Ni ugonjwa wa kideri huo, walikosa chanjo upepo wa ugonjwa ukawapitia.Sio kweli ninaokuku wengi zaidi ya 40+
Kwa mazingira ya sasa, katika ufugaji wa kuku chanjo ni lazima; ukishakuwa na kuku 100+ ni vizuri kushirikisha madaktari wa mifugo.Chanjo gani mkuu?
AiseeUmewatupa au bado wapo?
Kwako wapi?
Tatizo ubahiliKwa mazingira ya sasa, katika ufugaji wa kuku chanjo ni lazima; ukishakuwa na kuku 100+ ni vizuri kushirikisha madaktari wa mifugo.
Angalia wasije kua wamegongwa na nyokaNdani ya geti bado sijawatengenezea banda
Tukio gani?,tuhabarishe na sieAisee
Niliacha kula kuku za vibandani zamani sana baada ya kushuhudia tukio.....
Umetoa ushauri mzuri sana lakini kwa kiswahili kibovu. AsantePole sana mpambanaji jalibu chukua kuku mmoja ukampime kwa doctor ila mtaani kunafitina sana
Sio wakisasa ni kienyeji
Wangapi vip upenyo wa nyoka kufanya mashambuliziNimewaacha kuku wangu wakiwa vizuri kabisa ile nimetoka kidogo nimekuta wamekufa wote sasa itakuwa nini wakuu??View attachment 3456613
AiseeHao ni wale wa kisasa ambao wakitembea bila kumulikiwa tochi wanakufa au kitu kikidondoka wanapanda presha na kufa. Chunguza kilichojili ulivyotoka