AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,895
- 23,950
Hii mitandao miwili kwa hizi siku 2 hadi leo siku ya 3 mitandao yao inasumbua vibaya mno. Hususani Airtel yaan ni balaa.
Wamepatwa na nini? Au wenyewe hawajui km mitandao yao inasumbua? Mitandao hii inasumbua sana tena Airtel ni balaa mpaka naona kero kabisa.
Mara mtandao upo mara haupo mara upo mara haupo, shida nini wakuu? Km kuna watu wa Airtel watumbie kuna tatizo gani?
Hawasemi km kuna maboresho au kuna nini shida nini? Nyie Airtel shida nini wakuu?