The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,264
Usomi mwiiingi na complications za ajabu lakini bado tunakufa sana tu. Wazee waligonga menyu hizo hizo na bado wakaishi miaka kibao tu ambayo leo hatufikishi licha ya elimu zenu uchwara hizo.Ugali ni chakula kizito na digestion yake inafanyika taratibu hivyo matokeo yake digestion haiishi, chakula kinachacha na kuwa kigumu.
Ugumu wa chakula unafanya utumbo kukakamaa na hivyo kuongeza mgandamizo kwenye "diaphram' akili ita sence abnormality kutokana na huo mgandamizo.
Kwa kuwa umelala abnormality ndio hapa watu wanaanza kuota ndoto za ajabu na kuamka asubuhi wamechoka wakisingizia wachawi.
Usiku tunatakiwa tule chakula laini( tambi, wali, viazi, magimbi na ndizi) ila kwa sababu ya hali zetu za kimaskini wengine hatumudu hivyo vyakula hivyo ni mwendo wa ugali na maharage mbaya zaidi tunakula kiwango kile kile kama cha mchana.
Hii nayo ni aina ya umaskini kama umaskini mwingine! .
Ninapenda makande yawe na maharage mengi kuliko mahindi na yakolee nazi.Na makande je? maana sie huku kwetu upareni ndio menyu mchana na usiku daily?!
... Usiku tunatakiwa tule chakula laini (tambi, wali, viazi, magimbi na ndizi) ila kwa sababu ya hali zetu za kimaskini wengine hatumudu hivyo vyakula hivyo ni mwendo wa ugali na maharage
Karibu upareni Sky, hahahahahahaNinapenda Makonde yawe na maharage mengi kuliko mahindi na yakolee nazi.
Makonde ya boarding yalikuwa na mahindi mengi mafuta ya kunyunyiza
Te te te te atakuwanacho mkuu[emoji12]...kinena!!!Una uhakika?? na unacho kinena?????
Nina kakaangu mkewe akipika chakula kingine tofauti na ugali lazima apikiwe ugali wake.Basi Mimi ni masikini sana, kwa mapenzi yangu na ugali saa yeyote ni ugali time
ha ha haa!! mimi kwa kweli kama haujanianadalia/kuandaa ugali usiku siwezi kukuaelewa aisee!!Na makande je? maana sie huku kwetu upareni ndio menyu mchana na usiku daily?!