mkuu nakujibu kiupole kama utanielewa..mimi ni mzanzibar na nimesoma zanzibar kuanzia std1 hadi form four kiukweli serikali ya zanzibar inaitambua dini ya kiisalamu na hakuna wa kuibadilisha hilo ndio maana hata shuleni tunasoma dua na qur-ani wakati wa asbh na somo la dini ya kiislamu lipo kila shule ila hamna divinity katika shule yoyote ya serikali,hata muda wa sala wafanyakazi wa serikali wanakwenda miskitini na huwezi kujudge kwanini hio yote ni utamaduni wetu na hata hao wakristo wachache wa zanzibar hawalalamiki maana wanaheshimu na hata ramadhan hawali hovyo na hata hotel zao wanazifunga labda zile za watalii shamba..nadhani utanielewa