Kula utumbo kama ni kitu imenishinda

Back N days

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2026
Posts
318
Reaction score
840
Huwa nawashangaa sana watu wanakula utumbo wa ng'ombe mbuzi na wanyama wengine .

Hivi mnawezaje wakuu kula utumbo kwanza huwa una kishombo fulani hivi huwa sikielewi yani unaweza tapika ila kuna watu husema aaah utumbo ni mtamu kuliko nyama yakawaida.

Utumbo sio kitu cha kula kabsa wakuu ile so nyama
 
Hujampata mpishi wa utumbo wewe😋😋😋
 
Utakuwa unatoka Jamii maskini ambazo hazifugi!
 
Sasa wewe unauliza alafu unapendekeza majibu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…