Kuku wangu wamepatwa na nini?

Kuku wangu wamepatwa na nini?

Kama walikuwa hawaumwi! Kutakuwa na mdudu/mnyama mwenye sumu kali sana kawapitia,,,, mathalan nyoka !

Usijaribu kuwashika kwa mkono vaa mfuko ama gloves,,,, !

Chimba shimo kama futi moja wafukie sehemu ambayo wanyama kama mbwa hawawezi fukua !
 
Sawa nahisi hivyo mkuu maana nimewakuta chini ya mchungwa wamekufa
 
Back
Top Bottom