Kule Zanzibar serikali na dini ya kiislamu vina unasaba?

Rais Magufuli ameenda Zanzibar kutoa neno la shukrani. Kwa siku mbili amekuwa akifanya mikutano huko akianzia Pemba na leo alikuwa unguja. Lakini katika kufuatilia ziara yake kila mara husomwa kwanza quran. Sijajua tukio hilo lina maanisha nini huko visiwani. Unguja pia leo kabla jambo lolote imesomwa quran tena. Kusemaje huko dini na serikali ni kitu kimoja? Vina unasaba?

Nafahamu Zanzibar kuna dini zote. Kwanini sasa kisomwe Kitabu kimoja tu? Au waanglikana huko hawatambuliki? Wakatoliki huko hawatambuliki? Uislamu huko ni bora zaidi kuliko wengine? Je serikali ya Zanzibar ina dini? Najua nimewakera, nitawakera pia. Labda kama sina taarifa za kutosha kuwa serikali ya Zanzibar ina dini lakini huku bara serikali haina dini. Najiuliza wale wanao hudhuria mikutano ya Magufuli ni waislamu tu? Maana hata salamu huko ni moja tu. Kuna unasaba gani huko? Naomba kuelimishwa kama sina taarifa basi nipewe tu nitapokea.
Nasikia Zambia wanataka jitambua kama Zanzibar
 
Asilia 99 ya wazanzibari ni waislam,1% iliyobakia ni wakristo na dini nyengine, na hata hao wenye imani za dini nyengine wameoana na kuzaa na waislam na ndio maana utakuta majina ya wakristo wa zanzibar lazima yawe yamechanganyika na majina ya kiislam, kama vile Augostino Ramadhani, Askofu Hafidh,Boniface Muhammed,nk. kila kitu cha Zanzibar kiko unique,kumbuka Ukristo ulifika kwanza Zanzibar kabla kufika Tanganyika.,wazanzibari hawana ubaguzi wa dini,Islam ni utamaduni wao
Ni raha sana kuitaja hiyo namba. Lakini hakuna sensa kuonyesha hiyo asilimia. Huku bara mbona tukisema wakristo ni wengi hamtaki na mnaomba sensa? Naamini huko nako hamjawahi kufanya sensa mnakadiria tu kwa kuwaona. The same huku bara mnakataa kutambua wakristo ni wengi mkikimbilia kusema tufanye sensa. Hayo ya Zanzibar ni mazoea tu ya kuwaona. Kama nchi hii haina dini huko Zanzibar wanapata wapi authority ya kutanguliza dini? Basi heshimuni hata hiyo namba ya wakristo uliyotaja.
 
Mkristo wa Zanzibar hatokuja kulalamika jambo hata kama la udini likifanywa na CCM lakini Wafanye CUF utasikia hawa wapemba wana ubaguzi sana ,sijui kwanini wapemba wanatufanyia hivi.?
 
Rais Magufuli ameenda Zanzibar kutoa neno la shukrani. Kwa siku mbili amekuwa akifanya mikutano huko akianzia Pemba na leo alikuwa unguja. Lakini katika kufuatilia ziara yake kila mara husomwa kwanza quran. Sijajua tukio hilo lina maanisha nini huko visiwani. Unguja pia leo kabla jambo lolote imesomwa quran tena. Kusemaje huko dini na serikali ni kitu kimoja? Vina unasaba?

Nafahamu Zanzibar kuna dini zote. Kwanini sasa kisomwe Kitabu kimoja tu? Au waanglikana huko hawatambuliki? Wakatoliki huko hawatambuliki? Uislamu huko ni bora zaidi kuliko wengine? Je serikali ya Zanzibar ina dini? Najua nimewakera, nitawakera pia. Labda kama sina taarifa za kutosha kuwa serikali ya Zanzibar ina dini lakini huku bara serikali haina dini. Najiuliza wale wanao hudhuria mikutano ya Magufuli ni waislamu tu? Maana hata salamu huko ni moja tu. Kuna unasaba gani huko? Naomba kuelimishwa kama sina taarifa basi nipewe tu nitapokea.

Ndugu yangu Jaribu kuwa na akili.Zanzibar hakuna ukristo,bali kuna wakristo wachache tu.Isipokuwa zanzibar kuna uislam na waislam karibu wote.
 
Ni raha sana kuitaja hiyo namba. Lakini hakuna sensa kuonyesha hiyo asilimia. Huku bara mbona tukisema wakristo ni wengi hamtaki na mnaomba sensa? Naamini huko nako hamjawahi kufanya sensa mnakadiria tu kwa kuwaona. The same huku bara mnakataa kutambua wakristo ni wengi mkikimbilia kusema tufanye sensa. Hayo ya Zanzibar ni mazoea tu ya kuwaona. Kama nchi hii haina dini huko Zanzibar wanapata wapi authority ya kutanguliza dini? Basi heshimuni hata hiyo namba ya wakristo uliyotaja.
Makanisa ya mwanzo Afrika mashariki na Kati,yalijegwa Zanzibar soma historia ya ukipita Afrika Mashariki utayajua hayo,Wakristo wako Zanzibar,kuna aina mbili ya wakristo kutoka zanzibar,kuna wale walioletwa na wamishionari wakati wa zama za kale na kuna wale walioletwa na muingereza kama polisi,akina Edington Kisasi,Benidikti na wengine,haya makundi yanaitwa wakristo wa zanzibar na kuna Wakristo wanaoletwa na serikali ya CCM Ili kuweka sawia (Balance) hali ya udini Zanzibar,sensa tunazo tunawajua wako wangapi,serikali ya mapinduzi zanzibar inalijua hilo wazanzibari wanajua hilo,lakini bado wazanzibari hatuangalii dini ya mtu na ndio maana wamishionari walipoomba kujenga kanisa wakati wa zama za kale
waliruhisiwa... Dini ni imani ya mtu kila mtu ana haki ya kuamini anachotaka,hiyo ndio itikadi ya mzanzibari
 
Ndugu yangu Jaribu kuwa na akili.Zanzibar hakuna ukristo,bali kuna wakristo wachache tu.Isipokuwa zanzibar kuna uislam na waislam karibu wote.
Hayo unayapata wapi? Sisi wakatoliki hadi kuwapa waamini wetu askofu ujue kuwa hapo kuna idadi ya kutosheleza ya wakristo. Unachoongea unakijua? Hao wakristo wachache unaweza kuwataja? Tumia akili kufikiri pia
 
Makanisa ya mwanzo Afrika mashariki na Kati,yalijegwa Zanzibar soma historia ya ukipita Afrika Mashariki utayajua hayo,Wakristo wako Zanzibar,kuna aina mbili ya wakristo kutoka zanzibar,kuna wale walioletwa na wamishionari wakati wa zama za kale na kuna wale walioletwa na muongereza kama polisi akina Edington Kisasi,Benidikti na wengine,haya makundi yanaitwa wakristo wa zanzibar na kuna Wakristo wanaoletwa na serikali ya CCM Ili kuweka sawia (Balance) hali ya udini Zanzibar,sensa tunazo tunawajua wako wangapi,serikali ya mapinduzi zanzibar inalijua hilo wazanzibari wanajua hilo,lakini bado wazanzibari hatuangalii dini ya mtu na ndio maana wamishionari walipoomba kijenga kanisa wakati wa zama za kale
waliruhisiwa... Dini ni imani ya mtu kila mtu ana haki ya kuamini anachotaka,hiyo ndio itikadi ya mzanzibari
Kama dini ni imani ya mtu mnawezaje kuileta mbele ya mjumuiko? Ile dua ni ya mtu mmoja? Hayo ya kubalance unayapata wapi lakini? Nani kakuambia serikali kazi yake ni kubalance dini za watu? Je huku bara balance ipo sawa? Hujui huku bara kuna maeneo mengi hayana hata chembe ya uislamu? Je serikali imepeleka waislamu ili kubalance? Think again
 
Zanziubar ambalo kwa sasa ni koloni la Tanganyika ni nchi ya KiIslamu
period
 
Asilia 99 ya wazanzibari ni waislam,1% iliyobakia ni wakristo na dini nyengine, na hata hao wenye imani za dini nyengine wameoana na kuzaa na waislam na ndio maana utakuta majina ya wakristo wa zanzibar lazima yawe yamechanganyika na majina ya kiislam, kama vile Augostino Ramadhani, Askofu Hafidh,Boniface Muhammed,nk. kila kitu cha Zanzibar kiko unique,kumbuka Ukristo ulifika kwanza Zanzibar kabla kufika Tanganyika.,wazanzibari hawana ubaguzi wa dini,Islam ni utamaduni wao
Hakuna majina ya kiislam, kuna majina ya kiarabu.
 
Uendeshaji wa nchi ya Misri ni tofauti na nchi ya Tanzania. Huku serikali ilishasema haina dini. Zanzibar ni sehemu tu ya Tanzania sio nchi ile. Usilinganishe kabisa. Naomba uliza swali jingine.
Zanzibar ni nchi na ina rais wake.
 
Kama dini ni imani ya mtu mnawezaje kuileta mbele ya mjumuiko? Ile dua ni ya mtu mmoja? Hayo ya kubalance unayapata wapi lakini? Nani kakuambia serikali kazi yake ni kubalance dini za watu? Je huku bara balance ipo sawa? Hujui huku bara kuna maeneo mengi hayana hata chembe ya uislamu? Je serikali imepeleka waislamu ili kubalance? Think again
Tunaizungumzia Zanzibar na itikadi zake Za kusoma quran katika hafla tafauti zinazofanyika zanzibar hatuizungumzii Tanganyika,uongozi wa Serikali ya mapinduzi zanzibar unajua kuwa Magufuli ni mkatoliki na Tanzania haina dini lakini kutokana na utamaduni na mila za zanzibar kuran lazima isomwe katika hafla yoyote ya kiserikali,hayo hayajanza Leo wala jana,yameanza kabla Tanganyika haijaungana kisiasa na Zanzibar,wamishionari wa kwanza waliopita zanzibar kwenda kutanganza Ukristo Tanganyika waliosomewa kuran ili waweze kifanikiwa katika safari yao ya kwenda kutanganza dini yao Tanganyika,Democracy isn't
 
Back
Top Bottom