Kula ban ni nomaaaaaaaaaaaaaaaaa

Kula ban ni nomaaaaaaaaaaaaaaaaa

Nduka Original

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,012
Reaction score
817
Jamani hamjambo humu, jamani nilijiunga hapa wiki 2 zilizopita ila nilikaa siku nne tu nikala BAN na ndo kwanza kifungo kimeisha. Naombeni sana muwe wastarabu msitusababishie wengine BAN. Kuna watu wana mambo ya ki K sana humu ndani wakati wanachangia thread.

MODS mi sitaki BAN tena
 
Mwongozo wenyewe ulioomba umekaa mkao wa BAN! Mods wamelala ngoja waamke
 
Jamani hamjambo humu, jamani nilijiunga hapa wiki 2 zilizopita ila nilikaa siku nne tu nikala BAN na ndo kwanza kifungo kimeisha. Naombeni sana muwe wastarabu msitusababishie wengine BAN. Kuna watu wana mambo ya ki K sana humu ndani wakati wanachangia thread.

MODS mi sitaki BAN tena

Tutafanya mpango rules ziandikwe kwa kiswahili ili uzielewe vizuri.
 
Haya ukae kwa heshima na adabu, sikupigi ban tena, lakini usizowee wala usirudie, ukirudia nakupiga ban ya maisha!
 
<br />
<br />
Jamani FF aje adabu ipi tena hiyo maana hapa kwenyewe tayari kaingia bila adabu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom