Kule tulikotoka, ndiko kule kwa Chinova?

Nimerudia tena na tena kuusikiliza huu wimbo wa Mshikamano wa Kijamaa... Kweli Wa Kijiji umepinda/data/changanyikiwa... It takes a madman/woman to bring revolutionary change in Tanzania... Hakika inahitaji uwendawazimu kutunusuru!
 
Duh!

Kumbe mwanakijiji naye huwa ana kakichaa fulani vile. Leo nimecheka kweli kweli hadi nikaishiwa pumzi; hapa jamvini kweli kuna mambo mazito. Wimbo huu una maudhui mazito sana kuliko mimi na wewe tunavyodhani. Umeunganisha historia ya zamani kimchezomchezo na kuweka dhahiri mweleko wa tunaotakiwa kufuata huko mbeleni (future).

Mwanakajiji hongera sana pamoja na kwaya yako.
 
Nasikia Mjamaa Mkuu ambaye Mwanakijiji ni mfuasi wake mkuu naye alikuwa na kakichaa fulani na alikuwa anatunga nyimbo kama huo wa Kule Tulikotoka...

Tanzania Tanzania Nakupenda Kwa Moyo wote Nilalapo nakuota wewe niamkapo ni heri kwangu mama wee...
 
Duh, Mwanakijiji una talent ya kutosha. Wimbo huu unaweza kuingia kwenye chart za juu sana hapa bongo. Keep it up brother.
 
Imetulia saaana.
Imenikumbusha enzi zangu kwenye kwaya ya shule pale Tosa nilikuwa napiga sauti ya tatu kaa sina akili nzuri.
Ukinikuta naimba usniulize chochote kuhusu shule.

Du imetulia sana.

Ukituchombeza na kawimbo kengine na kumega vipande kwa jamu namna hiyo, huburudishi moyo tu maini na ngozi pia.
 
kwa hiyo ni kuwa mnasema "Komba watch out!".. eheheh... well kwaya ya kijiji sasa inajifua na original song... maana maneno yakiisha inabakia kuimba.. ... na kuimba kukiisha inabakia kulia..!

thanks everyone..!! Nitatamani kichaa mwingine aupigishe kwenye radio moja hivi!!
 
Nilituma wimbo huu jana usiku kwa jamaa yangu redioni. Kausikiliza wimbo leo asubuhi na kunijibu leo mchana bila mpangilio wa maneno ...." Ebwana eeh! unatisha! unataka nifukuzwe kazi nini? lakini napata hamu! labda tutumie mdundo bila maneno. Timing haijakawa sawa bado! Nani kaimba! labda tumuhoji yeye!.... Ah! hatasielewi nitairusha vipi maana "ccm sio mama" ni direct attack you know! ..... Labda tudelete hiyo part ubaki kuwa wimbo wa hamasa! Kampeni zinaanza lini? labda jemedari mmoja aje nao redioni ndani ya muda wa kampeni. Ni ngumu sana mimi kuupiga from middle of no where! ........... najua utaniita mwoga lakini najaribu kutunza kibarua na kuhakikisha wimbo utakuwa na impact...
 
Kabla ya kulia miluzi halafu le le le ta ta ti ta kisha bonge la kilio na chozi.
 
Nilituma wimbo huu jana usiku kwa jamaa yangu redioni. Kausikiliza wimbo leo asubuhi na kunijibu leo mchana bila mpangilio wa maneno ...." Ebwana eeh! unatisha! unataka nifukuzwe kazi nini? lakini napata hamu! labda tutumie mdundo bila maneno. Timing haijakawa sawa bado! Nani kaimba! labda tumuhoji yeye!.... Ah! hatasielewi nitairusha vipi maana "ccm sio mama" ni direct attack you know! ..... Labda tudelete hiyo part ubaki kuwa wimbo wa hamasa! Kampeni zinaanza lini? labda jemedari mmoja aje nao redioni ndani ya muda wa kampeni. Ni ngumu sana mimi kuupiga from middle of no where! ........... najua utaniita mwoga lakini najaribu kutunza kibarua na kuhakikisha wimbo utakuwa na impact...

Ni kweli, inasaidia nini kumvamia Jitu CCM kwa wimbo kaa huu wakati unajua atakuja kakunja ngumi nzito, ndita nyingi kwenye paji la uso na milipsi ya kujikunja kuonyesha mimeno yake kipusa tayari kukushughulikia wewe na kiFM redio chako???

Timing inahitajika.

Ujanja ni kufanikisha kuifikisha meseji kwa walengwa bila kujali staili ya kuifikisha.
 
Nilituma wimbo huu jana usiku kwa jamaa yangu redioni. Kausikiliza wimbo leo asubuhi na kunijibu leo mchana bila mpangilio wa maneno ...." Ebwana eeh! unatisha! unataka nifukuzwe kazi nini? lakini napata hamu! labda tutumie mdundo bila maneno. Timing haijakawa sawa bado! Nani kaimba! labda tumuhoji yeye!.... Ah! hatasielewi nitairusha vipi maana "ccm sio mama" ni direct attack you know! ..... Labda tudelete hiyo part ubaki kuwa wimbo wa hamasa! Kampeni zinaanza lini? labda jemedari mmoja aje nao redioni ndani ya muda wa kampeni. Ni ngumu sana mimi kuupiga from middle of no where! ........... najua utaniita mwoga lakini najaribu kutunza kibarua na kuhakikisha wimbo utakuwa na impact...

Hapo patamu hapo...labda muiombe Radio Alpha...au Radio Free Africa...
 
Back
Top Bottom