walimnyamazia lakin asubuhi wakamsimulia ndo maana aliona aibu
nikirefer stori ya sakapal
Mmh...bora kukaa msibani macho mpaka saa nane usiku kisha uondoke kimya kimya ukalale kwako.....mambo gani haya?!

Sakapal mtundu....Salute all MMU,
Hivi kulala msibani ni lazima? Nauliza hivi maana kunavitu nimeviona juzi msibani nikaona niwajuze tuu. Tumelala pale msibani mama mmoja Usiku akaanza kuota anadinyanya na mumewe khaa! Watu wote msibani tuliamka maana huyo mama alikuwa anakata mauno balaa na kutoa miguno ya mapenz mmh watu wakaanza kucheka kama baada ya dakika tano akahema kwanguvu kisha akarudi usingizini. Hakuna aliyemwamsha hadi asubuhi. Sasa huku sikujitia aibu.
Bora kukoroma kuliko vituko hivyo. Nihayotu.
Mkuu si unaona hata avatar yake yaonesha ni mwanadada mrembo....
Sakapal mtundu....
lakini jina la kiume,wengine hawawezi kuona avatar.
Mengine shetani mnamsingizia tu..shetani mbaya sana kwa kweli
Mmh...bora kukaa msibani macho mpaka saa nane usiku kisha uondoke kimya kimya ukalale kwako.....mambo gani haya?!
wanaita kufa kufaana ...................
Sasa kwani lazima kila msiba ulale!!!!!!!