Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,269
Salute all MMU,
Hivi kulala msibani ni lazima? Nauliza hivi maana kunavitu nimeviona juzi msibani nikaona niwajuze tuu. Tumelala pale msibani mama mmoja Usiku akaanza kuota anadinyanya na mumewe khaa! Watu wote msibani tuliamka maana huyo mama alikuwa anakata mauno balaa na kutoa miguno ya mapenz mmh watu wakaanza kucheka kama baada ya dakika tano akahema kwanguvu kisha akarudi usingizini. Hakuna aliyemwamsha hadi asubuhi. Sasa huku sikujitia aibu.
Bora kukoroma kuliko vituko hivyo. Nihayotu.
Mh! hii kali, next time mwamshe haraka sana ukiona anfanya hivyo, huyo ana spritual husband, katika hali ya kawaida huwezi kulala na kuota unafanya mapenzi.