Kuku wako manati ya nini?

Kuku wako manati ya nini?

Bila wivu utajuaje kama anakupenda??

Hujambo mpenzi bubu. Ya kizee hayanaga mbitambita au sio?

Wivu kidogo ni muhimu ktk kuboresha penzi ila unapozidi hapo ndo huzaliwa Gubu, kwani mara atakuwa anahisi kama we unamdharau, humpendi, humheshimu na mengine mengi ili mradi tu kujipa unyonge wa hiari.
 
kila kitu kikizidi ni hatari ....wivu wa kiasi. mimi naamini kitu kimoja nikiona mpenzi wangu anaaanza kutafuta mabaya yangu naanza kushusha upendo taratibu kwa sababu najua anautafuta ubaya ili tugombane na tuachane... kuliko kuachwa huku napenda siku unayokagua simu yangu nakata 5% siku unanifuata kazini bila kusema kwa kuwa huniamini nakata 10% , siku nimefanya kosa naomba msamaha nimekosea nakujifanya unaendelea kuongea kwa kuwa unauchungu sana nakata 20%... siku nakuomba ruhusa ya kutoka unagoma bika sababu ya msingi nakata 15%... mwisho wa siku nbikia na 50% yangu ukianza vitimbwi mie kimya kimya nateleza nakuacha bila ugomvi.... sitaki stress mtu anakomalia kutafuta ubaya mazuri haoni,,, huo ni wivu wa kijinga...
Aiseeeeh!
Dunia haiishi maajabu,,,,,, upendo wa kipimo cha percentage?
How?
 
Naenjoy huo wivu, kufatiliwa fatiliwa, nikitoka simu kila saa "vipi mbona haurudi, kwani upo wapi mbona pako kimya hivyo" yani ni usumbufu kama nipo bar hata zanzi naona haimezeki mi naona raha....
Basi sasa hivi unaonekana unapata tabu sana eeeeeh!?
 
Back
Top Bottom