ya kumwaga mapipa ya povu humu JF?Kwanza mnatakiwa kuelewa historia ya siku hizo kuwa za mapumziko. Hizo siku hazikuwekwa na Nyerere, wala sio Mwinyi, sio Mkapa, sio Kikwete. Mwulizeni mfalme wa zamani wa huko Uturuki. Tena hakuwa mkristo yule. Kama zinawatia mashaka leteni mezani tujadili na tuulizane kwanini sisi tulipokea tu bila kuhoji. Hakuna wa kulaumiwa hapo.
Kwa kufuatilia hilo kanisani wanaenda watu 15 tu ila kanisa laweza ingia watu hata mia tano ni matayarisho ya baadaeNdugu yangu Jaribu kuwa na akili.Zanzibar hakuna ukristo,bali kuna wakristo wachache tu.Isipokuwa zanzibar kuna uislam na waislam karibu wote.
Rais Magufuli ameenda Zanzibar kutoa neno la shukrani. Kwa siku mbili amekuwa akifanya mikutano huko akianzia Pemba na leo alikuwa unguja. Lakini katika kufuatilia ziara yake kila mara husomwa kwanza quran. Sijajua tukio hilo lina maanisha nini huko visiwani. Unguja pia leo kabla jambo lolote imesomwa quran tena. Kusemaje huko dini na serikali ni kitu kimoja? Vina unasaba?
Nafahamu Zanzibar kuna dini zote. Kwanini sasa kisomwe Kitabu kimoja tu? Au waanglikana huko hawatambuliki? Wakatoliki huko hawatambuliki? Uislamu huko ni bora zaidi kuliko wengine? Je serikali ya Zanzibar ina dini? Najua nimewakera, nitawakera pia. Labda kama sina taarifa za kutosha kuwa serikali ya Zanzibar ina dini lakini huku bara serikali haina dini. Najiuliza wale wanao hudhuria mikutano ya Magufuli ni waislamu tu? Maana hata salamu huko ni moja tu. Kuna unasaba gani huko? Naomba kuelimishwa kama sina taarifa basi nipewe tu nitapokea.