Kula mandazi kavu ikulu ni kweli mzee hana pesa

ukawa2020

JF-Expert Member
Apr 1, 2016
339
1,314
Makusanyo kwa mwezi tr 1.1 wengine wanahoji kama makusanyo nayo in hewa.

Matumizi
IMishahara kwa mwezi takribani bi 568
Deni la taifa kwa mwezi takribani bi 512

Jumla ya matumizi: trion 1.08

Balance kwa mwezi : bil 20+
Ukiona watendaji wa serikali wanakunywa chai kavu ujue ni kweli nchi imeyumba hakuna ela

Ukiona vijana walio field Pesa za field wamekosa na wengine kupewa nusu ujue kweli nchi imeyumba

Ukiona vijana wa jkt wanarudi bila kupewa posho wala nauli wakiambiwa waache namba za simu watatumiwa ujue ni kweli nchi haina Pesa

Nasubili Tanzania ya viwanda.

.... Vijana wa ccm chukua endelea kucheka.....
 
hivi sheia ya takwimu unaijua? mbona mnapenda kujitafutia kesi bure?
 
Hiyo chai maandazi makavu ngumu kumeza..
Tumezoea supu mchemsho chapati za kumimina na kuslid mtori maini rost maini choma na bia moja moto moja baridi hiyo ni breakfast tu..
Mambo ya kwenda breakfast na washkaji tunamaliza 100k siku hizi hamna kila mtu na chocho yake..
[HASHTAG]#Hapa[/HASHTAG] stori tu kula kwenu
 
Makusanyo kwa mwezi tr 1.1 wengine wanahoji kama makusanyo nayo in hewa.

Matumizi
IMishahara kwa mwezi takribani bi 568
Deni la taifa kwa mwezi takribani bi 512

Jumla ya matumizi: trion 1.08

Balance kwa mwezi : bil 20+
Ukiona watendaji wa serikali wanakunywa chai kavu ujue ni kweli nchi imeyumba hakuna ela

Ukiona vijana walio field Pesa za field wamekosa na wengine kupewa nusu ujue kweli nchi imeyumba

Ukiona vijana wa jkt wanarudi bila kupewa posho wala nauli wakiambiwa waache namba za simu watatumiwa ujue ni kweli nchi haina Pesa

Nasubili Tanzania ya viwanda.

.... Vijana wa ccm chukua endelea kucheka.....
Mkishitakiwa mnalalamika kwa kuwalaumu watendaji
 
Kushitakiwa au uchochezi kwa sasa kama umaarufu kweli.... Na tunakapenda kweli.... Baba wa taifa alisema mtakuwa mnafanya makosa mkisubiri viongozi wafe ndo muwakosoe
 
Makusanyo kwa mwezi tr 1.1 wengine wanahoji kama makusanyo nayo in hewa.

Matumizi
IMishahara kwa mwezi takribani bi 568
Deni la taifa kwa mwezi takribani bi 512

Jumla ya matumizi: trion 1.08

Balance kwa mwezi : bil 20+
Ukiona watendaji wa serikali wanakunywa chai kavu ujue ni kweli nchi imeyumba hakuna ela

Ukiona vijana walio field Pesa za field wamekosa na wengine kupewa nusu ujue kweli nchi imeyumba

Ukiona vijana wa jkt wanarudi bila kupewa posho wala nauli wakiambiwa waache namba za simu watatumiwa ujue ni kweli nchi haina Pesa

Nasubili Tanzania ya viwanda.

.... Vijana wa ccm chukua endelea kucheka.....

!
!
Noma sana aisee.
 
nikipindi cha mpito tu hiki na watu walizidi kula bata mpk birthday ikulu!!aaa hapana bana hii haikubaliki kokote duniani,ngoja tunyooke na itapunguza hata wagombea urais 2020!manake 2015 kila mtu alidhani ni kazi nyepesi nyepesi tu.
 
Back
Top Bottom